Zanzibar: Rais Magufuli amshangaa Dk. Shein kusaini makaratasi ya mtu aliyekataa mkono wake

Brother
We have the president with non presidential material ever happen before
 
Raisi wa VISASI na KIBURI hawezi kuleta maendelea kwa nchi yoyote ile.

NEVER!
Mkuu
Hawa watu wanamtaja Mungu bure tu..
Huyu mtu anaesema watanzania wamuombee kweli hata sara zao zitafika?
Mtu uliehubiri upendo kuachana na chuki juzi tu kwenye ndoa ya mkapa leo ukahubiri chuki pemba
..hivi viongozi wake wa kiroho wamuelewe vipi?
Kama hawatii aibu ni nini??
 
hizo pesa anazosaini Shein ni zake au ni kodi zetu? Hayo mambo ya kupeana mikono yako kwenye sheria gani? mnataka kutumia ofisi za umma kwa mahaba yenu?
 
Ninapatwa na mashaka mengi kuwa pengine kuna wakati bob anakuwa sio yeye yaani akili yake inapata intruders. .na hili linasemwasemwa
Watu wanasema sema ..nimeona na mimi kuna mtu kaeleza kuwa utotoni jamaa alianguka kwenye mti sasa kuna kitu fulani hakija kaa vizuri from then
 
Hivi kama ni hotuba umeshawahi zisikia hotuba za Seif ? bora Magu anakoleza moto lakini Seif anakolezaga gesi. Ambayo ikilipuka utaona masizi tu.tuache kudanganya raia. Wananchi wameshazinduka hamuwaongopei tena.
magufuli aliporwa ushindi wake na Jecha?
 
Magufuli awe na written speeches siyo Propaganda.
Huyu ndiye Rais muafaka kwa wakati muafaka na kwa kuirudisha nchi kwenye line. Mtanyooka tu hiyo bembeleza bembeleza ndoo imeifikisha nchi mahali hapa.
 
wacha uwongo huo.. mara ya mwisho alipoenda matibabu india Serikali ndiyo iliyolipa gharama zote.. Naona una goldfish memory.. kwani hiyo habari ilienea kila sehemu.. tafuta chengine cha kudanganya
Kama gharama za matibabu ya mstaafu makamu wa rais yako ki sheria kuwa laxima atibiwe kwa pesa ya serikali..tatizo ni nini??
Ni wajibu wake shein kuhakikisha hilo na wala hakufanya hivo kwa hisani binafsi
 
Ndio kitu pekee ulichokiona cha muhimu alichosema Rais hicho??

Cho chote anachosema rais ni cha muhimu.

Nyerere alikaa urais muda mrefu sana, kuna hotuba yake moja alisema rais akipiga chafya tu dunia nzima inasikiliza.

Chafya. Dunia.

Sembuse maneno.

Magufuli hana kifua cha maneno. Hii ni tabia mbaya sana kwa rais. Inaweza kuleta vita.
 
kwahiyo Jecha ni Mungu? acheni kutafsiri maandiko huku hamtendi haki.
 
Hajui kuchuja maneno...hana maono wala dira..kwake linalomwijia kichwan anaropoka..hili ni tatizo kubwa na kwa mtindo huu wa kauli za kibabe wala hawezi kulisogeza taifa mbele..leo ukweli unaanza kujidhihili...uchumi wa nchi uko hovyo sana..lakin yy bado ni majigambo ..

Hotuba zake huwezi kuzifanyia marejeo zimejaa ubinafsi..mimi ndio rais..mimi ndio rais..huku akitafuta umaarufu kwa watanzania wajinga wanaomshukuru kwa kuliwezesha tukio la kupatwa kwa jua kutokea nchini...

Si kila msitu ni kwa ajili ya kila nyani..hata nafasi ya urais si kwa kila mtu wa aina yake..ajifunze kuliunganisha taifa na sio kuligawa..asifikir yeye ana akili sana kuliko watanzania wengine..zile pushups na kupita juu ya roof ya gari vinasadifu aina ya mtu tulie nae..

Kwa bahati mbaya hata waziri mkuu nae kawa kimya na kwa hali ilivyo inaonekana ni mtu wa kuburuzwa asiyeweza mshauri rais ipasavyo..yupo yupo tu anahangaika..
Ziara yake zanzibar imetia chumvi kwenye kidonda...mambo ya ajabu sana..
 
hata Nyere alikuwa na dhamira nzuri na nchii lakini tulivaa viraka.
 
Rais anahubiri chuki ya watu kutumbikizana kwenye visima.
 
Kama gharama za matibabu ya mstaafu makamu wa rais yako ki sheria kuwa laxima atibiwe kwa pesa ya serikali..tatizo ni nini??
Ni wajibu wake shein kuhakikisha hilo na wala hakufanya hivo kwa hisani binafsi
Fuatilia vizuri usiwe unakurupuka tu.. mimi hapo nimemjibu pale aliposema Maalim anajilipia mwenyewe na ndiyo nikamjibu analipiwa na serikali na sijasema kabisa ya kuwa seif hastahi kulipiwa na serikali... hivi shule mnaenda kufanya nini?
 
Rais anahubiri chuki kiasi hiki? Afrika isahau maendeleo. Mungu hawezi kujalia nchi yenye watu wenye chuki kiwango hiki.
 
Magufuli ni chaguo sahihi la Mungu pia ana maamuzi sahihi na yaki-NABII.. Hata mkono wa nabii ukinipitia sio mbaya..Mkwere mlisema ni mpole sasa amekuja rais imara mnalia.. Watanzania tuliishi kwa mazoea sana tunahitaji kupigwa na mkono wa chuma.
Labda Mungu wako wa mizimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…