Zanzibar: Rais Magufuli amshangaa Dk. Shein kusaini makaratasi ya mtu aliyekataa mkono wake

Sawa haikuwa busara je kauli ya Magufuli unaona ndio inawapatanisha au inazidi kuwatenganisha. Tafadhali naomba unijibu ukiwa hujanywa pombe
 

Soma mada uelewe ndo uje na comments otherwise unajichoresha humu. Tunazungumzia maamuzi au ushawishi unaopelekea uvunjwaji wa sheria na katiba ya nchi. Usilinganishe mapenzi na mustakabali wa nchi hii
 
Kama katika katiba inasema kila raia wa wa Tanzania analazimika kusimama bendera ya nchi inapopandishwa iweje kwa Rais kutopewa heshima yake na kudharauliwa kiasi cha seif kutokumpa mkono mbele za watu na jioni kwenda kudai pesa za matibabu
Kwani hizo pesa shein anatoa mfukoni kwake si kodi za wananchi? Wacheni kuwa na akili fupi bana .
 
Hekma na busara ni Kitu muhimu sana katika kuwaungaisha wananchi wako. Rais kawatenganisha wazanzibari Jana badala ya kuwaunganisha.
Btw huu Uenyekiti wa CCM hapa JF kakupa nani? au ndio mambo ya kujitengenezea njia uonekane. Haya kila la kheri.
 
Kauli za mkuu ndio zitaleta umasikini.
 
Sasa wewe kwa akili yako hiyo nusu ulojaaliwa rais anawaunganisha au anawatenganisha wazanzibari? Ndiyo maana Nabii Suleiman as alimuaomba Mwenyezi Mungu Hekma.
 
Yeye aliyekataa shughuli za Siasa,na aliyekataa mkono wa kinafiki nani wa kunyooshewa kidole?
......kuna shughuli za kisiasa za kinafiki, hizo ndo zilizo kataliwa ! kwa hiyo nyoosha kidole kwa siasa za kinafiki
 
Fyatueni na watoto kama matofali.... [emoji119][emoji119]
 
Tanzania ilikua inahitaji raisi WA aina hii tangu siku nyingi.
 
Seif anafurahia huo ubaguzi wa watu wa CUF kubagua wa CCM huko Pemba, ndo maana yuko kimyaaa !

Na yeye stahiki zake zicheleweshwe ila asinyimwa .......posho ya mwezi huu asaini June2017
 
Ndio.Ni mbinu ya kufikia Tanzania ya Magufuli,Tanzania ya uchumi wa kati,ya viwanda
 
Ukimya wa viongozi wa ngazi zote za CCM unanitia mashaka.
 
Wafanyabiashara wametishika.
...bandari ya dar nyeupeer kama uwanja wa mpira,nashauri wapageuze beach na yale mawinchi yawe bembea za watoto,waweke kiingilio 5000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…