Huo Ujuzi wa Kuwafunda Wenzake ameutoa wapi ? Ana Experience ya muda gani kama Balozi ? Au kusafiri sana ameshakuwa Expert ?!!!
Sasa kama hao kama wanahitaji extra maelekezo kwanini wasingechagua ambao wameshaiva ?!!!
Kuweni na Huruma na Pesa zetu...