Eti raia Wamarekani akija asile.mchana kwasababu kuna MAVI wameachakula wanataka nawengine wasile.... Ndo mana WEST hawataki kuwekeza ZNZ washenzi sana....Wameona hali inazidi kuwa mbaya malalamiko kila kona, haya mambo yao ya kukurupuka kwa ushamba wao yatawaponza mpaka kwenye sekta ya utalii, bahati yao wanafaidi kupitia Tanganyika ndio maana hawajitambui.
Hatua gani kuchukuliwa askari aliyekamata watu 12 wakila hadharani. Kama hakuna hatua huo ni usanii kama usanii mwingine.View attachment 2949080
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imehimiza katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhan kutenda mema na kudumisha amani, umoja na mshikamano miongoni mwa wananchi.
Zanzibar ni nchi yenye historia kongwe ya uvumilivu wa kidini ambapo Uislamu na Ukristo uliingia mapema kuwa sehemu muhimu ya utamaduni uliodumu kwa karne nyingi. Hii inatufundisha kuhusu ustaarabu wa Wazanzibari kuvumiliana kidini na ndio msingi wa mshikamano miongoni mwetu.
Serikali inalaani vitendo vya unyanyasaji vinavyoendelea kufanyika sehemu mbalimbali Zanzibar, kadhia hiyo ni kinyume na misingi ya kuvumiliana katika imani za kidini.
Aidha, Serikali inawahimiza wananchi kujizuia kwa namna yoyote ile kuingilia uhuru wa mtu binafsi katika kuabudu.
Ikumbukwe Zanzibar inaongozwa kwa Katiba, Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ina mamlaka ya kullinda Katiba ya nchi na watu wake, hivyo hatua yoyote ile yenye kuhatarisha Umoja, Amani na Mshikamano haitavumiliwa.
Serikali itaendelea kulinda haki na uhuru wa mtu kuabudu kama ilivyoelezwa katika Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984.
Hivyo, tuendelee kudumisha amani na upendo kama mafundisho ya dini zetu yanavyotutaka, tofauti zetu za kidini zisiwe chanzo cha kuvuruga amani, umoja na mshikamano.
Wamelaani kwakuwa limezua taharuki ila hakuna chochote kitakachotokea..Mkuu sihitaji pesa yakk,ila kama wamelaani ni jambo jema,mengine yatashugulikiwa taratibu
Hii habari imekuja kupunguza jazba sio kutibu tatizo,siasa mbaya sana.Ukisikia mtu anaandika kitu, ila ukisoma ni kama hajaandikaa kitu. Yaani inakuwa kama (1- 6 + 5 -7 + 3 + 4) = 0
INGAwa SMZ imemumunya Sana maneno lakini angalau ni mwanzo mzuriView attachment 2949080
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imehimiza katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhan kutenda mema na kudumisha amani, umoja na mshikamano miongoni mwa wananchi.
Zanzibar ni nchi yenye historia kongwe ya uvumilivu wa kidini ambapo Uislamu na Ukristo uliingia mapema kuwa sehemu muhimu ya utamaduni uliodumu kwa karne nyingi. Hii inatufundisha kuhusu ustaarabu wa Wazanzibari kuvumiliana kidini na ndio msingi wa mshikamano miongoni mwetu.
Serikali inalaani vitendo vya unyanyasaji vinavyoendelea kufanyika sehemu mbalimbali Zanzibar, kadhia hiyo ni kinyume na misingi ya kuvumiliana katika imani za kidini.
Aidha, Serikali inawahimiza wananchi kujizuia kwa namna yoyote ile kuingilia uhuru wa mtu binafsi katika kuabudu.
Ikumbukwe Zanzibar inaongozwa kwa Katiba, Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ina mamlaka ya kullinda Katiba ya nchi na watu wake, hivyo hatua yoyote ile yenye kuhatarisha Umoja, Amani na Mshikamano haitavumiliwa.
Serikali itaendelea kulinda haki na uhuru wa mtu kuabudu kama ilivyoelezwa katika Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984.
Hivyo, tuendelee kudumisha amani na upendo kama mafundisho ya dini zetu yanavyotutaka, tofauti zetu za kidini zisiwe chanzo cha kuvuruga amani, umoja na mshikamano.
kama wanalinda uhuru wa kuabudu, na hawana hata aibu kuongea haya, mbona polisi wanakamata watu wanaokula mchana? kwanini wakristo wasiwe huru kula kwa mujibu wa dini yao, tena hawali vyakula vya waislam, ni vyakula vyao na wao ni wazanzibari? wengi wanaamini wazanzibari wote ni waislam, no, kuna silimia karibia moja ni watu wa dini zingine, je? hao hawana uhuru wa kuabudu? hawana uhuru kuishi kwa mujibu wa dini yao? nani asiyejua kuwa hata bila video hii zanzibar maisha ndivyo yalivyo kipindi hiki cha ramazani?View attachment 2949080
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imehimiza katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhan kutenda mema na kudumisha amani, umoja na mshikamano miongoni mwa wananchi.
