Zanzibar: Rais Samia ‘kuwafunda’ mabalozi wa Tanzania nje ya nchi kuanzia tarehe 14-21 Nov 2022

Zanzibar: Rais Samia ‘kuwafunda’ mabalozi wa Tanzania nje ya nchi kuanzia tarehe 14-21 Nov 2022

Huo Ujuzi wa Kuwafunda Wenzake ameutoa wapi ? Ana Experience ya muda gani kama Balozi ? Au kusafiri sana ameshakuwa Expert ?!!!

Sasa kama hao kama wanahitaji extra maelekezo kwanini wasingechagua ambao wameshaiva ?!!!

Kuweni na Huruma na Pesa zetu...

Urais ni taasisi. Faida nyengine ya kiuchumi ni utalii wa kikazi kipengele kidogo cha utalii wa ndani.
 
Back
Top Bottom