Zanzibar: Rais Magufuli amshangaa Dk. Shein kusaini makaratasi ya mtu aliyekataa mkono wake

Acha nchi inyooshwe mlizoea ujingaujinga, kwa sasa ujinga hauna nafac na mtavmba mpaka mtapasuka.
Hivi wewe mzima? mtoa mada anauliza kama staiki hizo zinatokana na katiba au hisani ya Shein? sasa anaposema asingefanya hivyo angevunja katiba? Shein anasaini kwa sababu ni sheria. kwanini tuna katiba ni kuogopa watu wanaoweza kufikiri wako huru kufanya chochote
 
Huyo mchumia tumbo atakupotezea muda wako mkuu, mpuuzie tu
 
Kama usemacho ndicho basi hii inchi imekua ikitawaliwa na chama kijinga jinga na sera zake za kijinga jinga.. Nasasa eti CCM inataka kujaribu njia ingine ya kijinga ya kidikteta. Ikishindwa mtatumia njia gani nyingine?
Mkuu mbona ninyi mnapelekwa kijingajinga na baba yenu na hatuwashangai?

Mbona ninyi mwatushangaa?

Kuna kosa tukiwaita wambea?
 
Hivi kujichukilia sheria mkononi ni kupiga wezi pekee..?? Unapovunja haki za mtu kikatiba au kisheria siyo kujichukulia sheria mkononi..?? Unapoacha kufuata kinachosemwa na katiba na ukaweka utashi au hisia au maoni yako ysnayopingana na katiba, si kujichukulia sheria mkononi..?? WATAALAMU SAIDIE HAPA
 
Hahaha wengi mtateseka lakini mtakuja kumbuka baadae aina hii ya uongozi. Ukitaka kujua vizuri uliza Rwanda walifikaje hapo ndani ya kipindi kifupi. walihangaika kwa kipindi fulani kwa shida lakini nadhani wako sasa kwenye mteremko sasa. Tusipoangalia watatupita wakati sisi ni wakongwe kupita nchi zote hizi zinazotuzunguka. Ni aibuuuu
 
Hatari sana..,...nafikiri akina lowasa,sumaye watanyanyasika sana kupata haki zao,wawe wepesi kuuambia umma endapo itatokea,mbona hii ni haki ya kisheria!! Kulikoni!!! Sheria yenyewe si ya muungano!!
Hivi ni mtu wa kulipiza kisadi kiasi hicho? Anaenda kanisani kufanya nini?
 
Mkuu mbona ninyi mnapelekwa kijingajinga na baba yenu na hatuwashangai?

Mbona ninyi mwatushangaa?

Kuna kosa tukiwaita wambea?


Kwa hiyo mnaiga kwa jirani sio?
 
Watanzania badala yaa kumchagua Rais mkamchagua baunsa mpigaji push ups...
Ungependa achaguliwe rais nani kamanda tupe mawazo yako pls. Najua swali hili huna jibu lake. Utakuwa na akili sana ukiwa na jibu la swali hili
 

Nchi ni ya wazanzibar wote sheria zote atasign kama ilivyoelekezwa, suala la mkono kupeana siyo hoja na halijaandikwa popote zqnzibar kua tutasalimiana kwa kupeana mikono.

Tena usiwe unaleta personal issues na constitution issues,kamuulize yule Rais kipofu nafsi inavyomsuta..... hii ni dunia, ata huyo rais Magu namshangaa Sana ajui kua waliokupandisha ndo watamshusha?
 
Mkuu mbona ninyi mnapelekwa kijingajinga na baba yenu na hatuwashangai?

Mbona ninyi mwatushangaa?

Kuna kosa tukiwaita wambea?
Ukijiona unafanya maamuzi kwa vile tu mwenzio kafanya, BASI JUA AKILI YAKO INAKUFA..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…