Zanzibar: Simai Mohamed Said, Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale ajiuzulu siku mbili baada ya kutangaza uhaba wa pombe kwenye hoteli na migahawa

Saudi wenyewe mwana mfalme ameruhusu uuzwagi wa pombe katk mahoteli kwa Wana diplomasia tu
 
Simai ni shujaa.

Imani imani kitu gani kama siyo unafiki wao wavaa kobazi.

Mwezi wao huwa bar, gesti na kitimoto biashara zinakuwa ngumu, maana wao ndo watumiaji wakubwa.

Pombe ndiyo uti wa mgongo wa uchumi wetu. Pombe inasaidia serikali iweze kujenga zahanati, barabara ,shule, masoko n.k

Nikiwa rais, hizi imani za kigeni nitazifutilia mbali. Bora tuendelee kuabudu mababu zetu(mizimu).
 
Inasemekana eti! "sababu zake za kujiuzulu akizifanya siri ,sisi tunafahamu moja ya sababu za kukaa kwake pembeni ni kuchoshwa na tabia ya kuingiliwa na Ikulu kwenye kufanya majukumu ya wizara yake kama waziri na watu ambao siyo viongozi wa serikali bali ni watu walioko karibu na Rais Mwinyi na Ikulu ya Zanzibar."-Kigogo Media
 
Unafiki mtupu........kutafuta Kiki tu
 
Hii ni kesi ya ZMMI na QMB..
Kuna uhuni sana QMB wana miezi zaidi ya mitano na tetesi zinasema wamelipa maokoto na bado container zao zote za vileo zimezuiwa.
 
Ma shaa Allah kafanya la maana sana, kama sababu ni hiyo.
 
Imani sio tatizo na misimamo ni ruksa..., lakini usilete Imani zako na misimamo yako kwenye maisha ya wengine..., to each their own....
 
Wazanzibar wamelegea kama mlenda wa wagogo akina Kazi Ndugu Gay
S wote waliolegea.
Zanzibar kuna watu shupavu na ushoga kule upo sana lakini ni matakwa ya mtu ambapo huwezi kuweka CCTV chumbani kuwabaini.
Serikali imeharamisha na ukikamatwa ni kufungwa kwa mujibu wa sheria.
 
Wabara ndo mana mtazidi kuwa maskini na kukosa maendeleo hadi kiama. Uongozi ni utumishi sio ajira. Mawazo yenu ya kuwaza uongozi ni ajira ndo mana mnaendekeza maslahi binafsi na mnashindwa kusimamia ukweli kwenye masuala ya msingi.

Hongera sana kwa huyu Waziri aliyejiuzuru. Anaonekana tu ni mtu smart na ndo mana Zanzibar inapiga hatua sana kwenye maendeleo. Inaelekea Mwinyi anajali sana smartness kuliko machawa na watu maslahi
 
Nlivyoiona taarifa ya uhaba wa pombe, na utamaduni wa Zanzibar ulivyo, nilishangaa na kuhisi labda Zanzibar inaelekea kwenyeabadiliko makubwa kiutamaduni.
 
Kila watu wapambane na mambo yao...
 
anayo hoja ndugu waziri 🐒
 
Nlivyoiona taarifa ya uhaba wa pombe, na utamaduni wa Zanzibar ulivyo, nilishangaa na kuhisi labda Zanzibar inaelekea kwenyeabadiliko makubwa kiutamaduni.
Kwani zenji pombe hamna ? Kama hujawahi kufika basi unadanganywa ..Zenji pombe zipo miaka kibao kwa sababu ya utalii...Zenji hawana ubaguzi watu kibao wanatoka bara wanaenda kufanya biashara za kujiuza kwa watalii


Zenji jaribu kufika utaona huku bara tunaleta porojo...zenji wapo peace kwa sana ...
 
Pombe huku bara si ipo nyingi jamani, si wapeleke tu, watu wapate maokoto wakati wengine wanapata starehe zao na maisha yaendelee?! 😄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…