Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Ukishakula nyama ya mtu hutaacha... hii dhambi ya ubaguzi itakufuata kila mahala..Hata mimi sisaini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukishakula nyama ya mtu hutaacha... hii dhambi ya ubaguzi itakufuata kila mahala..Hata mimi sisaini.
Hivi wewe mzima? mtoa mada anauliza kama staiki hizo zinatokana na katiba au hisani ya Shein? sasa anaposema asingefanya hivyo angevunja katiba? Shein anasaini kwa sababu ni sheria. kwanini tuna katiba ni kuogopa watu wanaoweza kufikiri wako huru kufanya chochoteAcha nchi inyooshwe mlizoea ujingaujinga, kwa sasa ujinga hauna nafac na mtavmba mpaka mtapasuka.
Na ndio maana Mungu hajapanga uwe wewe au yeye, otherwise ni kubaki na maumivu ya moyo.Hata mimi nisingesaini hayo karatasi ya mtu wa aina hiyo.
Sasa unataka umfanyeje?Jamani huyu mtu akiachiwa atazidi kuivuruga nchi, ana matatizo makubwa
Mungu wAngu, wewe me usijitoe ufahamu Hivyo Jamani, nnajiskia vibaya Sana kuwa kuna mtu wa Aina hii kwenye jukwaa hili!! God forbid!!!Hata mimi nisinge saini.
Huyo mchumia tumbo atakupotezea muda wako mkuu, mpuuzie tuUnawaza kupita tu hao wabunge wanahoji upunguaji wa mizigo ina maana huo upupu wako hawaujui?
Umefanya yapi mazur kuwavutia watu wafanyebiashara hapo nyie ndo mnadhihirisha unyumbu mkuu wako analia na ufichwaji wa fedha wakat hana anachouza wala kuzalisha wataalamu wanakwambia uchumi unaporomoka nyie mmekalia hayo maupupu yenu mtatafuta hela had uvunguni na kuchampa mpya bila ya kuweka mipango imara ya kukuza uchumi.
hawajui hao waambie!Suala si kmfanya chochote. Mpimeni kama yuko sawa, msimshabikie tu. Mnamkumbuka mfalme Sauli alivyokuwa alipoachwa na roho wa Mungu?
Huyo mchumia tumbo atakupotezea muda wako mkuu, mpuuzie tu
Mkuu mbona ninyi mnapelekwa kijingajinga na baba yenu na hatuwashangai?Kama usemacho ndicho basi hii inchi imekua ikitawaliwa na chama kijinga jinga na sera zake za kijinga jinga.. Nasasa eti CCM inataka kujaribu njia ingine ya kijinga ya kidikteta. Ikishindwa mtatumia njia gani nyingine?
Hahaha wengi mtateseka lakini mtakuja kumbuka baadae aina hii ya uongozi. Ukitaka kujua vizuri uliza Rwanda walifikaje hapo ndani ya kipindi kifupi. walihangaika kwa kipindi fulani kwa shida lakini nadhani wako sasa kwenye mteremko sasa. Tusipoangalia watatupita wakati sisi ni wakongwe kupita nchi zote hizi zinazotuzunguka. Ni aibuuuuUnawaza kupita tu hao wabunge wanahoji upunguaji wa mizigo ina maana huo upupu wako hawaujui?
Umefanya yapi mazur kuwavutia watu wafanyebiashara hapo nyie ndo mnadhihirisha unyumbu mkuu wako analia na ufichwaji wa fedha wakat hana anachouza wala kuzalisha wataalamu wanakwambia uchumi unaporomoka nyie mmekalia hayo maupupu yenu mtatafuta hela had uvunguni na kuchampa mpya bila ya kuweka mipango imara ya kukuza uchumi.
Hivi ni mtu wa kulipiza kisadi kiasi hicho? Anaenda kanisani kufanya nini?Hatari sana..,...nafikiri akina lowasa,sumaye watanyanyasika sana kupata haki zao,wawe wepesi kuuambia umma endapo itatokea,mbona hii ni haki ya kisheria!! Kulikoni!!! Sheria yenyewe si ya muungano!!
Mkuu mbona ninyi mnapelekwa kijingajinga na baba yenu na hatuwashangai?
Mbona ninyi mwatushangaa?
Kuna kosa tukiwaita wambea?
Ungependa achaguliwe rais nani kamanda tupe mawazo yako pls. Najua swali hili huna jibu lake. Utakuwa na akili sana ukiwa na jibu la swali hiliWatanzania badala yaa kumchagua Rais mkamchagua baunsa mpigaji push ups...
Ambague nani. Kwani katika upuuzi ule nano alianza. Shein akiwa hana hata kinyongo kanyoosha mkono. Rais mzima mzima. Huyu mwingine kwa ujinga tu eti anasusa. Kama si utoto ni nini. Ndio maana nasema hata ningekuwa mimi Shein. Huyo jamaa akija kwangu kwanza anieleze kaja kwangu kama nani. Je ananitambua mimi ni nani. Na anataka nimsaidieje. Hiyo ndio spirit ya kunyooshana. Hatutaki ujinga ujinga kamanda. Hizi zama nyingine. Zama zile ambazo bado mpo tulishapita huko. Mtakuwa mmepitwa na wakati tuu
RaisUngependa achaguliwe nani kamanda tupe mawazo yako pls
Ukijiona unafanya maamuzi kwa vile tu mwenzio kafanya, BASI JUA AKILI YAKO INAKUFA..Mkuu mbona ninyi mnapelekwa kijingajinga na baba yenu na hatuwashangai?
Mbona ninyi mwatushangaa?
Kuna kosa tukiwaita wambea?
Kwako seif anania nzuri ya kuunganisha wazambari