Zanzibar: Rais Magufuli amshangaa Dk. Shein kusaini makaratasi ya mtu aliyekataa mkono wake

You are very low than we expected.....
Katiba ndo inamtaka assign na sio matakwa yake.....
Hongera kwa kutambua hilo,ndio nyie nyie ujanja mwingi mbele giza,wazee wa mbio za sakafuni.
 
Haaah, hivi mnasema kweli kayasema haya?
Mkapa tunakuomba for the sake of this country mshauri mtu wako, nchi inakwenda kuangamia kabisa au ndo yale ya kumruhusu jini akatoka nje ya chupa ikashindikana kumrudisha tena.
Halafu Chadema tunadanganywa na hawa viongozi wa dini - watamuweza huyu?
Wanaotakiwa kuikoa nchi hii sasa ni wabunge tu, vinginevyo we are doomed as a country.
 
Ni mdudu ngani chadema?
 
Unafiki mmbaya sana!JPM kwa kauli hiyo yupo sahihi kabisa,na mleta mada angetenda haki kama angeleta maelezo yote ya alichoongea JPM.
Kwa hilo namuunga mkono jpm,mleta mada leta maelezo yote ya alichozungumza jpm
 
Ndio maana nikiona anaongea namute, nisijeghafirika bureee!!
Mama yangu ni ccm kindakindaki yan khs ccm humwambii kitu..cha ajabu Leo tunaangalia taarifa ya habari ikaja hii ya mkulu akiwa Pemba,hcho kipande kilipokwisha nilishangaa bimkubwa akitamka maneno kwa kilugha chetu akimaanisha"Khaaa..haki ya Mungu huyu jamaa kaongea ongea VP?" kwa ninavyomjua mama khs ccm binafsi nilistaajabu yeye kumshangaa mkulu..yan siyo kawaida.
 
Kutoka Unguja Mh. Rais wetu mpendwa anaongea.... Rais kamshangaa Dr. Shein kwa jinsi gani anaweza kusaini makaratasi ya mtu anayekataa kumpa mkono
Hatari sana..,...nafikiri akina lowasa,sumaye watanyanyasika sana kupata haki zao,wawe wepesi kuuambia umma endapo itatokea,mbona hii ni haki ya kisheria!! Kulikoni!!! Sheria yenyewe si ya muungano!!

Hawawezi kunyanyasika ,alimradi tu wawe na adabu kwa serikali.
 
Mama yangu ni ccm kindakindaki yan khs ccm humwambii kitu..cha ajabu Leo tunaangalia taarifa ya habari ikaja hii ya mkulu akiwa Pemba,hcho kipande kilipokwisha nilishangaa bimkubwa akitamka maneno kwa kilugha chetu akimaanisha"Khaaa..haki ya Mungu huyu jamaa kaongea ongea VP?" kwa ninavyomjua mama khs ccm binafsi nilistaajabu yeye kumshangaa mkulu..yan siyo kawaida.
Jamaa anashangaza wengi, basi tu wanajifariji.
 
[HASHTAG]#Whereisthelove[/HASHTAG]

Back
Top Bottom