hazinadaima
Member
- Aug 1, 2016
- 62
- 17
we need God
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pita haraka wasije kukutoa ngeu na kukuzabua vibaoNapita tu [emoji126]
Nimesikiliza hotuba ya Rais ya JPM akimshangaa Rais wa Zanzibar kuwa anasaini makaratasi ya mtu aliyekataa kumpa mkono siku ya mazishi ya Jumbe, na kusema kwake isingekuwa rahisi hivyo.
Nimejiuliza maswali mengi sana lakini mojawapo likawa ni Je stahiki za Maalim Seif ni za hisani ya rais aliyeko madarakani au ni matakwa ya kisheria/kikatiba?
Na je kama ni matakwa ya kikatiba; JPM anamanisha kwamba Shein avunje katiba kwa kutosaini stahiki hizo? Ama kweli safari ndo imeanza.
anajiroga mwenyewe ujeuri hajaanza Leo wala Jana!Hisije ikawa wanamloga wanamvuluga akili Ili waliopita waonekane bora, maghufuli anachemsha big time
Nimesikiliza hotuba ya Rais ya JPM akimshangaa Rais wa Zanzibar kuwa anasaini makaratasi ya mtu aliyekataa kumpa mkono siku ya mazishi ya Jumbe, na kusema kwake isingekuwa rahisi hivyo.
Nimejiuliza maswali mengi sana lakini mojawapo likawa ni Je stahiki za Maalim Seif ni za hisani ya rais aliyeko madarakani au ni matakwa ya kisheria/kikatiba?
Na je kama ni matakwa ya kikatiba; JPM anamanisha kwamba Shein avunje katiba kwa kutosaini stahiki hizo? Ama kweli safari ndo imeanza.
Wagawe uwatawale ndio anachofanya. Anataka mafuta ya Zanzibar haraka lazima awakunekune watu fulani ili wamruhusu kirahisi.Inasikitisha...
Maneno yaliyosemwa leo huko zanzibar ni ya kuongeza chuki na fitina juu ya wazanzibar ili wakose umoja watawaliwe milele...
Kusalimiana kwa kupeana mkono si lazima...ni sheria ipi inasema lazma umpe mkono rais wakati mkisalimiana?
Sitahiki za malim seif na viongiz wote wa juu zipo kisheria na wahusika wanatakiwa kusaini kwa kuwa ni wajibu wao ..mafao yao ni sheria imewapa siyo kwa hisani ya mh rais...
Ishu ya malim kutotoa mkono ni very personal haina uhusiano na kazi...
Hivi ni ujumbe gani anapeleka kwa wafanyakazi wa umma? Kwamba saiv ukikosana na mtu kwenye mambo ya kijamii basi tuhsmishie na kazini...mfano mkipishana na kauli na hakimu msibani basi siku ukiwa mahakamani asikutendee haki..
Ukihitilafiana na daktari mtaani basi daktari akunyime huduma siku ukizidiwa hospitalini...
This forest is not for any monkey
haa haa kweli kila mtu na mawazo yake huyo mungu wa kutoa baraka kwa mtu anayepalilia chuki na visasi ni mungu yupi?NIMEIPENDA HII. ...NIMECHEKA SANA..ENDELEA KUNG'ARA MH. RAIS WA NCHI YETU TANZANIA. ...UBARIKIWE SANA SANA. ...
Faiza Foxy aliyasema haya tukamdharauNaanza kumkumbuka marehemu Chiluba jinsi alivyoingia madarakani na kudharau waliomtangulia kama Mzee Kaunda. Kilichotokea ni kuwa baada ya yeye kuondoka madarakani aliyoyafanya kwa mwenzie yakajirudi kwake na alikaa sana "Segerea" ya Zambia na hakuna aliyemuunga mkono tena akajihisi upweke sana na ndio uliochangia safari yake ya peponi au jehanamu mapema. Madaraka ni dhamana unayoipata miongoni mwa wengi sio ujanja wako, hebu muoneni JK jinsi alivyoishi kwa kauli za hekima kiasi kuwa hata kama kamuumiza mtu bado unamuona binadamu.