Zanzibar: Rais Magufuli amshangaa Dk. Shein kusaini makaratasi ya mtu aliyekataa mkono wake

Zanzibar: Rais Magufuli amshangaa Dk. Shein kusaini makaratasi ya mtu aliyekataa mkono wake

Nimesikiliza hotuba ya Rais ya JPM akimshauri Rais wa Zanzibar kuwa kwasababu Shein ndiye anayesaini stahiki za yule aliyemkatalia kumpa mkono siku ya mazishi ya mzee Jumbe basi Shein naye asisaini tena stahiki za huyo mtu.
Nimejiuliza maswali mengi sana lakini mojawapo likawa ni Je stahiki za Maalim Seif ni za hisani ya rais aliyeko madarakani au ni matakwa ya kisheria/kikatiba?
Na je kama ni matakwa ya kikatiba; JPM anamanisha kwamba Shein avunje katiba kwa kutosaini stahiki hizo? Ama kweli safari ndo imeanza.....
What does the law say? Ni vizuri kusoma hotuba!
 
Kwani anadhani Dr. Shein anasaini stahiki za mpinzani wake (Maalim Seif) kwa hiyari yake? Huyo baba Jesca hajui kwamba kuna taratibu za kisheria zimewekwa na zimetajwa kwenye katiba kuhusu stahiki za wastaafu level ya Maalim Seif au ndo anadhihirisha ile tabia yake ya kutofuata utawala wa sheria?
 
Licha yakupenda alivyotunuosha nchi sasa one adabu ila du pls mtu wetu usimfikie mgabe n.a. kauli zake
 
Acha nchi inyooshwe mlizoea ujingaujinga, kwa sasa ujinga hauna nafac na mtavmba mpaka mtapasuka.
Kama usemacho ndicho basi hii inchi imekua ikitawaliwa na chama kijinga jinga na sera zake za kijinga jinga.. Nasasa eti CCM inataka kujaribu njia ingine ya kijinga ya kidikteta. Ikishindwa mtatumia njia gani nyingine?
 
Front page and head line manufacturing industries!!
That is how the politicians do!!
Don't and please don't trust such buddies the reality is their own names which they postuleted the rest are just the political platitude a merely wishful thought!!
 
Naanza kumkumbuka marehemu Chiluba jinsi alivyoingia madarakani na kudharau waliomtangulia kama Mzee Kaunda. Kilichotokea ni kuwa baada ya yeye kuondoka madarakani aliyoyafanya kwa mwenzie yakajirudi kwake na alikaa sana "Segerea" ya Zambia na hakuna aliyemuunga mkono tena akajihisi upweke sana na ndio uliochangia safari yake ya peponi au jehanamu mapema. Madaraka ni dhamana unayoipata miongoni mwa wengi sio ujanja wako, hebu muoneni JK jinsi alivyoishi kwa kauli za hekima kiasi kuwa hata kama kamuumiza mtu bado unamuona binadamu.
 
Back
Top Bottom