Zanzibar: Serikali yalaani vitendo vya unyanyasaji wa kidini vinavyoendelea visiwani

Wameona hali inazidi kuwa mbaya malalamiko kila kona, haya mambo yao ya kukurupuka kwa ushamba wao yatawaponza mpaka kwenye sekta ya utalii, bahati yao wanafaidi kupitia Tanganyika ndio maana hawajitambui.
Eti raia Wamarekani akija asile.mchana kwasababu kuna MAVI wameachakula wanataka nawengine wasile.... Ndo mana WEST hawataki kuwekeza ZNZ washenzi sana....
 
View attachment 2949080

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imehimiza katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhan kutenda mema na kudumisha amani, umoja na mshikamano miongoni mwa wananchi.

Zanzibar ni nchi yenye historia kongwe ya uvumilivu wa kidini ambapo Uislamu na Ukristo uliingia mapema kuwa sehemu muhimu ya utamaduni uliodumu kwa karne nyingi. Hii inatufundisha kuhusu ustaarabu wa Wazanzibari kuvumiliana kidini na ndio msingi wa mshikamano miongoni mwetu.

Serikali inalaani vitendo vya unyanyasaji vinavyoendelea kufanyika sehemu mbalimbali Zanzibar, kadhia hiyo ni kinyume na misingi ya kuvumiliana katika imani za kidini.

Aidha, Serikali inawahimiza wananchi kujizuia kwa namna yoyote ile kuingilia uhuru wa mtu binafsi katika kuabudu.

Ikumbukwe Zanzibar inaongozwa kwa Katiba, Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ina mamlaka ya kullinda Katiba ya nchi na watu wake, hivyo hatua yoyote ile yenye kuhatarisha Umoja, Amani na Mshikamano haitavumiliwa.

Serikali itaendelea kulinda haki na uhuru wa mtu kuabudu kama ilivyoelezwa katika Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984.

Hivyo, tuendelee kudumisha amani na upendo kama mafundisho ya dini zetu yanavyotutaka, tofauti zetu za kidini zisiwe chanzo cha kuvuruga amani, umoja na mshikamano.
Hatua gani kuchukuliwa askari aliyekamata watu 12 wakila hadharani. Kama hakuna hatua huo ni usanii kama usanii mwingine.
 
Mkuu sihitaji pesa yakk,ila kama wamelaani ni jambo jema,mengine yatashugulikiwa taratibu
Wamelaani kwakuwa limezua taharuki ila hakuna chochote kitakachotokea..

Mbona wale watu walioshikiliwa kwa kula mchana bado wako Cello kwanini wasiachiwe?

Jiulize ile pesa ya faini serkali iliyotoza Hotel kwa.mtalii kula mchana Ramadhani iliingia kwa mfuko upi??

So tamko hilo ni kiinimacho kama halita taja hivyo vitu kama kurudisha Faini na watu waliokamatwa kuachiliwa
 
Sijui ingekuwaje kama wananchi wa huku bara wangemkamata mzanzibar na kulazimisha kumlisha kitimoto wakati wa huu mfungo.
 
Mbona sijaona sehemu iliyoandikwa ni "marufuku mtu yeyote kumzuia mtu mwingine kula au kunywa wakati wowote kwa sababu tu yeye amefunga"
 
Bado tamko kutoka kamati na jumuiya ya maridhiano ya kitaifa ya Sheikh ALHAD MUSSA.
 
View attachment 2949080

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imehimiza katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhan kutenda mema na kudumisha amani, umoja na mshikamano miongoni mwa wananchi.

Zanzibar ni nchi yenye historia kongwe ya uvumilivu wa kidini ambapo Uislamu na Ukristo uliingia mapema kuwa sehemu muhimu ya utamaduni uliodumu kwa karne nyingi. Hii inatufundisha kuhusu ustaarabu wa Wazanzibari kuvumiliana kidini na ndio msingi wa mshikamano miongoni mwetu.

Serikali inalaani vitendo vya unyanyasaji vinavyoendelea kufanyika sehemu mbalimbali Zanzibar, kadhia hiyo ni kinyume na misingi ya kuvumiliana katika imani za kidini.

