Chama,Unaweza kuelewa ni jinsi gani mtu anakuwa very dissapointed anaposoma hoja zinazo-link mauji ya Padri Evarist na mambo ya wanawake. Hii ni kutomtendea haki marehemu na wahanga wengine wa maovu yanayoendelea.
.
Mkuu FJM
Nadhani huelewi ninachomaanisha; hapa napingana na nyie mnaodai hili tukio la kidini; mimi nataka tuliangalie suala zima kwenye wigo mkubwa zaidi; hawa tunawaongelea ni binadamu sio malaika Mungu; jaribu kukumbuka yale mliyokuwa mkiyaandika alipochinjwa polisi; mkuu ninachotaka muache unafiki; haya mambo ya kipuuzi wengi mnayashabikia; juzi zilipotokea ghasia Mtwara nyie ndio mlikuwa vinara wa kushangilia walikufa watu Mtwara ; zimechomwa ofisi za CCM moto wengi mlilipongeza sana tukio; leo inashangaza sana leo mmekuwa watu wenye machungu makubwa yale mlioyashangilia huu ndio mwendelezo wake! Mkuu wakristo wa Zanzibar lini waliishi kwa kujificha nilikuwa nilikuwa huko mwaka jana mbona sikuliona?
Chama
Gongo la mboto DSM
Last edited by a moderator: