Zanzibar: Simai Mohamed Said, Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale ajiuzulu siku mbili baada ya kutangaza uhaba wa pombe kwenye hoteli na migahawa

Itabidi kobaz wote waondoke ulaya na marekani kwa makafir waende zanzibar ili wasikutane na pombe hata kwa bahati mbaya......mnataka watalii halafu muwapangie maisha, au ndo yale ya baniani mbaya kiatu chake dawa.​
 
Kwanini ndugu zao waarabu huwa hawaji kutalii?
 
Wabara ndo mana mtazidi kuwa maskini na kukosa maendeleo hadi kiama. Uongozi ni utumishi sio ajira. Mawazo yenu ya kuwaza uongozi ni ajira ndo mana mnaendekeza maslahi binafsi na mnashindwa kusimamia ukweli kwenye masuala ya msingi.

Hongera sana kwa huyu Waziri aliyejiuzuru. Anaonekana tu ni mtu smart na ndo mana Zanzibar inapiga hatua sana kwenye maendeleo. Inaelekea Mwinyi anajali sana smartness kuliko machawa na watu maslahi
Sasa kwani hakukataa tangia mwanzo wakati anakabidhiwa hii Wizara? Maana tokea anakabidhiwa alijua anadili na mambo yapi,amekaa pale wizarani miaka kibao kaona uchaguzi unakaribia anajifanya mcha mola.wanasiasa wamejawa na unafiki mtupu.
 
Huo utajiri wa hao wazenji ni upi
 
Uwe unatulia unasoma mada na kutafakar kabla hujaandika chochote utajitia aibu Bure.
Sasa kwani hakukataa tangia mwanzo wakati anakabidhiwa hii Wizara? Maana tokea anakabidhiwa alijua anadili na mambo yapi,amekaa pale wizarani miaka kibao kaona uchaguzi unakaribia anajifanya mcha mola.wanasiasa wamejawa na unafiki mtupu.
 
Ukute anakula kisamvu
Saudi Arabia yenyewe wameruhusu Gambe.

BBC Homepage
More menu
Search BBC

BBC News
Menu

Saudi Arabia to get first alcohol shop in more than 70 years​

    • Published
      1 day ago
Share
Saudi man mixes non-alcoholic drink
IMAGE SOURCE,GETTY IMAGES
Image caption,
A bar tender mixes a non-alcoholic cocktail at a pop-up bar in Riyadh. But the real stuff could soon be heading to the Saudi capital.
By Graeme Baker
BBC News

Saudi Arabia has said it will open a shop in Riyadh selling alcohol to a select band of non-Muslim expats, the first to open in more than 70 years.
The clientele will be limited to diplomatic staff, who have for years imported booze in sealed official packages known as diplomatic pouches.
Saudi officials said the shop would counter "the illicit trade of alcohol".
Prohibition has been law since 1952, after one of King Abdulaziz's sons drunkenly shot dead a British diplomat.
The new store will be located in Riyadh's Diplomatic Quarter west of the city centre, according to a document seen by the AFP and Reuters news agencies.
A source familiar with the plans told Reuters the shop was expected to open within weeks. There will be limitations, however:
  • Thirsty envoys would need to register beforehand and receive clearance by the government
  • No one under 21 will be allowed in the store and "proper attire is required" at all times inside
  • Drinkers will not be able to send a proxy, such as a driver
  • Monthly limitations would be enforced, the statement said.
However - according to the document seen by AFP - these will not be particularly stringent.
Patrons will be limited to 240 "points" of alcohol per month. One litre of spirits will be worth six points, one litre of wine three points and one litre of beer one point.
There are also no suggestions that the clientele will be widened to "ordinary" foreigners in the kingdom without diplomatic privileges, who officially have no access to alcohol.
While alcohol will become part of Riyadh life, drinkers would be wise to be mindful of where they drink and how they behave afterwards.
Under current Saudi law, penalties for consumption or possession of alcohol can include fines, jail time, public flogging and deportation for unauthorised foreigners.
The document also said authorities are planning a "new regulatory framework" that would also allow "specific quantities" of alcohol to be brought in by diplomats to "put an end to... an uncontrolled exchange of such goods", it added.
For years diplomatic staff have had to use their "pouches", which cannot be tampered with by authorities in their host country, to bring in limited amounts of alcohol.
The moves are the latest in a series of initiatives known as "Vision 2030" to liberalise Saudi society under the crown prince and de facto ruler of the country, Mohammed bin Salman.
Other Gulf states operate similar alcohol regimes.
However, the UAE and Qatar also allow the sale of alcohol to non-Muslims over 21 in hotels, clubs and bars.
There is no suggestion from the Saudi document that the government there is considering doing the same.
While alcohol is forbidden under Islam, Saudi Arabia had until 1952 held a conciliatory attitude to its presence inside the kingdom.
That changed after Mishari bin Abdulaziz Al-Saud, a prince, shot dead Cyril Ousman, the British vice-consul in Jeddah, in 1951 for refusing to pour him another drink at a function.
A year later, King Abdulaziz imposed a total ban on alcohol. Mishari was convicted of murder.

