Zanzibar: Rais Mwinyi ameongeza mshahara kwa Watumishi kwa 15%

Zanzibar: Rais Mwinyi ameongeza mshahara kwa Watumishi kwa 15%

Sio flat rate jombaa... Kila mtu na mshahara wake then unapigia hiyo 15% yake.. its a good money

Nimeshindwa kumuweka kundi gani huyo
15% ni nyingi mno kwa kupandishiwa mshahara
Hapa [emoji636] huwa mshahara ukipandishwa ni 6.6% na sana ikizidi 6.8% na wanafurahi sio haba

Sasa 15% anaiona ndogo maajabu haya
 
Kwa hiyo mwezi huu mtaishi kwa kubahatisha bahatisha ?

Kama nchini Zanzibar kafanya maamuzi hayo kwa wafanyakazi wa serikali yake, kwa nini jambo hili lisiwe la uwazi kabisa kwa upande huu wa Tanganyika?
 
Ebu ngoja kwanza nishibe...😋

IMG-20220504-WA0000.jpg
 
Nimeshindwa kumuweka kundi gani huyo
15% ni nyingi mno kwa kupandishiwa mshahara
Hapa [emoji636] huwa mshahara ukipandishwa ni 6.6% na sana ikizidi 6.8% na wanafurahi sio haba

Sasa 15% anaiona ndogo maajabu haya
Ongezeko la 6.8 kwenye mshahara take home 1, 500, 000 ni sawa na sh. Ngapi?

Screenshot_20220508-220933.png
 
Hi inaonekana kabisa mama anaigawa ichi bila kujua kwa sababu mafuta uku na Zanzibar ni Bei tofauti ukiangalia ata mishahara ameongeza Zanzibar kiasi kikubwa kuliko uko na tunadai eti ni ichi moja doesn't make sense na hamuoni mama anaigawa ichi bila kujua
Nani Kasema nchi moja hz nchi mbili tofauti😀😀
 
Hana uwezo wa kuongeza 47,000 trust me.
Nchi inaongozwa na wengine yenye ni msimamizi tu.
Hao wanaoongoza nchi sasa hivi si walipsndisha mishahara nyakati za utawala wao ?

I hope kama wanamcontrol basi watamcontrol na mishahara aongeze kama alivyofanyaga yeye.

Kinyume na hapo itakuwa haongozwi kama mnavyodai
 
Mimi naomba msaada jinsi ya kutafuta hizo % mfano mtu mwenye basic salary 750,000 kwa nyongeza ya 15% ongezeko itakuwa sh ngapi hapo?
 
Back
Top Bottom