Zanzibar: Tuliialika Yanga SC baada ya kupata kura nyingi

Mliwaalika brazil kusheheresha shuhuli gani?

Yanga imealikwa kama kikundi cha ngoma kwa ajili ya kusherehesha, hilo la mpira ni kama la ziada tu
Acha kuumia kwa jambo lililo wazi Yanga ni timu ya wananchi
 
Punguza povu nyoko wewe, hata research ikifanyika haihusishi raia wote inachukuliwa sample tu ya watu kadhaa wakiwemo wajinga kama wewe na werevu kuwakilisha kundi fulani.
kwahiyo MAZUZU 4000 ndiyo yaliwakilisha Utopolo ktk hiyo sampuli.

Halafu huna elimu ya kutosha kuhusu RESEARCH na maswala ya SAMPLE SELECTION. Siku nyingine usilitumie Tena hilo neno research. Kumbafu utopolo wewe.
 
daaaaaah.....umeongea kwa hisia sana mkuu
 
Yanga imeongoza kwa kura 4900 kati ya kura 5500, ni Nchi gani hiyo yenye wananchi 5500?

Halafu nchi gani hiyo ambayo wananchi wa club hiyo kwenye mitandao ya kijamii followers kwenye page ya timu yao hawazidi 1M?
kumbuka sio kila mzanzibar ana smartphone
 
Mkuu wanasiasa hawa.............itakua wanazani kila kitu ni siasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…