Related Topics​

Hiyo ndio habari kuu usiku huu.
...
Hata hivyo hajaeleza sababu za kufikia uamuzi huo...
Hajaeleza ila inafahamika kutokana na maelezo yake kuwa ni kutokana na kwenda kinyume na utamaduni wa Zanzibar.

Ila kwa sababu alikuwa anamsaidia Mh Rais ilibidi afanye jukumu as minister ila "maneno kutoka indoor religion" yakamfanya aheshimu dini ili maisha yaendelee.
 
Ccm itaongoza hii nchi mpaka kiama kama watanzania hata kuelewa habari simple kama hii wameshindwa.

Waziri amejiuzulu baada ya wale wasambazaji wa pombe wa miaka yote kufusimamishwa kuagiza bila ridhaa yake. Ameona anaingiliwa kwenye kazi yake. Hiyo habari Haina uhusioano wowote wa dini na wazanzibari na pombe. Hii ni kama watu wanagombea Dili la usambazaji na waziri akaamua ajitoe hivyo ukosefu wa pombe.
 
Sio kweli, Simai amejiuzulu kuwatetea wamiliki wa hotel za kitalii pamoja na utalii wenyewe na sio kwa Imani ya dini
 
Kama siyo kweli andika "huu ndiyo ukweli kwa nini Simai kajiuzuru" vinginevyo hujui code ilivyo.
 
Wabara ndo mana mtazidi kuwa maskini na kukosa maendeleo hadi kiama. Uongozi ni utumishi sio ajira. Mawazo yenu ya kuwaza uongozi ni ajira ndo mana mnaendekeza maslahi binafsi na mnashindwa kusimamia ukweli kwenye masuala ya msingi.

Hongera sana kwa huyu Waziri aliyejiuzuru. Anaonekana tu ni mtu smart na ndo mana Zanzibar inapiga hatua sana kwenye maendeleo. Inaelekea Mwinyi anajali sana smartness kuliko machawa na watu maslahi
Hivi zanzibar gani hiyo iliyopiga hatua au kuna nyingine mm sijafika . Hii zanzibar inayoongoza kwa uchafu mlandege mtendeni michenzani zinanuka balaa mimaji michafu kama yote .wazanIbar ndo waafrica pekee wanaolala kwa kula bofro na chai maisha magumu sana mateja wamejaaa .wazenji wengi wachafu .wapemba wengi wanamakegete .wenye maisha bora ni wale wenye asiri kama waarabu ila hawa weusi ambao ndugu zetu wanatia huruma
 
Ccm itaongoza hii nchi mpaka kiama kama watanzania hata kuelewa habari simple kama hii wameshindwa.

Waziri amejiuzulu baada ya wale wasambazaji wa pombe wa miaka yote kufusimamishwa kuagiza bila ridhaa yake. Ameona anaingiliwa kwenye kazi yake. Hiyo habari Haina uhusioano wowote wa dini na wazanzibari na pombe. Hii ni kama watu wanagombea Dili la usambazaji na waziri akaamua ajitoe hivyo ukosefu wa pombe.
Kweli kabisa Hapa Dini inasingiziwa tu
 
Saudi Arabia yenyewe wameruhusu Gambe.

