Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

Status
Not open for further replies.
Kumbe wamesema ni waislamu ndiyo waliomuua? Au ni nafsi yako tu ndiyo inakutuma kuandika ukipendacho?

Wee vipi?unauliza vumbi store?ambacho huelewi hapa nn?au hujui kinachoendelea nchini?,soma comment za watu uelewe!au huelewi maana ya udini?
haya basi umemuua ww!
 
Inavyoonekana Zanzibar wanataka iwe nchi ya kiislamu pure. Kama hivyo ndivyo, basi waumini wa kikiristo walioko huko wawaachie nchi yao warudi bara ambako nao wanaruhusiwa kuishi na kufanya ibada bila kubughudhiwa. Wakristo wasijibu mapigo bali wamwachie Mungu awajibie! Kama kawaida serikali itangaze kuwa itawatafuta mpaka iwakamate. Ni nini kilichojificha katika hili? Tusubiri tuone, muda utaamua........
Ni vita ya shetani dhidi ya watu wa Mungu,waumini wa kweli wa Mungu hawapigani kwa bunduki,ni wakati wa wakristo kuondoka huko zanzibar na kuwaachia kipande chao cha ardhi,na wazanzibari wa huku bara nao wafungashe virago watokomee kwao,elimu ni muhimu sana.
 
Tatizo wewe ndio unayeandika propaganda Zanzibar kanisa halikuanza jana; soma historia ya kanisa; upo uwezekano labda alikuwa haelewani na mmoja wa kondoo aliokuwa akiwachunga; hivi wewe hujasikia padri ametembea mke wa muumini kanisani? au padri kapora mke wa mtu? si mnao mfano hai! Upo uwezekano mkubwa tu kauliwa na muumini mwenzake; mtu hatoki tu nyumbani kwake na kusema leo nikaue padri labda kama ni mgonjwa wa akili

Chama
Gongo la mboto DSM

kama kawaida pumba za magamba. Nape baada ya kukua kaacha kuita padri Slaa anasema Babu Slaa. Bado jangili Kinana meno ya tembo
 
Aaaaaah ! Kumbe source ni WAPO FM Radio ? Mi nlidhani ni source ya maana.... Anyway labda alichukua mke ama mchumba wa mtu maana hawa nao wamezidi sana.

Lakini wenye akili watakuja hapa na kusema kauwawa na Waislamu

Nasuburi kusoma kutoka kwa GREAT THINKER wa JF

nahisi ubongo wako upo katikati ya makalio yako, unawezaje kudhihaki juu ya suala hili? Ningekufahamu ningeanza na wewe
 
Hili suala sio la dini ni suala la uhalifu kwa sababu waliopigwa akina Ba Hamadi na wale kina Suleiman walipigwa jee tuseme wamepigwa na wakristo? Nadhani tusende katika suala la dini tuite ni uhalifu tu kwa sababu uhalifu hauna dini na uhalifu hautazami sura wala kabisa, watu wenye kufanya uhalifu ndio wenye kutuletea matatizo kwa hivyo ni shida tunayo kwa sasa

Wht about vipeperushi?
 
Rip father, Mungu akurehemu umekufa ukitimiza kazi yake. Ngoja ninyamaze nisijepigwa ban

wewe ni kati ya wakristo wasio jielewa yaani unaongopa ban tu huku viongozi wako wanateketea bure kabisa, ban ni nini?.je ukiambiwa ushike mtutu usonge mbele si utajinyea.
 
Waziri mkuu atazunguka sana mwaka huu,Mtwara,hajakaa vzr Geita bado anapiga mswaki kuanza safari ya dar mara zenji tena akitoka huko hatuombei ila anaweza kwenda Moro,swali hizo sehemu hazina watendaji wa serikali au kila kitu mpk kishughulikiwe na uongozi wa juu?

Mkuu
Uongozi ni kama mti, ili tunda kule nchani lipevuke na kuiva vizuri lazima mizizi (Rais-waziri mkuu-waziri wa mambo ya ndani-waziri wa katiba na sheria na mkuu wa jeshi la polisi wawe bora imara na specific.

