Zanzibar: Rais Mwinyi ameongeza mshahara kwa Watumishi kwa 15%

Kwajinsi kitaa kilivyo kigumu mpaka 2025 tutakua skeleton mana sio kwakukamuliwa huku afu mshahara haiongezwi hatar sana!hongera zao wala urojo
 
Sijaona sahihi yake au ni uzushi?
 
Kwajinsi kitaa kilivyo kigumu mpaka 2025 tutakua skeleton mana sio kwakukamuliwa huku afu mshahara haiongezwi hatar sana!hongera zao wala urojo

Washauri wa kiongozi mkubwa wanamlengesha kichakani kumpotezea mbali muda ukifika ila yeye hajashituka.
 
Safi sana, huku kwetu pesa yote wameimaliza kwenye anasa hakuna fedha iliyobakia kulipa Wafanyakazi, pure evil!
 
Kwani uraia wa zanzibari sh ngapi, niende nikawe mkojani huko.

Ndio maana wanataka muungani ufe na ukifa tu miaka 10 mingi watatuacha mbaaali mnooo.
Wale jamii zao zinafanana hata makabila sijui kama wanaendekeza yaani wale wamoja japo wako nyuma kielimu Zanzibar wakikutana huku bara wanaitana ndugu hata kama hawatoki Koo moja wanafanya vitu Kwa maendeleo Yao Kwa pamoja kama ndugu

Njoo huku tunadharauliana sana makundi kibao sometime Hamna mzuka kabisa tuko wengi makabila kibao mara Hawa kujifanya wajuaji kuliko Hawa Kwa kweli hatutopata maendeleo ya pamoja daima

Raisi anapendelea kundi lake Kwa dini na ukanda yaani tubadilike Kwa kweli wangetoa makabila kama dini iwe Moja kama Zanzibar ni hatar huku chuki waziwazi
 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Mwinyi ametangaza ongezeko la mshahara kwa 15%

Kutokana na utaratibu huo kima cha chini cha mshahara kitapanda kutoka Tsh. 300,000 hadi Tsh. 347,000 sawa na asilimia 15.6

Ongezeko hilo linatarajiwa kutolewa kutumia mfumo wa uzoefu, ujuzi na elimu ya mtumishi

View attachment 2217040

View attachment 2217042
Kulalekii...!!!!
 
Wale jamii zao zinafanana hata makabila sijui kama wanaendekeza yaani wale wamoja japo wako nyuma kielimu Zanzibar wakikutana huku bara wanaitana ndugu hata kama hawatoki Koo moja wanafanya vitu Kwa maendeleo Yao Kwa pamoja kama ndugu

Njoo huku tunadharauliana sana makundi kibao sometime Hamna mzuka kabisa tuko wengi makabila kibao mara Hawa kujifanya wajuaji kuliko Hawa Kwa kweli hatutopata maendeleo ya pamoja daima

Raisi anapendelea kundi lake Kwa dini na ukanda yaani tubadilike Kwa kweli wangetoa makabila kama dini iwe Moja kama Zanzibar ni hatar huku chuki waziwazi

Hujui historia yao

Zanzibar hawanaga umoja, wana upemba na unguja kwa sana, wala hawapendani.

Sasa kupanda mshahara sh 47, 000 unaona nyingi..
 
Back
Top Bottom