Zanzibar 2020 Zanzibar: RVS online TV yafungiwa kwa miezi miwili kwa kutotoa uwiano sawa kwa vyama vya siasa

Na mimi sasa ivi ndio natizama hio, nimeachana na KTV kwanza wanaweka vichwa vya habari vya kizushi, pili walikuwa hawaweki kampeni za upinzani. Kwa uchawi wa hio tume ya utangazaji mara nayo wataifungia.
WEYANI kinabalance sasa hivi wala sihangaiki na vituo vya Kinazi
 
Hongera sana kwa maamuzi sahihi wakati sahihi dhidi ya wahalifu sahihi waliokosa maadili sahihi
Waliokosa "Maadili sahihi"
Swali kwani Kuna MAADILI yasio sahihi??
unajua maana ya MAADILI??
 
KTV mbali sana huko, wangeanza na ZBC tv yao ya taifa.
Hicho kituo kusema ukweli kipo kwamba ilimradi tu SMZ ina station yake. Lakini ukienda kutizama majengo tu, utalia, ukija kwenye vipindi sasa ndio utachoka 😀 hawapo creative kabisa, quality ya video recording mbovu kabisa. Yaani kama unaikumbuka TVZ ilivokuwa basi hakuna kitu hata kimoja kilichobadilika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…