Zanzibar: Rais Magufuli amshangaa Dk. Shein kusaini makaratasi ya mtu aliyekataa mkono wake

Zanzibar: Rais Magufuli amshangaa Dk. Shein kusaini makaratasi ya mtu aliyekataa mkono wake

Rais hivo hivo wanaangalia tu maneno yanayowahusu wao binafs mbona mengi mema uliyoyaongea ya ya maendeleo kwa wananchi hawaongei.
Watanyooka tu walizoea hao
 
Tatzo anadhani ni mzaha tu asisaini aone..
Anadhani hiyo ni Hisani yake.??
Hyo ni sheria na hayo yote hayafanyiki kienyeji..
Mimi ni Ccm ila niwe muwazi kadri siku zinapoenda naona Giza mbele..
 
ITV yale matamshi ya Rais kuhusu kumsainia mtu makaratasi yake ilikuwa ni habari muhimu ya kuipa kipaumbele katia taarifa ya habari saa mbili?
Huwa nasikiliza tuongee magazeti na Dotto Bulendu, huwa anauliza, hii ni habari? Is that news worth of a newspaper headline?; ya kuikomalia?
Wengine hatuna taaluma hiyo tunaomba elimu.
ITV wamebaki kuweweseka tu........wanatamani wangesajiliwa kama chama cha siasa!
 
Hata Mimi siwez kusaini mpaka alete mkono
 
Nimesikiliza hotuba ya Rais ya JPM akimshangaa Rais wa Zanzibar kuwa anasaini makaratasi ya mtu aliyekataa kumpa mkono siku ya mazishi ya Jumbe, na kusema kwake isingekuwa rahisi hivyo.

Nimejiuliza maswali mengi sana lakini mojawapo likawa ni Je stahiki za Maalim Seif ni za hisani ya rais aliyeko madarakani au ni matakwa ya kisheria/kikatiba?

Na je kama ni matakwa ya kikatiba; JPM anamanisha kwamba Shein avunje katiba kwa kutosaini stahiki hizo? Ama kweli safari ndo imeanza.

hapo JPM ameonesha wazi kuwa yeye hapendi kufuata katiba na sheria
 
Huyu JPM Hajui hilo ni suala la kikatiba sio utashi wake! TISS wako wapi kwenye uteuzi? Wanatuletea mizuka kama hii haijapikwa wala kuandaliwa! Shame
 
Mnalalamika nni unyooshaji wa nchi ndo unaendelea ndo kwanza tumemaliza color moja bado mgongoni na kifuani mabega nayo bado , ngoja ainyooshe nchi
 
Magufuli hajui Tanzania inaongozwa na katiba ambayo yeye mwenyewe aliapa kuilinda na kuitetea?
Kosa lake lipo wa, . Sema kuna wapinzani uchwara wachumia tumbo wanatafuta kiki ya kuonekana kwa wananchi. Wanatoa matamshi kwa kukurupuka. Ndio ile mfano wa UKUTA.eti ukuta ,ndio nini takataka hii. Ujinga mtupu. Mi nawaambia wajameni tusipokuwa serious na nchi hii huko uchumi wa kati hatutafika. Hivi wanadhani nchi zilizo dunia ya pili na kwanza zikiendelea kwa upuuz huu.
 
Kwanini akatae kumpa mkono. Ina maana hamtambui sasa kwa nini Shein ahangaike nae.Ni upuuz. Hata ningekuwa mimi. Akikataa kama vile akija kwangu anieleze amekuja kwangu mimi kama nani. Kwanza.ananitambuaje leo. Then mengine ndio yaendelee

Yule rais kipofu aliwai kuwaita wanaCUF kua ni panya awezi kuwaruhusu wakanyage Ikulu,....lakini mwaka juzi tu hapa vongozi wa CUF ndo walikua wanasign vocha yake ya matibabu na checkup kwa sababu ilikuepo kisheria.

Wewe unakua tu mpuuzi kisa Rais Magu kasema, tunamlisha kwa kodi zetu bado anataka kutubagua
 
Wapumbavu na malofa ni nyie mliomchagua halafu mwalalamika sisi zetu dua tu
Nyie si mlikuwa mnataka mafisadi wachukue dola ili muendelee kuiba. Mungu si Athumani shekh. .mtasubiri sana nyinyi ma vizazi vyenu.
 
Kosa lake lipo wa, . Sema kuna wapinzani uchwara wachumia tumbo wanatafuta kiki ya kuonekana kwa wananchi. Wanatoa matamshi kwa kukurupuka. Ndio ile mfano wa UKUTA.eti ukuta ,ndio nini takataka hii. Ujinga mtupu. Mi nawaambia wajameni tusipokuwa serious na nchi hii huko uchumi wa kati hatutafika. Hivi wanadhani nchi zilizo dunia ya pili na kwanza zikiendelea kwa upuuz huu.
Sio mwerevu wewe. Naomba leo iwe mwanzo na mwisho wa kuni-qoute, kwa akili zako hizi hatuwezi kujadiliana chochote cha maana. We endelea kuwakatia mauno hao makada wenzio wa CCM.
 
