Zanzibar: Rais Mwinyi ameongeza mshahara kwa Watumishi kwa 15%

Yes! Wenye Tgs kubwa wanapanda juu sanaa. Huyu wa chini sasa ndiyo balaa
Hakuna kitu kama hicho, mwenye mshahara mdogo ana payee ndogo na kazi pia zinaakisi mshahara wake, na mwenye mshahara mkubwa analipa payee kubwa na kazi zake zinaakisi mshahara wake.
 
Zanzibar ni kijiji idadi yao ni ml 1.5, hata wakiongezwa asilimia 200 na wakalipwa mshahara watu wasoo na ajira no sawa kabisa.
 
Uzalishaji wao uko vipi?
 
Kuna tatizo sehemu kwa upande wa Tanganyika ,Ingawa Tanganyika ina wafanyakazi wengi hivyo kuongeza salary lazima kufikiria mara mbili mara tatu .
😁😁 ukiwa mchumi utaikosti nchi. Ko china yenye mabilioni ya watu haiwezi katu kuongeza mishahara? Nigeria na tz ipi yenye wafanyakazi wengi? Mbona imeongeza 17%? Hujui kama ni wengi ijue demands nayo ni nyingi na inputs lazma ziwe nyingi pia.
 
Akili zake zinafanana na kiongozi mmoja hivi aliyekuwa anaona kuwaongeza mishahara watumishi ni kupoteza mabilioni ya shilingi😂😂😂
 
Hujui historia yao

Zanzibar hawanaga umoja, wana upemba na unguja kwa sana, wala hawapendani.

Sasa kupanda mshahara sh 47, 000 unaona nyingi..
😁😁 mnifafanulie kidogo, ni kwamba hiyo 47000 ni kwa kila mfanyakazi au ni kwa mwenye kima cha chini alokuwa akipata laki 3? Ila wale walokuwa wanaingiza milion 1 wao inaongezeka laki 1+
 
😁😁 ukiwa mchumi utaikosti nchi. Ko china yenye mabilioni ya watu haiwezi katu kuongeza mishahara? Nigeria na tz ipi yenye wafanyakazi wengi? Mbona imeongeza 17%? Hujui kama ni wengi ijue demands nayo ni nyingi na inputs lazma ziwe nyingi pia.
umempatia kweli mkolomije huyoo
 
Uzalishaji wao uko vipi?
Uko vizuri Sana ,hasa upande wa utarii,Uvuvi na kilimo Cha iriki,ndiyo maana hayati Karume alitaka awajengee makazi kila mwananchi na kuwalipa mishahara.
 
Tanzania Bara bila shaka nao July wataongeza 😭😭😭😭😭
 
Uko vizuri Sana ,hasa upande wa utarii,Uvuvi na kilimo Cha iriki,ndiyo maana hayati Karume alitaka awajengee makazi kila mwananchi na kuwalipa mishahara.
Ko wanazalisha sana ndo maana umeme waloutolea bara bei kwao ni nzuri kuliko bara yenyewe? 😂 kweli sisi ni wadanganyika.
 
Chanzo cha mapato zenji ni nini!?? Kodi zipo chini sana, utalii kama bara tu, chanzo ni nn hasa!!!?
 
Uzalishaji wao uko vipi?
Uko vizuri Sana ,hasa upande wa utarii,Uvuvi na kilimo Cha iriki,ndiyo maana hayati Karume alitaka awajengee makazi kila mwananchi na kuwalipa mishahara.
 
Chanzo cha mapato zenji ni nini!?? Kodi zipo chini sana, utalii kama bara tu, chanzo ni nn hasa!!!?
Wahindi wanasema " dogo dogo nyingi shinda kuba moja"
Kodi kwao ni ndogo ila wanalipa wengi so inakuwa nyingi
Huku kodi kubwa wanalipa wachache so inakuwa ndogo
 
Back
Top Bottom