Paul Kijoka
JF-Expert Member
- Oct 25, 2010
- 1,399
- 255
Kwa madudu aya Jk ata mwacha mtu wa dini yake na ndo maana Dr. Salim na Migiro ndani ya nyumba. Lkn hatutausahau uongozi wa mwinyi uliotukuka!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ka Padri kamoja tu mnatokwa na Povu namna hii ? Mbona enzi ya Mkapa, Waislamu waliuwawa kuanzia Mwembechai na Unguja kwa mamia na na mamia !
Lakini kwakuwa ninyi ni watu mmeshushwa kutoka mbinguni mlionani sawa na wala hamkukemea kuwa hayo ni mauaji na Kadinali Pengo akatoa tamko kuwa hao mamia ya Waislamu waliouwawaa walikuwa ni Wahuni tu
Leo kauliwa Mchungaji mmoja na Padri mmoja tu , mnapiga keleleee kuhusu Utawala wa CCM juu ya Kikwete kwani ule Utawala dhalimu wa Mkapa mliuona ni MTAKATIFU ?
Au ndio mkuki kwa Noah tu ?
Mhhh! Siasa bwana matatizo utasikia changamoto!Mungu atusaidie kwenye hili wimbi la viongozi wa dini kupigwa risasi
Ka Padri kamoja tu mnatokwa na Povu namna hii ? Mbona enzi ya Mkapa, Waislamu waliuwawa kuanzia Mwembechai na Unguja kwa mamia na na mamia !
Lakini kwakuwa ninyi ni watu mmeshushwa kutoka mbinguni mlionani sawa na wala hamkukemea kuwa hayo ni mauaji na Kadinali Pengo akatoa tamko kuwa hao mamia ya Waislamu waliouwawaa walikuwa ni Wahuni tu
Leo kauliwa Mchungaji mmoja na Padri mmoja tu , mnapiga keleleee kuhusu Utawala wa CCM juu ya Kikwete kwani ule Utawala dhalimu wa Mkapa mliuona ni MTAKATIFU ?
Au ndio mkuki kwa Noah tu ?
Huu ni mpango maalumu naona,ngoja tuone mwisho wake
Mukijaribu mmekwisha.
Padre E. Mushi Paroko wa parokia ya Minara Miwili Zanzibar ameuawa kwa kupigwa risasi na watu wasiofahamika asubuhi hii.
Ameuawa wakati akijiandaa kuingia kanisani akitokea kwenye gari yake ambapo ghafla ilitokea gari ndogo na waliokuwamo ndani ya gari ile wakamrushia risasi.
Kwa siku za hivi karibuni kumekuwako na vitisho vya wazi wazi dhidi ya wakristu huko visiwani Zanzibar ambapo inaelezwa kuwa jeshi la polisi halijafanya juhudi yoyote kuzuia tishio hili. Kumekuwapo na vipeperushi vinavyodai kuwa kupigwa risasi kwa padre Ambrose sio mwisho wa mapambano.
Taarifa hizi zimeripotiwa direct toka Zanzibar.
Tukio linasema kuwa alikuwa akielekea kwenda kusarisha misa ya leo akiwa njiani ikatokea gari ghafra lenye watu waliomfyatulia risasi na mauti yakamkuta.Sasa tusaidiane kujua kisa.