Hili chawa huwa linasifia halafu linajipinga lenyeweMbona wewe chawa wa buku 7 ulipandisha nyuzi humu Samuya kajenga vyuo na stendi mikoa yote kwani Samuya ni mkandarasi ?
Jinga kabisa hil9 chawa la buku 7.Hili chawa huwa linasifia halafu linajipinga lenyewe
Wizi tu wa CCM huo..East Africa ya Wapi bwana?!najiuliza ivi soko la ubungo pale EAST AFRICA linafanya kazi nilifanikiwa kupita juzi kati sikuona movement ya watu
Miradi bubu ya wazalendo???My Take
Hivi nani Huwa anawadqnganya wanaojiita wasomi kwamba wananchi wanahitaji masoko ya gharama kubwa,ya gorofa na Mabilioni.
Ujinga huu wa kupoteza Rasilimali upo pia kwenye ujenzi wa stendi.
Nyie mnaojiita wasomi badilikeni na muwe na matumizi sahihi ya Kodi za Wananchi.
----------------
Takribani mwaka mmoja tangu lifunguliwe soko la kisasa Chuini, Mkoa wa Mjini Magharibi, bado wafanyabiashara katika soko hilo wanalalama kukosa wateja wakidai mitaji yao kufa.
Soko hilo lililogharimu zaidi ya Sh40 bilioni, lilizinduliwa na Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi Septemba 20, 2025 lengo ni kusogeza huduma za bidhaa karibu na wananchi na kuongeza vipato vya wafanyabiashara.
Hatua ya kukosa wateja inaelezwa ni kutokana na soko hilo kukosa aina yoyote ya mnada badala yake wananchi hukimbilia katika masoko mengine.
Wakizungumza mbele ya Makamu wa Pili wa Rais, Hemed Suleiman Abdulla alipotembelea soko hilo leo Julai 18, 2026 wamesema bidhaa zao zinaoza kwa sababu ya kutokuwa na wateja wa kutosha.
Fwarda Saidi Ali mmoja wa wajasiriamali wa viungo na bidhaa nyingine amesema licha ya kulipa Sh2,000 kwa siku ambayo ni sawa na Sh60,000kwa mwezi, lakini anadidimia katika biashara kwa kukosa wateja.
Chanzo: Mwananchi_official & The Citizen
Ideas ni nzuri sana tatizo ninkuacha hayo masoko na stend chininya majiji na almashauri. Hakutakuwa na jipya lolote maana wao wanaendelea na utaratibu wao huohuo wa siku zote.My Take
Hivi nani Huwa anawadqnganya wanaojiita wasomi kwamba wananchi wanahitaji masoko ya gharama kubwa,ya gorofa na Mabilioni.
Ujinga huu wa kupoteza Rasilimali upo pia kwenye ujenzi wa stendi.
Nyie mnaojiita wasomi badilikeni na muwe na matumizi sahihi ya Kodi za Wananchi.
----------------
Takribani mwaka mmoja tangu lifunguliwe soko la kisasa Chuini, Mkoa wa Mjini Magharibi, bado wafanyabiashara katika soko hilo wanalalama kukosa wateja wakidai mitaji yao kufa.
Soko hilo lililogharimu zaidi ya Sh40 bilioni, lilizinduliwa na Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi Septemba 20, 2025 lengo ni kusogeza huduma za bidhaa karibu na wananchi na kuongeza vipato vya wafanyabiashara.
Hatua ya kukosa wateja inaelezwa ni kutokana na soko hilo kukosa aina yoyote ya mnada badala yake wananchi hukimbilia katika masoko mengine.
Wakizungumza mbele ya Makamu wa Pili wa Rais, Hemed Suleiman Abdulla alipotembelea soko hilo leo Julai 18, 2026 wamesema bidhaa zao zinaoza kwa sababu ya kutokuwa na wateja wa kutosha.
Fwarda Saidi Ali mmoja wa wajasiriamali wa viungo na bidhaa nyingine amesema licha ya kulipa Sh2,000 kwa siku ambayo ni sawa na Sh60,000kwa mwezi, lakini anadidimia katika biashara kwa kukosa wateja.
Chanzo: Mwananchi_official & The Citizen
Halmashauri huwa zinaweza kufanya kitu gani kwa ufanisi??Ideas ni nzuri sana tatizo ninkuacha hayo masoko na stend chininya majiji na almashauri. Hakutakuwa na jipya lolote maana wao wanaendelea na utaratibu wao huohuo wa siku zote.
Serikali ilitakiwa kuunda chombo cha kusimamia hayo masoko na stend au yakabidhiwe kwa taasisi yeyote ili yasimamiwe vyema ila sio almashauri zetu hizi zinamambo mengi mno..
Mkuu, tatizo ni mipango yetu.. hasa mipango miji tukianzia kabla ya hawa wanaotekeleza miradi.My Take
Hivi nani Huwa anawadqnganya wanaojiita wasomi kwamba wananchi wanahitaji masoko ya gharama kubwa,ya gorofa na Mabilioni.
Ujinga huu wa kupoteza Rasilimali upo pia kwenye ujenzi wa stendi.
Nyie mnaojiita wasomi badilikeni na muwe na matumizi sahihi ya Kodi za Wananchi.
----------------
Takribani mwaka mmoja tangu lifunguliwe soko la kisasa Chuini, Mkoa wa Mjini Magharibi, bado wafanyabiashara katika soko hilo wanalalama kukosa wateja wakidai mitaji yao kufa.
Soko hilo lililogharimu zaidi ya Sh40 bilioni, lilizinduliwa na Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi Septemba 20, 2025 lengo ni kusogeza huduma za bidhaa karibu na wananchi na kuongeza vipato vya wafanyabiashara.