Anasaini kulingana na stahiki za kisheria na kikatiba za Maalim km makamu wa rais au anasaini kwa matakwa yake?

Mimi Siku Zote Huwa Napenda Kusema Hawa Magu-Fanboys wamekuwa Brainwashed Kiasi Ya Kwamba Jawajui Kutofautisha Kati Ya "Sheria" na "Utashi".

Hivi Hawajui Kama Yule Ni Makamo Wa Rais Mstaafu??

1) Yeye Maalim Seif Kukataa Mkono ni Utashi Wake.
2) Lakini Shein Kusaini Si Hruma yake wala Utashi Wake Kama alivyodai Magu, Bali Ni Sheria kamili.

Sasa Ni Jambo La Ajabu Raisi Kuacha Sheria Akafuata Utashi Wake Kisa Tu Kasifiwa Jukwaani.
 
Kosa lake lipo wa, . Sema kuna wapinzani uchwara wachumia tumbo wanatafuta kiki ya kuonekana kwa wananchi. Wanatoa matamshi kwa kukurupuka. Ndio ile mfano wa UKUTA.eti ukuta ,ndio nini takataka hii. Ujinga mtupu. Mi nawaambia wajameni tusipokuwa serious na nchi hii huko uchumi wa kati hatutafika. Hivi wanadhani nchi zilizo dunia ya pili na kwanza zikiendelea kwa upuuz huu.
Aisee hata hueleweki,hebu rudia kusoma ulichoandika!Ninyi ndio wale hata Rais akosee vp bado mtajazana kumtetea!Ninyi ndio wale vlaza mnaofurahishwa na kushangilia kauli zisizo na miguu wala kichwa,wenye busara tunainamisha vichwa chini kwa aibu!Ni matamko mangapi ameyatoa kwa kukurupuka mpaka sasa mkashangilia ila ilipokuja utekelezaji ikawa mtihani!
Acheni akili zenu zifanye kazi,na nawaambia kwa ukurupukaji wake na matamko,Lumumba mna kazi sana kujitoa ufahamu kuita kinyesi kuwa ni keki!
 
Kosa lake lipo wa, . Sema kuna wapinzani uchwara wachumia tumbo wanatafuta kiki ya kuonekana kwa wananchi. Wanatoa matamshi kwa kukurupuka. Ndio ile mfano wa UKUTA.eti ukuta ,ndio nini takataka hii. Ujinga mtupu. Mi nawaambia wajameni tusipokuwa serious na nchi hii huko uchumi wa kati hatutafika. Hivi wanadhani nchi zilizo dunia ya pili na kwanza zikiendelea kwa upuuz huu.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]

Mizigo bandarini kamati ya bunge yabaini kupungua kwa kas ya ajabu

Unaufikiaje hapo uchumi wa kati? Chanzo cha hayo ni nini?

Hii ni kwa mujibu wa taarifa ya habari ya ITV,wabunge wanahoji TRA wanapata wapi mapato!!
 
wewe ni pumbavu tu, yule rais kipofu aliwai kuwaita wanaCUF kua ni panya awezi kuwaruhusu wakanyage Ikulu,....lakini mwaka juzi tu hapa vongozi wa CUF ndo walikua wanasign vocha yake ya matibabu na checkup kwa sababu ilikuepo kisheria.

Wewe unakua tu mpuuzi kisa Rais Magu kasema, tunamlisha kwa kodi zetu bado anataka kutubagua
Ambague nani. Kwani katika upuuzi ule nano alianza. Shein akiwa hana hata kinyongo kanyoosha mkono. Rais mzima mzima. Huyu mwingine kwa ujinga tu eti anasusa. Kama si utoto ni nini. Ndio maana nasema hata ningekuwa mimi Shein. Huyo jamaa akija kwangu kwanza anieleze kaja kwangu kama nani. Je ananitambua mimi ni nani. Na anataka nimsaidieje. Hiyo ndio spirit ya kunyooshana. Hatutaki ujinga ujinga kamanda. Hizi zama nyingine. Zama zile ambazo bado mpo tulishapita huko. Mtakuwa mmepitwa na wakati tuu
 
Nimesikiliza hotuba ya Rais ya JPM akimshangaa Rais wa Zanzibar kuwa anasaini makaratasi ya mtu aliyekataa kumpa mkono siku ya mazishi ya Jumbe, na kusema kwake isingekuwa rahisi hivyo.

Nimejiuliza maswali mengi sana lakini mojawapo likawa ni Je stahiki za Maalim Seif ni za hisani ya rais aliyeko madarakani au ni matakwa ya kisheria/kikatiba?

Na je kama ni matakwa ya kikatiba; JPM anamanisha kwamba Shein avunje katiba kwa kutosaini stahiki hizo? Ama kweli safari ndo imeanza.

Kuvunja sheria si ndio kawaida yake
 
Back
Top Bottom