peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Mkutano huo uliopangwa kufanyika Zanzibar kuanzia Novemba 14 – 21, 2022 ni wa kwanza tangu Rais Samia alipoingia madarakani na unabeba kaulimbiu isemayo: “Mwelekeo Mpya Katika Kuimarisha Diplomasia ya Uchumi”.
Hayo yamebainishwa leo Novemba 12, 2022 na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk Stergomena Tax wakati wa mkutano wake na wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari hapa nchini.
Huu ni upigaji mpya na wa aina yake.
Kwanini waende zanzibar?
Kwanini wasifanye zoom meeting kuokoa kodi za watanzania?
Kwanini wawe na mkutano wa siku nyingi hivyo?
Mabalozi wanatoka canada, marekani, australia, Mexico, brazili , Japan na kungineko duniani kuja zanzibar kufanya mkutano na kurudi walikotoka, hizi fedha wangepeleka ikungi au monduli kununulia wananchi chakula cha njaa.
Dar Es Salaam kina hotel za kimataifa tena za kwetuna balozi ni zetu huku pemba wamefuata nini?
Kulivyo na hali ya ukame, njaa, maji hakuna, umeme hakuna na wanafunzi wa elimu ya juu wamekosa mikopo, huu mkutano sio wakati wake .