Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Narudia tena, kuweka karatasi pending ndio utawala wa sheria? Uingie madarakani kwa wizi halafu ulete mapozi!!?utamfanya nini rais ukiweka pending makaratasi yako?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Narudia tena, kuweka karatasi pending ndio utawala wa sheria? Uingie madarakani kwa wizi halafu ulete mapozi!!?utamfanya nini rais ukiweka pending makaratasi yako?
BrotherYeah, he never means what he says, Magufuli anachokisema huwa anamaanisha kinyume chake. Akisema nakupenda anataka kukuua!
Magufuli anasema Uchaguzi umekwisha. Halafu anapanda jukwaani kumpigia posthumous campaign Makame Mbarawa ambae alishapigwa chini jimbo la Mkanyageni. Anawaambia watu kwa nini hamkumchagua ubunge Mbarawa, sasa hebu nambie, huyu Mbunge wa sasa unataka watu wafanye nini, wam isolate? Wasimpe ushirikiano? Huo si ndio uchochezi wenyewe? Utasemaje uchaguzi umekwisha halafu unawakandya wapiga kura kwa kuchagua mtu fulani????
Makame Mbarawa hata wakilazimisha he does not have a very bright future in national politics, not least because he hails from Pemba, which is a C.U.F. stronghold. Waziri Mkuu hawezi kwa sababu lazima uwe mbunge wa kura.
Labda wamfanye kama Shein wambebe bebe C.C.M. huko awe Makamu baadae Rais wa Zanzibar. Shein alishawahi kushinda ubunge Pemba? I don't remember.
Are you sound mind?????Huo ndio ukweli Seif ilibidi afunzwe adabu.
MkuuRaisi wa VISASI na KIBURI hawezi kuleta maendelea kwa nchi yoyote ile.
NEVER!
hizo pesa anazosaini Shein ni zake au ni kodi zetu? Hayo mambo ya kupeana mikono yako kwenye sheria gani? mnataka kutumia ofisi za umma kwa mahaba yenu?Ambague nani. Kwani katika upuuzi ule nano alianza. Shein akiwa hana hata kinyongo kanyoosha mkono. Rais mzima mzima. Huyu mwingine kwa ujinga tu eti anasusa. Kama si utoto ni nini. Ndio maana nasema hata ningekuwa mimi Shein. Huyo jamaa akija kwangu kwanza anieleze kaja kwangu kama nani. Je ananitambua mimi ni nani. Na anataka nimsaidieje. Hiyo ndio spirit ya kunyooshana. Hatutaki ujinga ujinga kamanda. Hizi zama nyingine. Zama zile ambazo bado mpo tulishapita huko. Mtakuwa mmepitwa na wakati tuu
Watu wanasema sema ..nimeona na mimi kuna mtu kaeleza kuwa utotoni jamaa alianguka kwenye mti sasa kuna kitu fulani hakija kaa vizuri from thenNinapatwa na mashaka mengi kuwa pengine kuna wakati bob anakuwa sio yeye yaani akili yake inapata intruders. .na hili linasemwasemwa
magufuli aliporwa ushindi wake na Jecha?Hivi kama ni hotuba umeshawahi zisikia hotuba za Seif ? bora Magu anakoleza moto lakini Seif anakolezaga gesi. Ambayo ikilipuka utaona masizi tu.tuache kudanganya raia. Wananchi wameshazinduka hamuwaongopei tena.
Huyu ndiye Rais muafaka kwa wakati muafaka na kwa kuirudisha nchi kwenye line. Mtanyooka tu hiyo bembeleza bembeleza ndoo imeifikisha nchi mahali hapa.Magufuli awe na written speeches siyo Propaganda.
Kama gharama za matibabu ya mstaafu makamu wa rais yako ki sheria kuwa laxima atibiwe kwa pesa ya serikali..tatizo ni nini??wacha uwongo huo.. mara ya mwisho alipoenda matibabu india Serikali ndiyo iliyolipa gharama zote.. Naona una goldfish memory.. kwani hiyo habari ilienea kila sehemu.. tafuta chengine cha kudanganya
Ndio kitu pekee ulichokiona cha muhimu alichosema Rais hicho??
kwahiyo Jecha ni Mungu? acheni kutafsiri maandiko huku hamtendi haki.Anayevunja maagizo ya mwenyezi mungu anayetuagiza tusalimiane na kuheshimu mamlaka humshangai unakimbilia kumshangaa anayevunja katiba iliyotungwa na binadamu?
