Zanzibar: Rais Mwinyi ameongeza mshahara kwa Watumishi kwa 15%

Zanzibar: Rais Mwinyi ameongeza mshahara kwa Watumishi kwa 15%

Umeelewa unachoandika asilimia 15 ndo imeongezwa hiyo 47 Kwa mtu wa kima Cha chini

Wana upemba na uunguna mwingi acha zako wewe nimekaa Zanzibar nawajua vizuri wanaendana kila kitu izo ni ishu za siasa sijui upemba na unguja CCM na cup
%15 Kwa sekta binafsi au Kwa serikali ?
 
Kwa huku kwetu ukitangaza wafanyabiashara nao wanaongeza bidhaa bei! Sasa imagine unatangaza mshahara wa ongezeko kwa wafanyakazi wa serikali ambao hawafiki hata milioni moja,bidhaa zinapanda halafu watu milioni kadhaa huku ambao ni wengi hawajaongezewa mishahara huoni Kama ni kuwaumiza wenye vipato ambao havipandi!..
Nafikiri kutotangaza ni vyema zaidi ila wafanyakazi wa serikali itakuwa ni siri yao. I
Hujui unachosema, sheria ni moja wakiongeza government na private
Wanaongeza hivyo hivyo maana sheria itatamka kimya cha chini kwa mfanyakazi yeyote mwenye kuajiliwa kwa mkataba yaani akiwa na maandishi yanayomtambulisha kama mfanyakazi wa sehemu flani.
 
Heko mwinyi hakika unaupiga mwingi haswa Kwanza unajuwa kbsa kudhibiti mfumuko wa Bei na unajali maisha za watu usio wajua wazenji

Unafanya vzr sna had mafuta mpk sas Ni Bei 2600 huku kwetu tanganyika Kuna mtu ana haribu uchumi ufanane na wazimbabwe

Nakupongeza Sana ikibid 2025 uje uku bhna kutuongoza mnk tumepigwa na kitu kizito kichwani na mzanzibari aliyetumia bilion 7 kuigiza dkk 58 bila aibu ....
Kwenye hiyo nyongeza vigezo na masharti kuzingatiwa
 
Hii barua umeiscan lakini something is missing toka page 1 kwenda page 2..

Sentensi ya "...kwa watumishi wenye elimu ya ngazi ya cheti na masomo ya art.......wataanza ni mshahara wa TZS 321,000 hadi.....

Hiyo hadi..... hakuna mwendelezo, imeishia njiani ..
Jambo la Moderator hilo.
 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Mwinyi ametangaza ongezeko la mshahara kwa 15%

Kutokana na utaratibu huo kima cha chini cha mshahara kitapanda kutoka Tsh. 300,000 hadi Tsh. 347,000 sawa na asilimia 15.6

Ongezeko hilo linatarajiwa kutolewa kutumia mfumo wa uzoefu, ujuzi na elimu ya mtumishi

View attachment 2217040

View attachment 2217042
Hii barua umeiscan lakini something is missing toka page 1 kwenda page 2..

Sentensi ya "...kwa watumishi wenye elimu ya ngazi ya cheti na masomo ya art.......wataanza na mshahara wa TZS 321,000 hadi.....

Hiyo hadi..... hakuna mwendelezo, imeishia njiani
 
Moderator ndio walio weka hizo attachments
 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Mwinyi ametangaza ongezeko la mshahara kwa 15%

Kutokana na utaratibu huo kima cha chini cha mshahara kitapanda kutoka Tsh. 300,000 hadi Tsh. 347,000 sawa na asilimia 15.6

Ongezeko hilo linatarajiwa kutolewa kutumia mfumo wa uzoefu, ujuzi na elimu ya mtumishi

View attachment 2217040

View attachment 2217042
Hizi mambo zina malengo maalumu,mtaniambia mda ukifika..

Nimekuwa nafuatilia nyendo,Bara wakisema hivi ,yule wa kule anafanya vile Ili wa Bara aonekane hafai ila wa Zenji so that mkakati ufanikiwe.
 
Hizi mambo zina malengo maalumu,mtaniambia mda ukifika..

Nimekuwa nafuatilia nyendo,Bara wakisema hivi ,yule wa kule anafanya vile Ili wa Bara aonekane hafai ila wa Zenji so that mkakati ufanikiwe.
Kama raisi anashindwa kujisimamia au kusimamia watendaji wake walio chini yake hilo unalosema litamkuta. Kwanini zanzibar iwezekane halafu huku pawepo kigugumizi?? Inabidi raisi asimame kama raisi na sio kuyumbishwa
 
Moja ya kosa la Samia ni kuamini watu wanaomzunguka 😆😆..

Ngoja tuone mwisho.
 
Wafu ni wakati wenu huu wa kuzikana. Mkishaacha kunyoosheana vidole kwa kutegemea akili ya viongozi wa vyama ndio waamue kipi ni sawa na si sawa

Maneno na Kauli gani mtumie kwenye kutuhumiana

Mtaendelea Kuendeshwa kuliko hata mbuzi wanaotumia akili zao kuvukia barabara maana kama hutumii akili wala utashi wako kuchanganua mambo hadi usubirie tamko la mtu.. Una tofauti na ng'ombe anaesubiria kubustiwa na kiboko apate akili ya kupiga hatua kuongeza mwendo

Utashangaa wanajiita great thinkers [emoji16][emoji16][emoji16], great thinkers who can not think on their own...

Msiniue jamani naota tu, nikishtuka akili itasema vingine maana hata Mimi ni mwananchi wa giningi, nyeusi naita nyeupe nikishaamka [emoji1787][emoji1787]
Nami ni mmoja wa watumishi wa serikali, kwa hiki ulichokiandika hujokosea mkuu. Ni kweli tunaongozwa kwa matamko. Atakae kulaumu huyo hataki tu kukubali ukweli.
 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Mwinyi ametangaza ongezeko la mshahara kwa 15%

Kutokana na utaratibu huo kima cha chini cha mshahara kitapanda kutoka Tsh. 300,000 hadi Tsh. 347,000 sawa na asilimia 15.6

Ongezeko hilo linatarajiwa kutolewa kutumia mfumo wa uzoefu, ujuzi na elimu ya mtumishi

View attachment 2217040

View attachment 2217042
Zile 200b za korona naona zinawapa kiburi sasa..hivi watazilipa lini?

#MaendeleoHayanaChama
 
Zile 200b za korona naona zinawapa kiburi sasa..hivi watazilipa lini?

#MaendeleoHayanaChama
Wajukuu watalipa. Maisha ni sasa baadae itajiongeza yenyewe. Kwanza unaweza kuta nuclear imesha sawazisha dunia hakuna wa kumcheka mwenzake
 
Back
Top Bottom