Kkimondoa
JF-Expert Member
- May 31, 2014
- 4,453
- 4,933
Hilo kwako ni jema?? Na unatakiwa kujua mazuri 100 hufutwa na baya 1 na hasa likiwa baya sana.Ndio kitu pekee ulichokiona cha muhimu alichosema Rais hicho??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo kwako ni jema?? Na unatakiwa kujua mazuri 100 hufutwa na baya 1 na hasa likiwa baya sana.Ndio kitu pekee ulichokiona cha muhimu alichosema Rais hicho??
ITV wamebaki kuweweseka tu........wanatamani wangesajiliwa kama chama cha siasa!ITV yale matamshi ya Rais kuhusu kumsainia mtu makaratasi yake ilikuwa ni habari muhimu ya kuipa kipaumbele katia taarifa ya habari saa mbili?
Huwa nasikiliza tuongee magazeti na Dotto Bulendu, huwa anauliza, hii ni habari? Is that news worth of a newspaper headline?; ya kuikomalia?
Wengine hatuna taaluma hiyo tunaomba elimu.
Nimesikiliza hotuba ya Rais ya JPM akimshangaa Rais wa Zanzibar kuwa anasaini makaratasi ya mtu aliyekataa kumpa mkono siku ya mazishi ya Jumbe, na kusema kwake isingekuwa rahisi hivyo.
Nimejiuliza maswali mengi sana lakini mojawapo likawa ni Je stahiki za Maalim Seif ni za hisani ya rais aliyeko madarakani au ni matakwa ya kisheria/kikatiba?
Na je kama ni matakwa ya kikatiba; JPM anamanisha kwamba Shein avunje katiba kwa kutosaini stahiki hizo? Ama kweli safari ndo imeanza.
Hahahaa!! Zidumu fikra za mwenyekigoda.Isimseme vibaya Mtukufu
Kosa lake lipo wa, . Sema kuna wapinzani uchwara wachumia tumbo wanatafuta kiki ya kuonekana kwa wananchi. Wanatoa matamshi kwa kukurupuka. Ndio ile mfano wa UKUTA.eti ukuta ,ndio nini takataka hii. Ujinga mtupu. Mi nawaambia wajameni tusipokuwa serious na nchi hii huko uchumi wa kati hatutafika. Hivi wanadhani nchi zilizo dunia ya pili na kwanza zikiendelea kwa upuuz huu.Magufuli hajui Tanzania inaongozwa na katiba ambayo yeye mwenyewe aliapa kuilinda na kuitetea?
Kwani Mtukufu hajatamka hayo maneno?ITV wamebaki kuweweseka tu........wanatamani wangesajiliwa kama chama cha siasa!
Kwanini akatae kumpa mkono. Ina maana hamtambui sasa kwa nini Shein ahangaike nae.Ni upuuz. Hata ningekuwa mimi. Akikataa kama vile akija kwangu anieleze amekuja kwangu mimi kama nani. Kwanza.ananitambuaje leo. Then mengine ndio yaendelee
Nyie si mlikuwa mnataka mafisadi wachukue dola ili muendelee kuiba. Mungu si Athumani shekh. .mtasubiri sana nyinyi ma vizazi vyenu.Wapumbavu na malofa ni nyie mliomchagua halafu mwalalamika sisi zetu dua tu
Sio mwerevu wewe. Naomba leo iwe mwanzo na mwisho wa kuni-qoute, kwa akili zako hizi hatuwezi kujadiliana chochote cha maana. We endelea kuwakatia mauno hao makada wenzio wa CCM.Kosa lake lipo wa, . Sema kuna wapinzani uchwara wachumia tumbo wanatafuta kiki ya kuonekana kwa wananchi. Wanatoa matamshi kwa kukurupuka. Ndio ile mfano wa UKUTA.eti ukuta ,ndio nini takataka hii. Ujinga mtupu. Mi nawaambia wajameni tusipokuwa serious na nchi hii huko uchumi wa kati hatutafika. Hivi wanadhani nchi zilizo dunia ya pili na kwanza zikiendelea kwa upuuz huu.
Anasaini kulingana na stahiki za kisheria na kikatiba za Maalim km makamu wa rais au anasaini kwa matakwa yake?
Aisee hata hueleweki,hebu rudia kusoma ulichoandika!Ninyi ndio wale hata Rais akosee vp bado mtajazana kumtetea!Ninyi ndio wale vlaza mnaofurahishwa na kushangilia kauli zisizo na miguu wala kichwa,wenye busara tunainamisha vichwa chini kwa aibu!Ni matamko mangapi ameyatoa kwa kukurupuka mpaka sasa mkashangilia ila ilipokuja utekelezaji ikawa mtihani!Kosa lake lipo wa, . Sema kuna wapinzani uchwara wachumia tumbo wanatafuta kiki ya kuonekana kwa wananchi. Wanatoa matamshi kwa kukurupuka. Ndio ile mfano wa UKUTA.eti ukuta ,ndio nini takataka hii. Ujinga mtupu. Mi nawaambia wajameni tusipokuwa serious na nchi hii huko uchumi wa kati hatutafika. Hivi wanadhani nchi zilizo dunia ya pili na kwanza zikiendelea kwa upuuz huu.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]Kosa lake lipo wa, . Sema kuna wapinzani uchwara wachumia tumbo wanatafuta kiki ya kuonekana kwa wananchi. Wanatoa matamshi kwa kukurupuka. Ndio ile mfano wa UKUTA.eti ukuta ,ndio nini takataka hii. Ujinga mtupu. Mi nawaambia wajameni tusipokuwa serious na nchi hii huko uchumi wa kati hatutafika. Hivi wanadhani nchi zilizo dunia ya pili na kwanza zikiendelea kwa upuuz huu.
Ambague nani. Kwani katika upuuzi ule nano alianza. Shein akiwa hana hata kinyongo kanyoosha mkono. Rais mzima mzima. Huyu mwingine kwa ujinga tu eti anasusa. Kama si utoto ni nini. Ndio maana nasema hata ningekuwa mimi Shein. Huyo jamaa akija kwangu kwanza anieleze kaja kwangu kama nani. Je ananitambua mimi ni nani. Na anataka nimsaidieje. Hiyo ndio spirit ya kunyooshana. Hatutaki ujinga ujinga kamanda. Hizi zama nyingine. Zama zile ambazo bado mpo tulishapita huko. Mtakuwa mmepitwa na wakati tuuwewe ni pumbavu tu, yule rais kipofu aliwai kuwaita wanaCUF kua ni panya awezi kuwaruhusu wakanyage Ikulu,....lakini mwaka juzi tu hapa vongozi wa CUF ndo walikua wanasign vocha yake ya matibabu na checkup kwa sababu ilikuepo kisheria.
Wewe unakua tu mpuuzi kisa Rais Magu kasema, tunamlisha kwa kodi zetu bado anataka kutubagua
Nimesikiliza hotuba ya Rais ya JPM akimshangaa Rais wa Zanzibar kuwa anasaini makaratasi ya mtu aliyekataa kumpa mkono siku ya mazishi ya Jumbe, na kusema kwake isingekuwa rahisi hivyo.
Nimejiuliza maswali mengi sana lakini mojawapo likawa ni Je stahiki za Maalim Seif ni za hisani ya rais aliyeko madarakani au ni matakwa ya kisheria/kikatiba?
Na je kama ni matakwa ya kikatiba; JPM anamanisha kwamba Shein avunje katiba kwa kutosaini stahiki hizo? Ama kweli safari ndo imeanza.