tanga kwetu
JF-Expert Member
- May 12, 2010
- 2,193
- 1,437
Yeye kaona hicho, wewe sema ulichoona.Ndio kitu pekee ulichokiona cha muhimu alichosema Rais hicho??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeye kaona hicho, wewe sema ulichoona.Ndio kitu pekee ulichokiona cha muhimu alichosema Rais hicho??
Mkuu si ulikuwa shabiki maandazi wewe hasara mmetugea nyieNiliwaambia hapa kaeni tayari kwa lolote leo. Tushakula hasara miaka mitano
Hongera kwa kutambua hilo,ndio nyie nyie ujanja mwingi mbele giza,wazee wa mbio za sakafuni.You are very low than we expected.....
Katiba ndo inamtaka assign na sio matakwa yake.....
Nisamehe mkuu huyu jamaa ana idea nzuri na nia nzuri lakini utekelezaji wa Sera zake imekuwa ni tatizo. Nakiri nilimchaguwa lakini kwa sasa keshaniboa sana tu.Mkuu si ulikuwa shabiki maandazi wewe hasara mmetugea nyie
Yule anayegoma kusalimiana ndio sio mshari?Jamaa ni mshari-asilia. Anapenda ugomviugomvi.
Unajivurunga mwenyeweJamani huyu mtu akiachiwa atazidi kuivuruga nchi, ana matatizo makubwa
Ni mdudu ngani chadema?Haaah, hivi mnasema kweli kayasema haya?
Mkapa tunakuomba for the sake of this country mshauri mtu wako, nchi inakwenda kuangamia kabisa au ndo yale ya kumruhusu jini akatoka nje ya chupa ikashindikana kumrudisha tena.
Halafu Chadema tunadanganywa na hawa viongozi wa dini - watamuweza huyu?
Wanaotakiwa kuikoa nchi hii sasa ni wabunge tu, vinginevyo we are doomed as a country.
Kikwete upo wapi????????Pengine engine inahitaji overhaul kwakuwa nikiangalia radiator haina shida au pengine ni waterpump[emoji23] [emoji23]
Mama yangu ni ccm kindakindaki yan khs ccm humwambii kitu..cha ajabu Leo tunaangalia taarifa ya habari ikaja hii ya mkulu akiwa Pemba,hcho kipande kilipokwisha nilishangaa bimkubwa akitamka maneno kwa kilugha chetu akimaanisha"Khaaa..haki ya Mungu huyu jamaa kaongea ongea VP?" kwa ninavyomjua mama khs ccm binafsi nilistaajabu yeye kumshangaa mkulu..yan siyo kawaida.Ndio maana nikiona anaongea namute, nisijeghafirika bureee!!
Kutoka Unguja Mh. Rais wetu mpendwa anaongea.... Rais kamshangaa Dr. Shein kwa jinsi gani anaweza kusaini makaratasi ya mtu anayekataa kumpa mkono
Hatari sana..,...nafikiri akina lowasa,sumaye watanyanyasika sana kupata haki zao,wawe wepesi kuuambia umma endapo itatokea,mbona hii ni haki ya kisheria!! Kulikoni!!! Sheria yenyewe si ya muungano!!
Hatari sana..,...nafikiri akina lowasa,sumaye watanyanyasika sana kupata haki zao,wawe wepesi kuuambia umma endapo itatokea,mbona hii ni haki ya kisheria!! Kulikoni!!! Sheria yenyewe si ya muungano!!
Jamaa anashangaza wengi, basi tu wanajifariji.Mama yangu ni ccm kindakindaki yan khs ccm humwambii kitu..cha ajabu Leo tunaangalia taarifa ya habari ikaja hii ya mkulu akiwa Pemba,hcho kipande kilipokwisha nilishangaa bimkubwa akitamka maneno kwa kilugha chetu akimaanisha"Khaaa..haki ya Mungu huyu jamaa kaongea ongea VP?" kwa ninavyomjua mama khs ccm binafsi nilistaajabu yeye kumshangaa mkulu..yan siyo kawaida.