Hatua ya kukosa wateja inaelezwa ni kutokana na soko hilo kukosa aina yoyote ya mnada badala yake wananchi hukimbilia katika masoko mengine.
Wakizungumza mbele ya Makamu wa Pili wa Rais, Hemed Suleiman Abdulla alipotembelea soko hilo leo Julai 18, 2026 wamesema bidhaa zao zinaoza kwa sababu ya kutokuwa na wateja wa kutosha.
Fwarda Saidi Ali mmoja wa wajasiriamali wa viungo na bidhaa nyingine amesema licha ya kulipa Sh2,000 kwa siku ambayo ni sawa na Sh60,000kwa mwezi, lakini anadidimia katika biashara kwa kukosa wateja.
Chanzo: Mwananchi_official & The Citizen
Hivi kumbe Kuna mtu alikuwa anaitwa Job ndugai !!? Jamani haya maisha!!My Take
Hivi nani Huwa anawadqnganya wanaojiita wasomi kwamba wananchi wanahitaji masoko ya gharama kubwa,ya gorofa na Mabilioni.
Ujinga huu wa kupoteza Rasilimali upo pia kwenye ujenzi wa stendi.
Nyie mnaojiita wasomi badilikeni na muwe na matumizi sahihi ya Kodi za Wananchi.
----------------
Takriban mwaka mmoja tangu lifunguliwe soko la kisasa Chuini, Mkoa wa Mjini Magharibi, bado wafanyabiashara katika soko hilo wanalalama kukosa wateja wakidai mitaji yao kufa.
Soko hilo lililogharimu zaidi ya Sh40 bilioni, lilizinduliwa na Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi Septemba 20, 2025 lengo ni kusogeza huduma za bidhaa karibu na wananchi na kuongeza vipato vya wafanyabiashara.
Hatua ya kukosa wateja inaelezwa ni kutokana na soko hilo kukosa aina yoyote ya mnada badala yake wananchi hukimbilia katika masoko mengine.
Wakizungumza mbele ya Makamu wa Pili wa Rais, Hemed Suleiman Abdulla alipotembelea soko hilo leo Julai 18, 2026 wamesema bidhaa zao zinaoza kwa sababu ya kutokuwa na wateja wa kutosha.
Fwarda Saidi Ali mmoja wa wajasiriamali wa viungo na bidhaa nyingine amesema licha ya kulipa Sh2,000 kwa siku ambayo ni sawa na Sh60,000kwa mwezi, lakini anadidimia katika biashara kwa kukosa wateja.
Chanzo: Mwananchi_official & The Citizen
My Take

Soko unalijenga kilomita 20 kutoka mjini nani ataenda umbali mkubwa namna hiyo.My Take

Badala ya kujenga viwanda wanajenga masoko ya kuuza bidhaa za wachinaWizi tu wa CCM huo..East Africa ya Wapi bwana?!
Kuna Mtu wa kusafiri kutoka Kigali-Rwanda kuja kumuinua Kijiko- Ubungo-Dar kisa ni Soko La Umoja ambao Nchi yake ni Mwanachama?!!!
Tujifunze kwa Mobutu Seseseko wa Zaire na Kijiji, airport na ikulu alivyovijenga kwao, nadhani panaitwa Gbadolite imebaki vichaka, mijusi na tumbili ndiyo wakazi.My Take
Hivi nani Huwa anawadqnganya wanaojiita wasomi kwamba wananchi wanahitaji masoko ya gharama kubwa,ya gorofa na Mabilioni.
Ujinga huu wa kupoteza Rasilimali upo pia kwenye ujenzi wa stendi.
Nyie mnaojiita wasomi badilikeni na muwe na matumizi sahihi ya Kodi za Wananchi.
----------------
Takriban mwaka mmoja tangu lifunguliwe soko la kisasa Chuini, Mkoa wa Mjini Magharibi, bado wafanyabiashara katika soko hilo wanalalama kukosa wateja wakidai mitaji yao kufa.
Soko hilo lililogharimu zaidi ya Sh40 bilioni, lilizinduliwa na Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi Septemba 20, 2025 lengo ni kusogeza huduma za bidhaa karibu na wananchi na kuongeza vipato vya wafanyabiashara.
Hatua ya kukosa wateja inaelezwa ni kutokana na soko hilo kukosa aina yoyote ya mnada badala yake wananchi hukimbilia katika masoko mengine.
Wakizungumza mbele ya Makamu wa Pili wa Rais, Hemed Suleiman Abdulla alipotembelea soko hilo leo Julai 18, 2026 wamesema bidhaa zao zinaoza kwa sababu ya kutokuwa na wateja wa kutosha.
Fwarda Saidi Ali mmoja wa wajasiriamali wa viungo na bidhaa nyingine amesema licha ya kulipa Sh2,000 kwa siku ambayo ni sawa na Sh60,000kwa mwezi, lakini anadidimia katika biashara kwa kukosa wateja.
Chanzo: Mwananchi_official & The Citizen
Ujinga mwingine huu hapa unakuja ππSuala la soko la Chuini Zanzibar ni mfano mwingine wa jinsi gani tunavyofeli kwenye 'Market Research' kabla ya miradi. Ona sasa wafanyabiashara wengi mitaji yao inateketea kwa sababu soko limekuwa tupu. Unapojenga soko la mabilioni bila kuweka mazingira wezeshi ya ushindani dhidi ya masoko ya zamani, unajenga makaburi ya kiuchumi. Ni lazima Serikali ya Mapinduzi Zanzibar ihamishe minada mikubwa iende Chuini ili kuokoa hii bilioni 40, vinginevyo itakuwa ni uharibifu wa fedha.