Aidha, Serikali inawahimiza wananchi kujizuia kwa namna yoyote ile kuingilia uhuru wa mtu binafsi katika kuabudu.

Ikumbukwe Zanzibar inaongozwa kwa Katiba, Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ina mamlaka ya kullinda Katiba ya nchi na watu wake, hivyo hatua yoyote ile yenye kuhatarisha Umoja, Amani na Mshikamano haitavumiliwa.

Serikali itaendelea kulinda haki na uhuru wa mtu kuabudu kama ilivyoelezwa katika Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984.

Hivyo, tuendelee kudumisha amani na upendo kama mafundisho ya dini zetu yanavyotutaka, tofauti zetu za kidini zisiwe chanzo cha kuvuruga amani, umoja na mshikamano.
INGAwa SMZ imemumunya Sana maneno lakini angalau ni mwanzo mzuri
 
kama wanalinda uhuru wa kuabudu, na hawana hata aibu kuongea haya, mbona polisi wanakamata watu wanaokula mchana? kwanini wakristo wasiwe huru kula kwa mujibu wa dini yao, tena hawali vyakula vya waislam, ni vyakula vyao na wao ni wazanzibari? wengi wanaamini wazanzibari wote ni waislam, no, kuna silimia karibia moja ni watu wa dini zingine, je? hao hawana uhuru wa kuabudu? hawana uhuru kuishi kwa mujibu wa dini yao? nani asiyejua kuwa hata bila video hii zanzibar maisha ndivyo yalivyo kipindi hiki cha ramazani?
 
Yahimiza watu wavumiliane kwenye imani zao, kwa kifupi watu wasipangiane likija suala la imani maana katiba inaruhusu uhuru wa kuabudu.
Japo sijaelewa maana polisi wenyewe wamehusika kwenye kamata kamata za watu wanaokutwa na misosi.
====================

  • A statement issued today, Saturday, March 30, 2024, by the government spokesperson, Charles Hillary, states that religious tolerance is the foundation of cohesion and that the government will not tolerate anyone who appears to be signaling a breach of peace on religious grounds.
 
kama wanalinda uhuru wa kuabudu, na hawana hata aibu kuongea haya, mbona polisi wanakamata watu wanaokula mchana? kwanini wakristo wasiwe huru kula kwa mujibu wa dini yao, tena hawali vyakula vya waislam, ni vyakula vyao na wao ni wazanzibari? wengi wanaamini wazanzibari wote ni waislam, no, kuna silimia karibia moja ni watu wa dini zingine, je? hao hawana uhuru wa kuabudu? hawana uhuru kuishi kwa mujibu wa dini yao? nani asiyejua kuwa hata bila video hii zanzibar maisha ndivyo yalivyo kipindi hiki cha ramazani?

Inapaswa kila mmoja awe huru kula, hata kwa hao waislamu, haipaswi kumpangia mtu, kila mmoja atajua yeye na Mungu wake, asiye na dhambi awe wa kwanza kumpiga mwenzake.
Unakuta jamaa wanaojifanya kupangia wenzao mambo ya dini, wao ndio wenye dhambi hadi basi.
Nimeishi Zanzibar na niliyoshuhudia yaani, watu hao hao baada ya mfungo wanafanya vituko vya kila aina, zinaa na mambo mengine mengi, inakua kama waliofunguliwa kutoka kwa jela fulani hivi, nikawa najiuliza yaani Mungu wao anaabudiwa tu kipindi cha ramadhani, maana ikiisha tu, vyumba vya gesti watagegedana humo balaa na mipombe kama yote.
 
Sasa wawaachie wote waliowakamata na wale walioonekana kwenye video clip wakimchapa Mtanganyika wawachukulie hatua za kisheria kwa kufanya shambulio la mwili wa Mtanganyika wetu.

