Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

Status
Not open for further replies.
Chama,Unaweza kuelewa ni jinsi gani mtu anakuwa very dissapointed anaposoma hoja zinazo-link mauji ya Padri Evarist na mambo ya wanawake. Hii ni kutomtendea haki marehemu na wahanga wengine wa maovu yanayoendelea.

.

Mkuu FJM
Nadhani huelewi ninachomaanisha; hapa napingana na nyie mnaodai hili tukio la kidini; mimi nataka tuliangalie suala zima kwenye wigo mkubwa zaidi; hawa tunawaongelea ni binadamu sio malaika Mungu; jaribu kukumbuka yale mliyokuwa mkiyaandika alipochinjwa polisi; mkuu ninachotaka muache unafiki; haya mambo ya kipuuzi wengi mnayashabikia; juzi zilipotokea ghasia Mtwara nyie ndio mlikuwa vinara wa kushangilia walikufa watu Mtwara ; zimechomwa ofisi za CCM moto wengi mlilipongeza sana tukio; leo inashangaza sana leo mmekuwa watu wenye machungu makubwa yale mlioyashangilia huu ndio mwendelezo wake! Mkuu wakristo wa Zanzibar lini waliishi kwa kujificha nilikuwa nilikuwa huko mwaka jana mbona sikuliona?

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
wewe mpakistan na wenzako msipotahiriwa mioyo hamuwezi kubadilika hata msome phd,uwezo wa kufikiri na hekima kwenu ni zero, mmebarikiwa roho mbaya,roho ya matengano na roho ya malipizi.na haya ni mapepo mnatembea nayo hamjitambui.

Roho na nia yangu njema tu; ninachotaka tuelewane lugha!

Chama
Gongo la mboto DSM
 

Usiongee kama unayefikiria kwa kinyeleo; sina muhubiri anayeitwa Ilunga na wala sijawahi kusikiliza radio Imani; sasa mafundisho haya Ilunga aliwaambia waislamu wa Zanzibar? Kama ni hoja ya mapadri wapo wengi sana bara.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Mkuu Precise pangolin
Ilunga ninayemfahamu ni mwanamuziki huyu ni nani?

Chama
Gongo la mboto DSM
kuna shekhe mmoja anasambaza DVD za mapadri wauliwe na zinauzika kwa Waislamu Kama almasi sasa unafikiri kwanini Waislamu wasihusishwe? Mkuu chama Hebu acha kujishushia heshima yako kupitia dini kwanza nilikuwa sijui wewe ni muumini wa dini gani kwasababu ulikuwa haupo huko kabisa Ritz kasha kufanyia kazi
 
Last edited by a moderator:

Km imekuuma sna meza sumu ya panya na kwanza huna lolote nani asiyekujua ww muAnglikana umeshaolewa na padri wako,uwe shoga mara ngap?sema nataka mtoto
 

Mkuu Precise pangolin
Mimi ni muislamu sijawahi kushabikia udini na wala sio game yangu ila wanapotokea wapuuzi wachache wanaotaka kuukashifu Uisalmu hapo nitasimama kutetea ninachoamini; suala la padri Ambrose mnataka kulazimisha liwe la kidini; nina uhakika mkubwa sana halina mahusiano yoyote na imani za kidini; kuuawa kwa mtu Zanzibar haimaanishi muuaji ni mzanzibar au ni muislamu mtu anaweza kutoka Moshi na kwenda kuua Zanzibar; bahati mbaya sana sina na sijapata muda wa kusikiliza DVD za huyo shehe wako na sijawahi kumsikia; mkuu sina tatizo na binadamu yoyote amini unachoamini ili hatukashifiani wala hatuingiliani kwenye imani zetu; akiuliwa mbwa au paka naona vibaya itakuwa binadamu? Mkuu vipi wewe alipouliwa polisi Zanzibar si ulikuwa mmoja wa washangiliaji? Walipouliwa watu Mtwara si ulishangilia? Zilipochomwa moto nyumba Mtwara wewe si ulikuwa mshangiliaji mkubwa?Imekuwaje leo? Hapa naongea mitizamo yangu Ritz hausiki na ninachoongea

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:

Mbona unataka kutuchonganisha wa ndugu zetu Wakiristo wewe ndiyo una ubaguzi sana dhidi ya Waislam. Hakuna anayeshangilia mauaji ya Padri rais ameagiza wapelelezi kutoka nje ya nchi kuchunguza kifo cha padri. Sasa wewe unataka ionekane Waislam wote tumemuuwa padri siyo kweli.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu chama,
Kabla ya uhuru mpaka leo Waislam na Wakisto wanaishi kama ndugu na kwa upendo bahati mbaya kuna watu wanataka kutumia msiba wa Padri kisiasa na maslahi yao.
 
Last edited by a moderator:

Mpiga zeze mbona alipouwawa shehe kule kenya haukua ugaidi?
 
Mkuu chama,
Kabla ya uhuru mpaka leo Waislam na Wakisto wanaishi kama ndugu na kwa upendo bahati mbaya kuna watu wanataka kutumia msiba wa Padri kisiasa na maslahi yao.