Zanzibar ni nchi yenye historia kongwe ya uvumilivu wa kidini ambapo Uislamu na Ukristo uliingia mapema kuwa sehemu muhimu ya utamaduni uliodumu kwa karne nyingi. Hii inatufundisha kuhusu ustaarabu wa Wazanzibari kuvumiliana kidini na ndio msingi wa mshikamano miongoni mwetu.
Serikali inalaani vitendo vya unyanyasaji vinavyoendelea kufanyika sehemu mbalimbali Zanzibar, kadhia hiyo ni kinyume na misingi ya kuvumiliana katika imani za kidini.
Aidha, Serikali inawahimiza wananchi kujizuia kwa namna yoyote ile kuingilia uhuru wa mtu binafsi katika kuabudu.
Ikumbukwe Zanzibar inaongozwa kwa Katiba, Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ina mamlaka ya kullinda Katiba ya nchi na watu wake, hivyo hatua yoyote ile yenye kuhatarisha Umoja, Amani na Mshikamano haitavumiliwa.
Serikali itaendelea kulinda haki na uhuru wa mtu kuabudu kama ilivyoelezwa katika Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984.
Hivyo, tuendelee kudumisha amani na upendo kama mafundisho ya dini zetu yanavyotutaka, tofauti zetu za kidini zisiwe chanzo cha kuvuruga amani, umoja na mshikamano.
kama wanalinda uhuru wa kuabudu, na hawana hata aibu kuongea haya, mbona polisi wanakamata watu wanaokula mchana? kwanini wakristo wasiwe huru kula kwa mujibu wa dini yao, tena hawali vyakula vya waislam, ni vyakula vyao na wao ni wazanzibari? wengi wanaamini wazanzibari wote ni waislam, no, kuna silimia karibia moja ni watu wa dini zingine, je? hao hawana uhuru wa kuabudu? hawana uhuru kuishi kwa mujibu wa dini yao? nani asiyejua kuwa hata bila video hii zanzibar maisha ndivyo yalivyo kipindi hiki cha ramazani?
Mimi mtu hanichapi kipumbavu patachimbika, nibora nisiwepo duniani kuliko kuzinguliwa na wajinga.Sasa wawaachie wote waliowakamata na wale walioonekana kwenye video clip wakimchapa Mtanganyika wawachukulie hatua za kisheria kwa kufanya shambulio la mwili wa Mtanganyika wetu.
Hapo ndo watakua serious.
Zanzibar sio pahala salama kipindi cha Ramadhan! Wakati ilitarajiwa iwe kinyume chake! Very interesting!Huyo Mungu simtaki Mimi,, unafunga Alafu unakuwa na fujo,, Mwezi fujo Huo.. Kwani Nani kakulazimisha kufunga, Huo NAO Ni utumwa
Charles Hillary you are beating around the bush! You haven't touched the core problem, the cause of writing your message!View attachment 2949080
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imehimiza katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhan kutenda mema na kudumisha amani, umoja na mshikamano miongoni mwa wananchi.
Zanzibar ni nchi yenye historia kongwe ya uvumilivu wa kidini ambapo Uislamu na Ukristo uliingia mapema kuwa sehemu muhimu ya utamaduni uliodumu kwa karne nyingi. Hii inatufundisha kuhusu ustaarabu wa Wazanzibari kuvumiliana kidini na ndio msingi wa mshikamano miongoni mwetu.
Serikali inalaani vitendo vya unyanyasaji vinavyoendelea kufanyika sehemu mbalimbali Zanzibar, kadhia hiyo ni kinyume na misingi ya kuvumiliana katika imani za kidini.
Aidha, Serikali inawahimiza wananchi kujizuia kwa namna yoyote ile kuingilia uhuru wa mtu binafsi katika kuabudu.
Ikumbukwe Zanzibar inaongozwa kwa Katiba, Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ina mamlaka ya kullinda Katiba ya nchi na watu wake, hivyo hatua yoyote ile yenye kuhatarisha Umoja, Amani na Mshikamano haitavumiliwa.
Serikali itaendelea kulinda haki na uhuru wa mtu kuabudu kama ilivyoelezwa katika Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984.
Hivyo, tuendelee kudumisha amani na upendo kama mafundisho ya dini zetu yanavyotutaka, tofauti zetu za kidini zisiwe chanzo cha kuvuruga amani, umoja na mshikamano.
Hatimaye wamevunja ukimyaView attachment 2949080

View attachment 2949080