BBC Homepage
More menu
Search BBC

BBC News
Menu

Saudi Arabia to get first alcohol shop in more than 70 years​

    • Published
      1 day ago
Share
Saudi man mixes non-alcoholic drink
IMAGE SOURCE,GETTY IMAGES
Image caption,
A bar tender mixes a non-alcoholic cocktail at a pop-up bar in Riyadh. But the real stuff could soon be heading to the Saudi capital.
By Graeme Baker
BBC News

Saudi Arabia has said it will open a shop in Riyadh selling alcohol to a select band of non-Muslim expats, the first to open in more than 70 years.
The clientele will be limited to diplomatic staff, who have for years imported booze in sealed official packages known as diplomatic pouches.
Saudi officials said the shop would counter "the illicit trade of alcohol".
Prohibition has been law since 1952, after one of King Abdulaziz's sons drunkenly shot dead a British diplomat.
The new store will be located in Riyadh's Diplomatic Quarter west of the city centre, according to a document seen by the AFP and Reuters news agencies.
A source familiar with the plans told Reuters the shop was expected to open within weeks. There will be limitations, however:
  • Thirsty envoys would need to register beforehand and receive clearance by the government
  • No one under 21 will be allowed in the store and "proper attire is required" at all times inside
  • Drinkers will not be able to send a proxy, such as a driver
  • Monthly limitations would be enforced, the statement said.
However - according to the document seen by AFP - these will not be particularly stringent.
Patrons will be limited to 240 "points" of alcohol per month. One litre of spirits will be worth six points, one litre of wine three points and one litre of beer one point.
There are also no suggestions that the clientele will be widened to "ordinary" foreigners in the kingdom without diplomatic privileges, who officially have no access to alcohol.
While alcohol will become part of Riyadh life, drinkers would be wise to be mindful of where they drink and how they behave afterwards.
Under current Saudi law, penalties for consumption or possession of alcohol can include fines, jail time, public flogging and deportation for unauthorised foreigners.
The document also said authorities are planning a "new regulatory framework" that would also allow "specific quantities" of alcohol to be brought in by diplomats to "put an end to... an uncontrolled exchange of such goods", it added.
For years diplomatic staff have had to use their "pouches", which cannot be tampered with by authorities in their host country, to bring in limited amounts of alcohol.
The moves are the latest in a series of initiatives known as "Vision 2030" to liberalise Saudi society under the crown prince and de facto ruler of the country, Mohammed bin Salman.
Other Gulf states operate similar alcohol regimes.
However, the UAE and Qatar also allow the sale of alcohol to non-Muslims over 21 in hotels, clubs and bars.
There is no suggestion from the Saudi document that the government there is considering doing the same.
While alcohol is forbidden under Islam, Saudi Arabia had until 1952 held a conciliatory attitude to its presence inside the kingdom.
That changed after Mishari bin Abdulaziz Al-Saud, a prince, shot dead Cyril Ousman, the British vice-consul in Jeddah, in 1951 for refusing to pour him another drink at a function.
A year later, King Abdulaziz imposed a total ban on alcohol. Mishari was convicted of murder.

Related Topics​

Si haba wameanza mdogo mdogo.....
 
Mwakilishi wa jimbo la Tunguu Mh. Simai Mohammed Simai
mhe_simai_1.png

Mhe. Simai Mohammed Said

Aina ya mwakilishi: kura
Jimbo : Tunguu
Chama cha siasa: CCM
Mwakilishi Tangu : 2016
Kipindi : Cha pili 2020

Naibu waziri 2019 2020

Memba Committee 2016 2020
Commonwealth Parliament
Association, Zanzibar Branch

Chairman 2016 2020
Stone Town Conservation and
Development Authority Board

Member 2014 2018
State University of Zanzibar (SUZA) Council

Member Constitution Review Commission Member 2012 2014

Busara Promotions Chairman, Board of Trustee 2003 To Date

Zanzibar Arts Council Board Member 2008 2010

Zanzibar Association of Tourism
Investors (ZATI) Chairman 2005 2010

Rotary Club of Zanzibar Charted Member,founder 2005 2006

Beckton Alpine Ski Centre, London Industrial Attachment 1997 1997

Spice Group Of Hotels, Zanzibar Front House Manager 1992 1995
Naomba kujua biashara zake.
 
Back
Top Bottom