Nyamwage
JF-Expert Member
- Oct 16, 2020
- 712
- 1,748
Nipo hapa kwenye kisiwa cha marashi ya karafuu jioni nikaenada zangu barabarani kuzurura nikakutana na wauza samaki wa kukaanga sikuuliza bei maana huku bongo huwa tunawanunua kwa buku ikizidi sana buku jero, nikawagonga samaki watatu palepale nikamaliza natoa elfu tano ili nirudishiwe chenji niondoke nashangaa naambiwa pesa bado haitoshi eti nadaiwa buku mbili jero kwahio kila samaki mmoja alikua anauzwa 2500 dah mpaka nimechoka nilijua huku samaki ni wa kusaza!