Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku mkono wake utakapo kupitia basi utajua tu unaumaje. Shangilia tuSAFI SANA TUMEPATA RAIS SAHIHI KWA MUDA SAHIHI
Mkuu Lowasa na Sumaye wajanja wale wazee,hawawezi kufanya utumbo wa dizaini ile,kwa hiyo si rahisi kuingia mtegoni kihivyo,na mfano mzuri si tuliuona jinsi Lowasa alivyosalimiana kwa upendo na Mheshimiwa Rais?Ile ndo inaitwa akili ni bora kuliko mali.Wewe huwezi kumletea dharau bosi wako halafu utegemee akupe utumishi uliotukuka,ukijiingiza kwenye vita ya mawe halafu ukakimbilia kwenye jumba la vioo huku unawahi kufunga milango na kufuli ni kuichekesha jamii.Hatari sana..,...nafikiri akina lowasa,sumaye watanyanyasika sana kupata haki zao,wawe wepesi kuuambia umma endapo itatokea,mbona hii ni haki ya kisheria!! Kulikoni!!! Sheria yenyewe si ya muungano!!
Huo siyo mfano maana hakukuwa na njia ya kupenya kwani hesabu hazidanganyi na hata huo uchaguzi wangeenda kuufanyia marekani lazima ukawa wangeshinda yaani ni sawa na kutabiri mvua kunyesha kipindi cha masika
Acha nchi inyooshwe mlizoea ujingaujinga, kwa sasa ujinga hauna nafac na mtavmba mpaka mtapasuka.
Jiongeze kidogo mkuu,hivi unadhani Boss akiziweka pending hizo form za kusign utamlazimisha asign?Ukienda kusainiwa fomu kwa mjumbe wa nyumba kumi tu ukienda kuchukua signature unaenda mikono nyuma na ukijidai mjuaji wenye adabu zao watachukua signature wanakuacha unasota.Signature utapata lakini utasota sana sasa kwanini uhangaike kwa ujinga wa kufikiri tu,HESHIMA NI SILAHA KALI KULIKO HATA PANGA LILILOTOKA KUNOLEWA NA TUPA.Kwani Shein anaamua yeye au katiba ya nchi ndo inamfanya asaini
Duh hivi ulifikiria unachokiandika mkuuuAcha nchi inyooshwe mlizoea ujingaujinga, kwa sasa ujinga hauna nafac na mtavmba mpaka mtapasuka.
Jiongeze kidogo mkuu,hivi unadhani Boss akiziweka pending hizo form za kusign utamlazimisha asign?Ukienda kusainiwa fomu kwa mjumbe wa nyumba kumi tu ukienda kuchukua signature unaenda mikono nyuma na ukijidai mjuaji wenye adabu zao watachukua signature wanakuacha unasota.Signature utapata lakini utasota sana sasa kwanini uhangaike kwa ujinga wa kufikiri tu,HESHIMA NI SILAHA KALI KULIKO HATA PANGA LILILOTOKA KUNOLEWA NA TUPA.
Kwahiyo wewe unajifanya humjui Bob kama ni kawaida yakeSiamini kama Rais katoa kauli hiyo, weka clip.. maana kinywa cha Rais hakiwezi kutamka maneno hayo
nimekupa like, sijui itakuwa ni uchochezii?Ndio madhara ya KUOKOTA urais
Kauli tumeshazichoka sasaHata kama hakuna njia ya kutokea hapa tunazungumzia kauli.