Hapo ndo watakua serious.
Mimi mtu hanichapi kipumbavu patachimbika, nibora nisiwepo duniani kuliko kuzinguliwa na wajinga.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Huyo Mungu simtaki Mimi,, unafunga Alafu unakuwa na fujo,, Mwezi fujo Huo.. Kwani Nani kakulazimisha kufunga, Huo NAO Ni utumwa
 
Zanzibar sio pahala salama kipindi cha Ramadhan! Wakati ilitarajiwa iwe kinyume chake! Very interesting!
 
View attachment 2949080

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imehimiza katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhan kutenda mema na kudumisha amani, umoja na mshikamano miongoni mwa wananchi.

Zanzibar ni nchi yenye historia kongwe ya uvumilivu wa kidini ambapo Uislamu na Ukristo uliingia mapema kuwa sehemu muhimu ya utamaduni uliodumu kwa karne nyingi. Hii inatufundisha kuhusu ustaarabu wa Wazanzibari kuvumiliana kidini na ndio msingi wa mshikamano miongoni mwetu.

Serikali inalaani vitendo vya unyanyasaji vinavyoendelea kufanyika sehemu mbalimbali Zanzibar, kadhia hiyo ni kinyume na misingi ya kuvumiliana katika imani za kidini.

Aidha, Serikali inawahimiza wananchi kujizuia kwa namna yoyote ile kuingilia uhuru wa mtu binafsi katika kuabudu.

Ikumbukwe Zanzibar inaongozwa kwa Katiba, Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ina mamlaka ya kullinda Katiba ya nchi na watu wake, hivyo hatua yoyote ile yenye kuhatarisha Umoja, Amani na Mshikamano haitavumiliwa.

Serikali itaendelea kulinda haki na uhuru wa mtu kuabudu kama ilivyoelezwa katika Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984.

Hivyo, tuendelee kudumisha amani na upendo kama mafundisho ya dini zetu yanavyotutaka, tofauti zetu za kidini zisiwe chanzo cha kuvuruga amani, umoja na mshikamano.
Charles Hillary you are beating around the bush! You haven't touched the core problem, the cause of writing your message!
'Beating around the Bush' means to avoid answering a question; to stall; to waste time.

Sema msiwalazimishe wasio kuwa waislamu, (hata waislamu) wasile kwa vile nyinyi mmefunga! short and clear! Stop these diplomatic languages which at the end do not convey the intended message!
 
View attachment 2949080

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imehimiza katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhan kutenda mema na kudumisha amani, umoja na mshikamano miongoni mwa wananchi.

Zanzibar ni nchi yenye historia kongwe ya uvumilivu wa kidini ambapo Uislamu na Ukristo uliingia mapema kuwa sehemu muhimu ya utamaduni uliodumu kwa karne nyingi. Hii inatufundisha kuhusu ustaarabu wa Wazanzibari kuvumiliana kidini na ndio msingi wa mshikamano miongoni mwetu.

Serikali inalaani vitendo vya unyanyasaji vinavyoendelea kufanyika sehemu mbalimbali Zanzibar, kadhia hiyo ni kinyume na misingi ya kuvumiliana katika imani za kidini.

Aidha, Serikali inawahimiza wananchi kujizuia kwa namna yoyote ile kuingilia uhuru wa mtu binafsi katika kuabudu.

Ikumbukwe Zanzibar inaongozwa kwa Katiba, Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ina mamlaka ya kullinda Katiba ya nchi na watu wake, hivyo hatua yoyote ile yenye kuhatarisha Umoja, Amani na Mshikamano haitavumiliwa.

Serikali itaendelea kulinda haki na uhuru wa mtu kuabudu kama ilivyoelezwa katika Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984.

Hivyo, tuendelee kudumisha amani na upendo kama mafundisho ya dini zetu yanavyotutaka, tofauti zetu za kidini zisiwe chanzo cha kuvuruga amani, umoja na mshikamano.
Hatimaye wamevunja ukimya
 
Serikali haiachi kufanya kazi wakati wa ramadhani, wala haina mfungo.

Ili kuona kama kweli tamko hili limedhamiriwa na SMZ, itoe taarifa imechukia hatua gani dhidi ya hao waliokiuka katiba na sheria za nchi.
 
Back
Top Bottom