Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

Status
Not open for further replies.
Kwa madudu aya Jk ata mwacha mtu wa dini yake na ndo maana Dr. Salim na Migiro ndani ya nyumba. Lkn hatutausahau uongozi wa mwinyi uliotukuka!
 
Sijakuelewa ebu fafanua, kwa hiyo wewe ndo umetumwa kuthibitisha kwamba Padri ameuawa na waislamu au unataka kusema nini??

Ka Padri kamoja tu mnatokwa na Povu namna hii ? Mbona enzi ya Mkapa, Waislamu waliuwawa kuanzia Mwembechai na Unguja kwa mamia na na mamia !

Lakini kwakuwa ninyi ni watu mmeshushwa kutoka mbinguni mlionani sawa na wala hamkukemea kuwa hayo ni mauaji na Kadinali Pengo akatoa tamko kuwa hao mamia ya Waislamu waliouwawaa walikuwa ni Wahuni tu

Leo kauliwa Mchungaji mmoja na Padri mmoja tu , mnapiga keleleee kuhusu Utawala wa CCM juu ya Kikwete kwani ule Utawala dhalimu wa Mkapa mliuona ni MTAKATIFU ?

Au ndio mkuki kwa Noah tu ?
 
Ndungu yangu, hata pale mwembe chai wangeuwawa kwa stail hii tungesema pia, lakini ya mwembe chani na unguja ni ya CCM yenyewe na uroho wa madaraka, wangekubali kushindwa ya unguja yasingetoka, la mwembe chai ni vurugu ambazo polisi walihusika na inajulikana hivyo.....ya zanziba hayo ni mauaji ya pili kama sikosei, na kuna mweingine alinusurika, sasa kama tunasindwa kuwalinda raia inamaana nchi haiko salama! tunauhakika gani juu ya usalama wa hao viongozi wengine?

Ka Padri kamoja tu mnatokwa na Povu namna hii ? Mbona enzi ya Mkapa, Waislamu waliuwawa kuanzia Mwembechai na Unguja kwa mamia na na mamia !

Lakini kwakuwa ninyi ni watu mmeshushwa kutoka mbinguni mlionani sawa na wala hamkukemea kuwa hayo ni mauaji na Kadinali Pengo akatoa tamko kuwa hao mamia ya Waislamu waliouwawaa walikuwa ni Wahuni tu

Leo kauliwa Mchungaji mmoja na Padri mmoja tu , mnapiga keleleee kuhusu Utawala wa CCM juu ya Kikwete kwani ule Utawala dhalimu wa Mkapa mliuona ni MTAKATIFU ?

Au ndio mkuki kwa Noah tu ?
 
Huu ni mpango maalumu naona,ngoja tuone mwisho wake

Haya ni matunda maovu ya udini alioupandikiza JK. Na wale wenye akili kama ya kwake, akina ustadhi Ilunga wanaendelea kupalilia kwa kuhamasisha mauaji dhidi ya viongozi wa Kikristo. Serikali iko kimya, inasubiri wakristo wachukue hatua za kujihami!!!!!
 
Hawa watumishi watauawa wangapi ili tuseme sasa basi? Where are the authorities? Tulipowachagua tuliwekeana mkataba "Social Contract", tutakuwa loyal kwao na wao pamoja na mambo mengine watatulinda sisi na mali zetu (Life, Liberty and property)...Inaonekana sasa serikali yetu imeshindwa kutuhakikishia ulinzi wa sisi na mali zetu. Ameuawa mchungaji Geita, amepigwa risasi Padre Ambrose, tumechomewa makanisa na kuharibiwa mali zetu, watu wamenajisi madhabahu takatifu za Mungu...Bado serikali inachekacheka tu, haichukui hatua. Mungu atuepushe tusifike huko wanakotaka kutupeleka hawa wenzetu, kama ni Zanzibar yao waachieni wabaki nayo...Inauma sana
 
tatizo ni nin? tanzania bara kuna uislam, ukristo etc pande zote. vip, tujue kuwa ukristo hauruhusiwi zanzibar?
 
