Huyu inawezekana sio KE, KE hawezi kuwa na roho mbaya hivi
Uko mstari wa mbele kujitoa ufahamu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko mstari wa mbele kujitoa ufahamu!
WEYANI kinabalance sasa hivi wala sihangaiki na vituo vya KinaziNa mimi sasa ivi ndio natizama hio, nimeachana na KTV kwanza wanaweka vichwa vya habari vya kizushi, pili walikuwa hawaweki kampeni za upinzani. Kwa uchawi wa hio tume ya utangazaji mara nayo wataifungia.
Mdoli huo,kichwani hakuna ubongo.Uko mstari wa mbele kujitoa ufahamu!
RVS imefungiwa ila KTV imeachwa kisa inarusha habari za CCM na vichwa vya habari vya kizushi?
Waliokosa "Maadili sahihi"Hongera sana kwa maamuzi sahihi wakati sahihi dhidi ya wahalifu sahihi waliokosa maadili sahihi
CCM wanafikiri Tanzania hii ni ile ya miaka ya 80Bila shaka CCM wanawawinda mno DAR MPYA TV.
Hicho kituo kusema ukweli kipo kwamba ilimradi tu SMZ ina station yake. Lakini ukienda kutizama majengo tu, utalia, ukija kwenye vipindi sasa ndio utachoka 😀 hawapo creative kabisa, quality ya video recording mbovu kabisa. Yaani kama unaikumbuka TVZ ilivokuwa basi hakuna kitu hata kimoja kilichobadilikaKTV mbali sana huko, wangeanza na ZBC tv yao ya taifa.
YOU have very POOR REASONING!🤨🤨Hongera sana kwa maamuzi sahihi wakati sahihi dhidi ya wahalifu sahihi waliokosa maadili sahihi
WhyYOU have very POOR REASONING!🤨🤨