Pale Stendi kuu ya Dodoma tayari ceiling za sakafu ya kwanza zimedondoka zote sijui watazirekebisha kwa gharama zipi wakati hakuna wateja.
Inasikitisha sana, badala ya kutumia gharama kubwa kupanua barabara wao wanajenga majengo ya stendi kwenda juu..yaani abiria aache kununua maji chini ila afuate huduma ya maji ya kunywa gotofa ya pili.
Pale Nyamongolo Mwanza unashangaa stendi inahudumia abiria wanaosafiri kwenda Mara na Simiyu ila wanajengewa hadi Hotel ya kulala. Unafikiria hivi abiria anatesafiri kwenda Bariadi akalale stendi ili iweje? Au abiria anakwenda Sirari akalale stendi ya Nyamongolo ili awahi wapi?
Badala ya kutumia gharama za kujenga floors hizo kupanua barabara ya mjini hadi Mkuyuni.
Nimekumbuka yule Mzee aliyeondolewa Pale bandari ya Dar kwenda kustafia Tanga kisa amapinga ujenzi wa jengo la Ofisi ya TPA HQ ili wapanue na kuboresha zaidi gati za kupakia na kupakua mizigo.