Zanzibar: Rais Mwinyi ameongeza mshahara kwa Watumishi kwa 15%

Zanzibar: Rais Mwinyi ameongeza mshahara kwa Watumishi kwa 15%

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Mwinyi ametangaza ongezeko la mshahara kwa 15%

Kutokana na utaratibu huo kima cha chini cha mshahara kitapanda kutoka Tsh. 300,000 hadi Tsh. 347,000 sawa na asilimia 15.6

Ongezeko hilo linatarajiwa kutolewa kutumia mfumo wa uzoefu, ujuzi na elimu ya mtumishi

View attachment 2217716

======

Maoni yangu:

Hussein Mwinyi ambaye ni Rais wa Zanzibar hakika ni kiongozi mwenye kujali sana!
Uje na sledi ya kupongeza 23.3% basi, utakuwa muungwana sana.
 
Back
Top Bottom