Zanzibar: Rais Mwinyi ameongeza mshahara kwa Watumishi kwa 15%

Zanzibar: Rais Mwinyi ameongeza mshahara kwa Watumishi kwa 15%

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Mwinyi ametangaza ongezeko la mshahara kwa 15%

Kutokana na utaratibu huo kima cha chini cha mshahara kitapanda kutoka Tsh. 300,000 hadi Tsh. 347,000 sawa na asilimia 15.6

Ongezeko hilo linatarajiwa kutolewa kutumia mfumo wa uzoefu, ujuzi na elimu ya mtumishi

View attachment 2217040

View attachment 2217042
Da, huyu wa sista huku kajikita kwenye bongo muvi ...analamba asali kivyake vyake, sound nyingi
 
Huyu muda si mrefu mama atamuwekea kinyongo. Kwanza kapunguza tozo kwenye mafuta hivyo kupelekea mafuta kuuzwa bei chee tofauti na bara, lakini bado kadhibiti mfumuko wa bei kule zenji tofauti na huku bara watu wanakopigwa na vitu vizito kila siku.

Kaona haitoshi ameamua kumvua mama baibui kwa kuongeza mishahara. Kweli zanzibar yajayo yanafurahisha. Wakati huo huo balozi Polepole kamuahidi kumtafutia soko la dagaa wa zanzibar upande wa malawi hadi congo kuchochea uchumi wa blue.
 
Halafu sijaelewa

Maana amesema kwa yule alifanya kazi kuanzia 2019 ni kama kupanda daraja, wala sio ongezeko la mshahara

Au mi sijamwelewa mwandishi.

Na vipi yule aliyeanza mwaka jana, vipi yule anayeajiriwa leo? Mshahara utakuwa 300,000 ileile.
Bara "Lile jambo letu lipo", mwisho wa kunukuu... wafanyakazi pwa pwa pwa... makofi
 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Mwinyi ametangaza ongezeko la mshahara kwa 15%

Kutokana na utaratibu huo kima cha chini cha mshahara kitapanda kutoka Tsh. 300,000 hadi Tsh. 347,000 sawa na asilimia 15.6

Ongezeko hilo linatarajiwa kutolewa kutumia mfumo wa uzoefu, ujuzi na elimu ya mtumishi

View attachment 2217040

View attachment 2217042
Husseni, ongea na sista ako huku afanye mambo , familia za wahuni wa polepole kina nchemba,janwai, iziwani wanalamba ash
ali wenyewe huku
 
Heko mwinyi hakika unaupiga mwingi haswa Kwanza unajuwa kbsa kudhibiti mfumuko wa Bei na unajali maisha za watu usio wajua wazenji

Unafanya vzr sna had mafuta mpk sas Ni Bei 2600 huku kwetu tanganyika Kuna mtu ana haribu uchumi ufanane na wazimbabwe

Nakupongeza Sana ikibid 2025 uje uku bhna kutuongoza mnk tumepigwa na kitu kizito kichwani na mzanzibari aliyetumia bilion 7 kuigiza dkk 58 bila aibu ....
 
Back
Top Bottom