Mkuu Ritz
Hilo linajulikana na ndio sababu ukiwabana hawarudi wanaishia kusema ulaaniwe; hawa hawa wanaojidai leo wanauchungu wa kuuawawa kwa padri Ambrose ndio waliokuwa vinara wa kushangilia alipochinjwa polisi Zanzibar; tena hapa tunaongelea kuchinjwa sio kupigwa risasi vyote ni vifo ila vimezidiana unyama walikuwa walishingilia sana sasa sijui imani yao kidini inaruhusu mtu imani nyingine akichinjwa wao washangilie?

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:

Mkuu chama,
Sisi wengine tunaishi na kufanya kazi na wa dini tofauti mimi mtu ambaye nafanya nae kazi ni Budda nipo bongo namtumia pesa yupo Macao ananitumia bidhaa, hapa bongo nina marafiki wengi Wakirsto kuliko Waislam, sasa kwa nini tuchukiane.
 
Last edited by a moderator:
acha kujipofusha. Udini umeletwa na cdm kuanzia kule sumbawanga katika uchaguzi mkuu 2010 ambapo waumini wa kanisa walitengwa na kuvuliwa uumini kwa sababu waliichagua ccm badala ya chadema.

ndugu yangu natamani nikutafune,kwani unashindwa kushirikisha ubongo kuchanganua mambo. Kwanza tambua kilichofanya mpaka kufikiwa kuvuliwa uumini. Nikitendo cha wanachama kubeba jeneza kisha kutundika msalaba na kulitembeza mtaani. Je wewe unavyoona sahihi kweli kwa muumini mzuri na mcha mungu kufanya kitendo kile?Waisilamu wenyewe wakikuo unamzalisha mtume wao ama ukichezea kitabu chao kilicho tengenezwa na m2 kama mimi!amani inatoweka,pasipo kufikilia ama kujua imani yako na matendo yako ndivyo vitakupeleka peponi. Kweli nyinyi wap.u.m.b.a.vu wa fikra. Msijifanye unjifunza elimu dunia,ingili ya kwamba mungu umtambui zaidi ya mtume unaemuamini na kumtukuza wakati unafahamu yeye ameumbwa na mungu. Pia tambueni nyinyi uwelewa wenu mdogo kuliko m.m.bwa,mnatumia masabuli kwa kila2.Pasipo kuelewa kule kwa ajili ya kutole unwanted material. Kwavile nakupenda nataka nikuambie ki2 kimoja labda ujielewi....! Lakini nitafute kwa muda wako,kuhusu m2me wako ambaye ali2mwa na mungu ambaye hutaki kumweshmu kama unavyo mweshmu m2me wake kwako.Ila tambua mungu hapendi kuona damu ya m2 inamwagika zaidi ya amani anayoitaka. Ndio maana akam2ma yesu(nabii mwana ambaye unamwita isa) ili abiri amani na upendo. Poleni sana.
 

Chama,

Kwenye post yangu niliandika kuwa namfahamu (marehmu) Pardi Evarist Mushi, niimefanya naye kazi. Kadhia wanayopata wakristo Zanzibar sijahadithiwa, nimeiishi. Siandiki hadithi hapa.

Na nisingetaka kulumbana kwenye hili. Wewe unasema ulikuwa huko mwaka jana, je,una habari mwaka jana hiyo hiyo makaburi ya wakristo- mwanakwerekwe yalivamiwa na kuharibiwa vibaya? Una habari kuna makanisa zaidi ya 10 yalikuwa targeted - nusura yapigwe moto mwaka jana hiyo hiyo? Ulishashiriki ibada ambayo -huku unasali, na huku unasikiliza just incase bomu litapigwa? Ni hofu tupu. Na hii hali ipo kwa miaka mingi, sio mwaka jana au hata juzi. Mihadhara, CD na vitabu vinavyohimiza kuuwa vipo. Mnasema nini nyinyi watu?

Nakubaliana na hoja kwamba wanasiasa uchwara ndio wanatumia udini lakini lakini hii haindoi ukweli kuwa kuna wakristo Zanzibar wanaishi maisha ya shaka.

Kwa sasa ningetaka kuishia hapa maana napata hasira sana.
 
Mkuu chama,
Sisi wengine tunaishi na kufanya kazi na wa dini tofauti mimi mtu ambaye nafanya nae kazi ni Budda nipo bongo namtumia pesa yupo Macao ananitumia bidhaa, hapa bongo nina marafiki wengi Wakirsto kuliko Waislam, sasa kwa nini tuchukiane.

Mkuu Ritz
Kuna humu JF ni hatari kuliko yale magaidi unayoyajua sema hawajawa na courage ila ni hatari sana; tukichukiana kwa misingi ya kidini tutachukia wangapi?

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
We mbwiga kaa pembeni sisi tunaongelea mustakabali wa nchi yetu!

Chama
Gongo la mboto DSM
unajua nin kuhusu tz we ta.ka,ke,ki,ko.,we chichman wa magamba bhahau mkubwa wew...
 

Unapata hasira kwa lipi? hizo ni hofu mnazojipa wenyewe; ila kwa uhakika wakristo wazawa wa Zanzibar hawana hofu yoyote nilikuwapo mwaka jana sikuyaona hayo unayoyasema kila kitu kilikuwa shwari. Nyie ndio mnaotaka kupotosha watu kwa hisia zenu; Mkuu nimeshakuambia isemee nafsi yako undani wa mtu huujui kuvaa msalaba au kushika tasbihi haimaanishi wewe ni muumini au mwadilifu!

Chama
Gongo la mboto DSM
 

Long time....
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…