Matawi - mauwa na hata matunda katu hayawezi kuwa bora kama mizizi imeoza (viongozi) husuani mzizi mkuu wa kati (Kiwete). Usitegemee untendaji wenyetija hapo zaidi ya usanii, kumbuka maji siku zote hufuata mkondo kwa hapa namaaninsha mkondo ni kikwete na watendaji ni maji.
 
Dah kweli waislamu mnakera mbaya! Mungu awarehemu

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

Akiuawa Zanzibar ni Muislaam kaua ? Nyie ndo maana mnawekewa picha kisha mnasema mungu ! Pathetic creatures !
 
Hii ni lawama kwa serikali dhaifu..Mbona walipomwua rpc walikamatwa ndani ya muda mfupi, walimwua askari Arusha wakakamatwa ndani ya wiki mbili wauaji, kwanini hawa hawakamatwi? au ni wale wale akina Rama Igondu wa Ulimboka?
 
:behindsofa: Hakika sijui nini kiko nyuma ya haya mauwaji ya watumishi wa Mungu hasa kwa Kanisa Katoliki. Hakika kama hao nao ni wana wa Mungu basi kuna kila sababu ya kuamini ya kuwa kweli kila mtu/watu wana Mungu wao, maana haingii akilini wengine Mungu anawaelekeza kutenda mema ili kumpendeza Mungu aliyetuumba na wakati huo huo wengine kwa njia ya Mungu wao anawaambia watende mabaya tena mauaji, kutoa roho kiumbe wa mwenyezi Mungu. Hakika hao wana Mungu wao tofauti na huyu Mungu wa amani . Inatia simanzi sana, lakini maadamu imeandikwa "Kila nafsi itaonja mauti" basi kwa wenye imani kama yangu tuendelee kumwombea huyu mtumishi wa Mungu Padre Mushi ili Mwenyezi ampokee na ampumzishe kwa amani mahali pema peponi. Amina.

Nina imani alitimiza wajibu wake hapa duniani na hata mauti yanamkuta alikuwa njiani kuelekea kuendeleza wito wake wa hapa duniani, jiulize mwana jf mwenzangu mimi na wewe vipi?. Hakika ni changamoto kwetu sisi watanzania kwa ujumla wetu na viongozi wa serikali walio apa kuilinda amani ya Tanzania na watu wake kupitia vyombo mbalimbali vya ulinzi na usalama, ambavyo kila siku iendayo kwa Mungu tunatozwa kodi za haki na zisizo za haki ili kuviwezesha kufanya kazi kwa masilahi ya umma wa watanzania.

Eee Mwenyezi Mungu, mwingi wa rehema, bwana wa viumbe wote, uliye asili ya mema yote tunakuomba kwa unyenyekevu mkuu ushushe roho wako mtakatifu juu ya mioyo ya Watanzania hawa hasa hawa wenye kujaa roho ya mauaji ili waweze kukurudia wewe na amani yako ipate kutawala daima kama yalivyo mapenzi yako. Amina
 
Mungu kampenda zaidi jamani kwani mtu unaweza ukafa bila mungu kukuita.Tulimpenda ila mungu kampenda zaidi
 
Hivi kisiwa kidogo kama zanzibar hawa wahuni washindikana vipi kukamatwa?????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????
 
2sidandie tren kwa mbele,, subirin uchunguz wa kipelelezi upite hapo,,, waweza kuta ni vita ya kimaslah kati ya dheheb moja dhidi ya lingine ndan yenu wenyew wakristo...waislm wanatajwa kam gelesha 2 il kuwapotza uelekeo.... TAFAKaRI
 
Poleni Wakatoliki wote Tanzania. Zanzibar wanatakaje hasa! Halafu, hawa jamaa zetu nao wamejipangaje huko peke yao?
Askofu SHAYO, Padre aliyepigwa risasi akapona MKENDA, Padre aliyeuwawa leo MUSHI! Poleni sana.
 
Kama kawaida yake JK, atasema nimewaagiza polisi wawasake wahusika. Sijajua wa padri Ambrose wamefikia wapi!

Kwahiyo ulitaka upewe wewe kazihiyo? Tumuache Rais wetu aongoze nchiyeto kwa amani.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom