Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

Status
Not open for further replies.
Hawa Waislam wengi wana akili finyu sana na wanajua Wakristo tunaishi kistaarabu.Ata ivo Zanzibar kutokana na sensa kuna watu Milioni 1.4 Bara kuna Milion 43.Kuna haja ya Muungano akati wenyewe wavivu na wataalamu wa kulalamika?CDM ichukue nchi,tupilia mbali mawazo ya Muungano wa bara tunategemea wawe wastaarabu au wamfuate ponda lupango...........Mungu ampumzishe kwa amani Mtumishi wake Padri Mushi.
Kwanza Zanzibar ni mzigo nashangaa wameukomalia tu!
 
Hawa ndugu zetu waislam kweli wanamatatizo sana,sioni wala sijawahi soma mahali popote katika vitabu vitakatifu vilivyoandikwa kwamba lazima kupigana kufa na kupona kwa ajili ya kuzuia dini ingine isiendelee,huu ni upuuzi na hii damu itawarudia na nataka kuwahakikishia anayeua kwa upanga atauwawa hivyo hivyo,this is the second case kwa mapadre,mmoja alipigwa risasi amepona hadi leo hakuna aliyekamatwa kwa kuhusika,leo ameuwawa it will be the same thing,nadhani muda umefika sasa kwa wakristu jamani tujibu mashambulizi!!!!!!!!!tutakuwa victim wa hii serikali ya kidhalimu ya CCM/Kiislamu hadi lini?we need to look back and decide,enough is enough!!!!!!!!!!
R.I.P Fr.Mushi
Amen
 
kama ni kupigana vita, wakristo wakiamua ni mahodari zaidi...
 
Kwa ushauri wangu Sheikh Mkuu na maaskofu waende Zanzibar na kuhubiri kuhusu kuvumiliana kwa dini na dini. Nayasema haya kwani wakianza kulipizana hapatakalika bara wala visiwani. Hatua zianze sasa, before is too late. RIP padre.
Maaskofu wakawaambie wakristu wavumilie nini, kuuliwa?
 
Naona unajiliwaza na kujifariji mauji ya Mwembechai nayo alikuwa Kikwete.
Mwembechai waliowauwa walikua kina nani? Si polisi? Unataka kufananisha na hii ya kuvizia? Mwembe chai mloileta vurugu mkadhibitiwa kisawasawa!
 
Tunasubiri Tamko la viongozi wakuu wa dini hususani kardinali Pengo na rais wa baraza la maaskofu Tarsius Ngalalekumtwa mkichelewa sisi tunaenda kufa mashahidi tumechoka tena tumechoka sana!
 
Hivi nyie Wakiristo mtu hakiwa Muislam ni gaidi basi siku Dr Slaa akichukuwa nchi mtuchinje wote mbakie peke yenu Wakirsto watupu.

Muulize Gaidi Mohamedi Said kwenye mafundisho yake kwamba waislam wanazulmiwa wewe si mwanafunzi wake kasome zile posti zake au unataka nizilete hapa? hakuna sababu yakuzileta kwasababu unazifahamu.

Msikilize huyu Ilunga gaid anahamasisha maasikofu na mapadre wachinjwe, unaweza kutuambia wanamakosagani hata

wahukumiwe kifo?
 
kwenye wall ya fb uhamsho wameandika askof je hii imekaaje, hapa padri au na askof tena ni kapigwa.........

Inauma sanaaaa, nape na wenzako umeubili sana juu ya udini, ukabila na chuki kwa wananchi mkizani ndio suluhu la kutokomeza upinzani nchini nakwambia usijeungashanga na wewe wakakulipua walinzi sio tatitizo.......

Inauma sanaaaa, raha ya milele upe ehe bwana na mwanga wa milele umpatie padri na hapumzike kwa amani.
 
Tupendane bila kuangalia

  1. Kipato/Tabaka
  2. Jinsi/Jinsia
  3. Umri
  4. Udini
  5. Ukanda
  6. Ukabila
  7. Rangi
  8. Uraia
  9. Itikadi
  10. ……

quraan haifundishi hivyo, ndugu zetu waislamu wangelijua hili kusingekuwa na vurugu au ubaguzi wa kidini.
 
huo ndio mwisho wa upeo wa elimu ya maddrasatul.narrow minded.padre wa mungu kawakosea nini?kwani aliingia msikitini kusalisha?serikali zanzibar ijipange kuwajibika na matukio haya ya kila siku dhidi ya wakristo.wameona wakichoma makanisa yanajengwa mengine mazuri zaidi na kwa kasi,sasa wakaona waondoe spiritual power ya mungu.sisi sote waislam na wakristo tunamwabudu mungu mmoja,hivyo ukiua kiongozi wa kanisa ama kuchoma kanisa unamchokoza mungu yule yule unayemwabudu kwa SWALA TANO KILA SIKU.Nadhani hili halihitaji PHD kufikiri, watumie elimu ya kawaida tu kulinganisha matendo wanayofanya wenzetu dhidi ya wakristo na ibada zao za swala 5 kwa mungu huyu huyu wanayemchomea makanisa yake na kuua watumishi wake kisha saa saba upo msikitini unamuomba mungu huyu huyu.NA WATAMBUE KUWA MUNGU SI BINADAMU,NA MWISHO WAO NI MBAYA.UKISHALAANIWA KWA MATENDO YAKO MAOVU NA YA KIDHALIMU DHIDI YA BINAMU WENZIO TENA WATUMISHI WA MUNGU, BADALA YA KUCHOMA MAKANISA UTAJIKUTA UNAJICHOMA MWENYEWE.NAKUMBUKA MAKANISA YALIVYOCHOMWA ZANZIBAR INSTANTLY HAZIKUPITA SIKU,MERIKEBU ZA YONA WA TARSHISHI ZILIPATA DHORUBA KALI.ILE NI ISHARA YA KUPINGANA NA MUNGU. PADRE MUSHI AMEFARIKI AKIWA ANATEKELEZA KAZI YA MUNGU.MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALA PEMA NA APUMZIKE KWA AMANI.
 
cc tunaongea Tanzania wewe unaongea Mombasa? kweli wewe kichwa boga.

we ndo boga zaidi, misiongelei nchi naongelea mauaji ya viongozi wa dini haijalishi wapi wameuawa, alafu waambie makafiri wenzio waache uchochezi wa kuhusisha mauaji ya padri na uislam.
 
Tusipokuwa makini hawa watu watatumaliza! hivi nani asie kufa?
Tatizo umeshalitaja
mbele ya swali lako au unataka upewe tatizo gani tena?
Tatizo ni kuwa waislamu hawatupendi na wana vita na chuki kubwa sana juu
ya ukristo at the same time wakristo wanaendelea kulala usingizi fofofo
wakizani hawa jamaa ni ndugu zetu.
 
Mwembechai waliowauwa walikua kina nani? Si polisi? Unataka kufananisha na hii ya kuvizia? Mwembe chai mloileta vurugu mkadhibitiwa kisawasawa!

Kwa hiyo unataka kusemaje?
 
Tatizo wewe ndio unayeandika propaganda Zanzibar kanisa halikuanza jana; soma historia ya kanisa; upo uwezekano labda alikuwa haelewani na mmoja wa kondoo aliokuwa akiwachunga; hivi wewe hujasikia padri ametembea mke wa muumini kanisani? au padri kapora mke wa mtu? si mnao mfano hai! Upo uwezekano mkubwa tu kauliwa na muumini mwenzake; mtu hatoki tu nyumbani kwake na kusema leo nikaue padri labda kama ni mgonjwa wa akili

Chama
Gongo la mboto DSM
Laana na iwe juu ya kichwa chako na kizazi chako chote na damu ya Paroko MUshi na iwe ndani ya roho yako uwe kichaa na ufe ukiokota makopo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom