Zanzibar: Rais Mwinyi ameongeza mshahara kwa Watumishi kwa 15%

Zanzibar: Rais Mwinyi ameongeza mshahara kwa Watumishi kwa 15%

Mbona Zanzibar wanaongeza sana ata kipindi cha baba waliongezwa kule kawaida tu kuongeza
 
Nazani kuna wajanja wana mchezea uyu mother haonekane kama sanamu[emoji81][emoji81][emoji81]
Screenshot_20220508-205604.png
 
Aisee watu wanateseka mno mshahara wa laki tatu na alafu mwajiriwa wa serikali kama si kutafuta umasikini ni nini..bora ufanye day worker tu ujulikane wewe ni wa mission town.
 
Nami ni mmoja wa watumishi wa serikali, kwa hiki ulichokiandika hujokosea mkuu. Ni kweli tunaongozwa kwa matamko. Atakae kulaumu huyo hataki tu kukubali ukweli.
Shukrani boss 🙏🙏
 
Hi inaonekana kabisa mama anaigawa ichi bila kujua kwa sababu mafuta uku na Zanzibar ni Bei tofauti ukiangalia ata mishahara ameongeza Zanzibar kiasi kikubwa kuliko uko na tunadai eti ni ichi moja doesn't make sense na hamuoni mama anaigawa ichi bila kujua
 
Kwani uraia wa zanzibari sh ngapi, niende nikawe mkojani huko.

Ndio maana wanataka muungani ufe na ukifa tu miaka 10 mingi watatuacha mbaaali mnooo.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 eti ukawe mkojani
 
Hujui historia yao

Zanzibar hawanaga umoja, wana upemba na unguja kwa sana, wala hawapendani.

Sasa kupanda mshahara sh 47, 000 unaona nyingi..
Nani mjinga? Aliyepandishiwa mshahara kwa 47k au aliyepandishiwa kwa mipasho kwamba mna jambo lenu.
Kweli Tanganyika hamnazo.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Mwinyi ametangaza ongezeko la mshahara kwa 15%

Kutokana na utaratibu huo kima cha chini cha mshahara kitapanda kutoka Tsh. 300,000 hadi Tsh. 347,000 sawa na asilimia 15.6

Ongezeko hilo linatarajiwa kutolewa kutumia mfumo wa uzoefu, ujuzi na elimu ya mtumishi

View attachment 2217040

View attachment 2217042
Tunampongeza kwa hili. Pia arekebishe mambo yake ya uchaguzi🤣
 
Hii imekaaje wakuu huko Zanzibari mambo yamenoga wale watumishi kilio Chao amekisikia .
Huku bara bi mkubwa ngoma imenuna au ndio watumishi wasubiri supplies kwenye salary ya miezi ijayo.

IMG-20220508-WA0175.jpg
 
Back
Top Bottom