Kulikuwa na hekma kubwa sana mwenyezi mungu alipotuagiza tuheshimu mamlaka,kumbuka hapa mwenyezi mungu hakuweka condition kwamba mamlaka unayotakiwa kuiheshimu ni ile unayoikubali tu,ujumbe hapo ni mmoja tu,mpe heshima anayestahili kuheshimiwa hata kama hapendi na hata kama wewe hupendi,hiyo ni kwa faida yako wewe mwenyewe...ukijidai huamini hili laana zitakapoanza kukuandama usishangae na kuanza kusingizia katiba,kama yeye ni hodari wa katiba kwani katiba inaruhusu kumdhalilisha mkuu wa nchi?ukijidai mtu wa timing ujue watu wenye mipango ya kichwa wapo pia.
hata Nyere alikuwa na dhamira nzuri na nchii lakini tulivaa viraka.KWAHIYO UNASEMA KUWA KWA KAULI HIYO YA RAIS BASI NCHI INAKWENDA KUANGAMIA...IS IT?
HILO NDILO AMBALO MMEONA LINAANGAMIZA NCHI NA SUALA LA SEIF KUTOMPA MKONO RAIS SHEIN MLIONA NI JAMBO LENYE KHERI KWA MUSTAKABALI WA NCHI.
RAIS WETU MPENDWA MARA NYINGI AKIWA ANAZUNGUMZA HUWA PIA ANAIFURAHISHA HADHIRA YAKE KWA KUCHOMEKEA MANENO YA UTANI...NYIE BAVICHA MNAKAA ATTENTION KUSIKIA KAULI GANI ANAITOA MJE KUPOTOSHA HAPA KWA KUSEMA ANAMAANISHA....
RAIS JPM TUNAMFAHAM VIZURI NA TUNAIFAHAMU DHAMIRA ALIYONAYO KWA TAIFA LETU YA KUONA KILA MTU ANAISHI MAISHA MAZURI YENYE MATUMAINI. KUWEPO WATU WA KUMPINGA NA KUPOTOSHA HAIEPUKIKI KWAKUWA WAPO WATU AMBAO DHAHIRI HAWATAFURAHISHWA NA NIA YA SERIKALI YAKE YA KUPAMBANA NA RUSHWA NA UZEMBE KAZINI. WATU HAO NI WACHACHE UKILINGANISHA NA WANYONGE AMBAO TUKO WENGI NA TUNAMUUNGA MKONO...
Miaka kumi kivipi?? Hiyo mitano yenyewe sijui... Kwa style hii miaka kumi??..imenihuzunisha sana hii kauli but miaka 10 sio ming sana
DuhhhhhWatu wanasema sema ..nimeona na mimi kuna mtu kaeleza kuwa utotoni jamaa alianguka kwenye mti sasa kuna kitu fulani hakija kaa vizuri from then
Mbona ueleweki?, Shain akatoe Mkono kwa nani?Shein sasa nenda katoe mkono haraka.
Fuatilia vizuri usiwe unakurupuka tu.. mimi hapo nimemjibu pale aliposema Maalim anajilipia mwenyewe na ndiyo nikamjibu analipiwa na serikali na sijasema kabisa ya kuwa seif hastahi kulipiwa na serikali... hivi shule mnaenda kufanya nini?Kama gharama za matibabu ya mstaafu makamu wa rais yako ki sheria kuwa laxima atibiwe kwa pesa ya serikali..tatizo ni nini??
Ni wajibu wake shein kuhakikisha hilo na wala hakufanya hivo kwa hisani binafsi
Labda Mungu wako wa mizimuMagufuli ni chaguo sahihi la Mungu pia ana maamuzi sahihi na yaki-NABII.. Hata mkono wa nabii ukinipitia sio mbaya..Mkwere mlisema ni mpole sasa amekuja rais imara mnalia.. Watanzania tuliishi kwa mazoea sana tunahitaji kupigwa na mkono wa chuma.