Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii inathibitisha kuwa baadhi ya ndugu zetu waislam wanajinyima kula ili kutengeneza afya zao, ila sio imani zao. Yaani mtu kafunga, lakini akiniona nakula anapata kihoro, anashikwa na tamaa, anapata hasira kwa nini mimi nakula yeye ana njaa, huyo anashinda njaa tu hana lolote analofanya kiimani. Aungane na mimi tupige ugali samaki asijishindishe njaa.Kufunga ni pamoja na kushinda tamaa,
Kama umefunga Lakini mtu akila ugali kuku mbele Yako unaona kama roho inataka kutoka ..
Jikaze ndio mfungo huo
Ukiisoma vizuri hiyo barua, ni kama inamaanisha kuwa wanaoenda kinyume na inavyotakiwa kwny mwezi mtukufu ndiyo itawachukulia hatua, ikiwemo wanaokula waziwazi.Serikali imekamata watu waliokuwa wanapika chakula majumbani mwao na kuwatoza faini 50000/- kila mmoja. Sasa serikali gani iliyowatoza hao mama ntilie?
Mbona hatua nyingi zimechukuliwa, ikiwemo na kukamatwa wanaokula hadharani na makampuni ya kigeni kutozwa faini, hujasikia?Inalaani halafu haichukui hatua ni upuuzi, a failed state
Hilo tamko limekaa Very strategic.Kulingana na waraka huo, anayeingilia uhuru wa kuabudu wa mtu mwingine, ni anayekula hadharani wakati wa mfungo.
Swali linabaki pale pale, Sheria inasemaje?
Na Serikali ya MAPINDUZI Zanzibar Ina dini?
Limeandikwa kimtego,Hilo tamko limekaa Very strategic.
Namna Msomaji atavyoelewa ndio hivyo hivyo litakavyomaanisha.
Dini ni kama madawa ya kulevyaBaada ya mambo mengi yaliyotokea katika kipindi cha Ramadhan kwenye nchi ya Zanzibar, leo serikali imetoa msimamo wao kutokana na mambo yanavyoendelea.
View attachment 2949079
Msemaji amesahau kutaja ni vitendo gani vinavyoharibu amani.View attachment 2949080
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imehimiza katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhan kutenda mema na kudumisha amani, umoja na mshikamano miongoni mwa wananch...
Ndio ccm inavyofanya kila wakati wa uchaguzi. Hili limepelekea majaji, ubakaji na wizi wa mali. Mwananchi unapokuwa na mtazamo kama huu, inakatisha tamaa kama hili taifa litafika wakati likaheshimu katiba, sheria na zaidi utu wa Mtz.Kama SMZ ina nia ya dhati ya kukomesha hili ni rahisi.
Ichukue vijana pale Lugalo wavae kiraia watapakae Mjini Magharibi wakila ovyo mitaani.
Hao wanaopiga watu huku wana njaa zao kali hawatokaa wapige mtu tena.