Zanzibar samaki zenu huwa mnauzia wapi? Mbona adimu sana

Nyamwage

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2020
Posts
712
Reaction score
1,748
Nipo hapa kwenye kisiwa cha marashi ya karafuu jioni nikaenada zangu barabarani kuzurura nikakutana na wauza samaki wa kukaanga sikuuliza bei maana huku bongo huwa tunawanunua kwa buku ikizidi sana buku jero, nikawagonga samaki watatu palepale nikamaliza natoa elfu tano ili nirudishiwe chenji niondoke nashangaa naambiwa pesa bado haitoshi eti nadaiwa buku mbili jero kwahio kila samaki mmoja alikua anauzwa 2500 dah mpaka nimechoka nilijua huku samaki ni wa kusaza!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hadi ikakusukuma kuleta thread huku[emoji1787][emoji1787]
Kuna jamaa yangu alikuja Zanzibar akaambiwa wali maharage ni elf 5, afu Soon akakutana na kahaba anamwambia Kaka buku 2 tu twende[emoji3][emoji3] alikaa zenji siku mbili , ya tatu akarudi zake dar es salaam. Zenji msosi Bei kuliko ngono?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Zanzibar samaki ni adimu sana, kwanza wavuvi ni wengi lakini wavuvi ni wale traditional kiasi kwamba wanachokipata hakitoshelezi mahitaji ya samaki visiwani humo.

Na kiasi kingi cha samaki hupelekwa Zanzibar kutoka Bara.

Chakula ni ghali sana Zanzibar, tujue tu kwamba wale Wapemba na Waunguja hawalimi, chakula chao huagiza Bara na nchi zingine ikiwemo mchele.

Lakini pia uhaba wa samaki na vyakula hupaishwa bei na shughuli za utalii ambapo watu kibao humiminika visiwani kwenda kula bata.

Hata lodge ni bei ghali sana na ziko chache, watu wengi Zanzibar ni Waislam ambao huamini kujenga lodge au Guest house ni ku-facilitate watu kufanya dhambi ya kuzini hivyo wengi hawako tayari kuwekeza kwenye Sekta hiyo adhimu (mabaharia tuko pamoja najua).

Ila Wazenji wanapenda kuoa aisee[emoji23][emoji23]
 
Ndio maana asilimia kubwa wanakula mlo Moja tu. So kwa kupenda Bali life ni gumu kule
 
Tunakula wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…