Zanzibar samaki zenu huwa mnauzia wapi? Mbona adimu sana

Zanzibar samaki zenu huwa mnauzia wapi? Mbona adimu sana

Na kiasi kingi cha samaki hupelekwa Zanzibar kutoka Bara.
Siyo kweli. Wavuvi wa samaki wa zanzibar wengi wanauza bara (Kunduchi, Bagamoyo, Tanga). Wakojani karibia wote wamehamia bara wamekimbia visiwani.
 
Siyo kweli. Wavuvi wa samaki wa zanzibar wengi wanauza bara (Kunduchi, Bagamoyo, Tanga). Wakojani karibia wote wamehamia bara wamekimbia visiwani.
Unadhani no Nini ki, ewakimbiza? Na inakuwa je wakimbie solo?
 
Ndio mana vikija bara vinanenepena mishavu tele..kumbe kwao maisha magumu sana.

Ndiomana umimi umewajaa..mana kwenye njaa hakuna umoja bali ubinafsi.

#MaendeleoHayanaChama
Nina rafiki yangu mmoja huyo katoka huko alikuja bara kikazi sasaivi yupo mbeya..

Anakula huyo hatari [emoji23][emoji23], ana mashavu mbele na nyuma
 
Kuna jamaa yangu mmoja mzenji alikuwa ana boti yake ya fiber anatoka Zanzibar anakuja Kunduchi na Kivukoni kununua samaki wale wakubwa kisha anaenda kuuza mahoteli makubwa ya kitalii Zanzibar, nilimshangaa sana ila alikuwa anapata faida maradufu
 
Back
Top Bottom