Upumbav wa kifikra din haitangazwi kwa risasa ila ngoja waislam wote waokoke watajutia hili.
 
Naona mbegu ya udini inazidi kukomaa... It's getting serious kwakweli....!!

Raha ya milele umpe eeh bwana na mwanga wa milele umwangazie, aupumzike kwa amani! Amen
 
Hapo sasa tunaenda sawa manake kuna Shehe alimwagiwa Tindi Kali lakini maswala ya udini hayakuzungumziwa ila padri ameuwawa watu wanazungumzia udini.Poor thinking
 
Hujaulizwa. Wakati kama huu all options are possible kwanini unataka watu waamini unachosema?
 
Kikwete anatimiza malengo yake,Nchi imekushinda ONDOKA;ONDOKA;ONDOKA HUWEZI.
 
Wanaodai tusubiri upelelezi kabla ya kutuhumu inawezekana ndio waliomuua huyu padri. Wanajua kabisa serikali haina nia ya kupeleleza matukio ya mauaji na mateso kwa wananchi.

Makinda na Ndugai wametumiwa SMS za kuwapongeza tu kwa kazi nzuri waliyofanya kuitetea serikali tunaambiwa wahusika wanajulikana na watakamatwa wote

Padri alipigwa risasi znz hadi leo hakuna kitu. Makanisa yalichomwa moto. Vipeperushi vinasambazwa hadharani. Wahusika hawajapatikana

Sasa leo mtu anakimbilia haraka kusema tusubiri upelelezi. Huyu mtu anajaribu kutuambia, imetoka hiyo na nyingine iko njiani labda
 
Padre E. Mushi Paroko wa parokia ya Minara Miwili Zanzibar ameuawa kwa kupigwa risasi na watu wasiofahamika asubuhi hii.

Ameuawa wakati akijiandaa kuingia kanisani akitokea kwenye gari yake ambapo ghafla ilitokea gari ndogo na waliokuwamo ndani ya gari ile wakamrushia risasi.

Kwa siku za hivi karibuni kumekuwako na vitisho vya wazi wazi dhidi ya wakristu huko visiwani Zanzibar ambapo inaelezwa kuwa jeshi la polisi halijafanya juhudi yoyote kuzuia tishio hili. Kumekuwapo na vipeperushi vinavyodai kuwa kupigwa risasi kwa padre Ambrose sio mwisho wa mapambano.

Taarifa hizi zimeripotiwa direct toka Zanzibar.

Kwa wale wasiokuwa na tabia ya kukaa na kuanza kufanyia utafuti mambo ndio wanakuja na conclusion kama zako! Hio ni kazi ya usalama wa taifa, usalama wa taifa ndio wenye uwezo wa kuchafua amani ya nchi kwa nama hio. Vipeperushi vilikuwe vikiwaponda wapemba kule unguja, unafikiri kuna mtu aliekaa akasema watanganyika ndio wamerusha ivo vipeperushi? Bali wenye akili wote walijua hio kazi ya kufitinisha ni ya usalama wa taifa! Na nchi mashallah in majasusi wazuri sana tu!
 
Wale waliomjeruhi padre yule mwingine walikwishakamatwa? Nakumbuka kiongozi wa CCM kule Mbeya aliuawa namna hii serikali ilijiapiza kumkamata muuaji na wahusika walikamatwa.
 
Tukio linasema kuwa alikuwa akielekea kwenda kusarisha misa ya leo akiwa njiani ikatokea gari ghafra lenye watu waliomfyatulia risasi na mauti yakamkuta.Sasa tusaidiane kujua kisa.

Tukusaidie kujua kisa??? We galasa kweli, nini hapo usichoelewa? Kwamba hijui kuwa Waislam ndo wamemuua? Mara ngapi tumesema hapa kuwa uislam ni dini ya hovyo?!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom