Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 18,046
- 38,598
Drop in the ocean?47k ndio nyongeza hiyo..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Drop in the ocean?47k ndio nyongeza hiyo..
Wanaopanda amadaraja wataona tofauti ila sip hiyo 47 ni kama vile hakijaomgezeka kituHujui historia yao
Zanzibar hawanaga umoja, wana upemba na unguja kwa sana, wala hawapendani.
Sasa kupanda mshahara sh 47, 000 unaona nyingi..
Sasa wewe ongezeko la elfu 47, unaona nyongezaaaa kisa tu kasema asilimia.Tanganyika kuna mahali tulikosea kunahitajika marekebisho haraka iwezekanavyo na Sio zaidi ya mwaka 2025
Hayo ni mawazo mfu. Hakuna watumishi ambao ni wafanya biashara?Kwa huku kwetu ukitangaza wafanyabiashara nao wanaongeza bidhaa bei! Sasa imagine unatangaza mshahara wa ongezeko kwa wafanyakazi wa serikali ambao hawafiki hata milioni moja,bidhaa zinapanda halafu watu milioni kadhaa huku ambao ni wengi hawajaongezewa mishahara huoni Kama ni kuwaumiza wenye vipato ambao havipandi!..
Nafikiri kutotangaza ni vyema zaidi ila wafanyakazi wa serikali itakuwa ni siri yao. I
Hana uwezo wa kuongeza 47,000 trust me.Sasa wewe ongezeko la elfu 47, unaona nyongezaaaa kisa tu kasema asilimia.
Sasa unafikiri mama ataongeza elfu 47?
Halafu sijaelewaWanaopanda amadaraja wataona tofauti ila sip hiyo 47 ni kama vile hakijaomgezeka kitu
Sio flat rate jombaa... Kila mtu na mshahara wake then unapigia hiyo 15% yake.. its a good moneyHujui historia yao
Zanzibar hawanaga umoja, wana upemba na unguja kwa sana, wala hawapendani.
Sasa kupanda mshahara sh 47, 000 unaona nyingi..
Naelezo bado yanautata usije kutana na ongezeko la elfu mbili miatano ukapanicHalafu sijaelewa
Maana amesema kwa yule alifanya kazi kuanzia 2019 ni kama kupanda daraja, wala sio ongezeko la mshahara
Au mi sijamwelewa mwandishi.
Na vipi yule aliyeanza mwaka jana, vipi yule anayeajiriwa leo? Mshahara utakuwa 300,000 ileile.
Let's wait, tutakuja na salary slip zetu hapa, ha ha haHana uwezo wa kuongeza 47,000 trust me.
Nchi inaongozwa na wengine yenye ni msimamizi tu.
Good money kwa wenye mishahara minonoSio flat rate jombaa... Kila mtu na mshahara wake then unapigia hiyo 15% yake.. its a good money
Hata nchi Za kiafrica zinatushangaa kuongozwa na huyu mamaLet's wait, tutakuja na salary slip zetu hapa, ha ha ha
Mi nina Imani kubwa sana
🤝Unaweza kukuta kodi za bara ndio zinalipa hiyo mishahara.
Baki hvohvo basi ulivyoelewa.Good money kwa wenye mishahara minono
Sasa huyu wa kima cha chini alitakiwa aangaliwe kwa namna yake.
Umeelewa unachoandika asilimia 15 ndo imeongezwa hiyo 47 Kwa mtu wa kima Cha chiniHujui historia yao
Zanzibar hawanaga umoja, wana upemba na unguja kwa sana, wala hawapendani.
Sasa kupanda mshahara sh 47, 000 unaona nyingi..
Kauli ya kiongozi huwa inanguvu ndugu unakumbuka kauli yake kule mwanza ilifanya hadi Bitcoin ikapanda thamani..?Hayo ni mawazo mfu. Hakuna watumishi ambao ni wafanya biashara?
Maafisa wanaoshughulikia upandishaji mishahara hakuna wafanya biashara?
Mishahara inakopitia bank sio wafanya biashara? Utaficha mpaka lini? Kuficha ficha ni uhuni uliopitwa wakati.