Zanzibar turudishe heshima yetu, tuige mfano mzuri wa Qatar, pombe ipigwe marufuku kabisa

Johnny Sack

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2017
Posts
8,984
Reaction score
19,288
Nchi ya Qatar imenivutia sana kwa kuwa na msimamo mzuri dhidi ya uozo wa kimagharibi wa pombe, ngono, ushoga etc

Zanzibar ni nchi nzuri ya kistaarabu sana lakini naona kuna uozo unaongezeka kwa kasi kubwa.

Nyimbo na video za uchi, unywaji pombe, kuvaa vivazi vya nusu uchi hadharani n.k.

Ni muda sasa wa Zanzibar kuweka heshima ya ustaarabu wetu tupige marufuku bar zote na TV zinazopiga nyimbo za nusu uchi.
 
Goodluck with that
 
Hii ngumu sana kws sababu zifuatazo
1. Baa nyingi na sehemu za starehe zinamilikiwa na serekali pamoja na chama twawala. Kila penye kambi ya jeshi pana baaa.

2. Wanywaji wengi ni wale wafuasi wa chama dola na viongozi wake.

3. Baadhi ya watunga sheria (wawakilishi na wabunge ) nao ni wadau wazuri wa vinywaji. Kuna mwakilishi anaitwa Hussein Makungu a.k.a Bhaa Style, huyu anamiliki disco na baa maarufu mjini ,komba bar, ambayo inalalamikiwa kuwa inawauzia hadi watoto vilevi. Pia mawaziri wengi na wao ni wadau.

Kiufupi nchi ya Zanzibar will never be the same labda Mungu alete miujiza yake. Nchi imeharibiwa sana.
 
Nchi ya Qatar imenivutia sana kwa kuwa na msimamo mzuri dhidi ya uozo wa kimagharibi wa pombe, ngono, ushoga etc

Zanzibar ni nchi nzuri ya kistaarabu sana lakini naona kuna uozo unaongezeka kwa kasi kubwa.

Nyimbo na video za uchi, unywaji pombe, kuvaa vivazi vya nusu uchi hadharani n.k.

Ni muda sasa wa Zanzibar kuweka heshima ya ustaarabu wetu tupige marufuku bar zote na TV zinazopiga nyimbo za nusu uchi.
Ile Pombe inayoitwa Maziko saa nane- asili yake ni wapi??Watalii ambao ndo chanzo cha Mapato yenu yanaletwa na Wazungu wanaovaa Bikini na Sio Madera.Qartar wana Gesi na Mafuta: wanaweza kujipangia watakalo kwa kuwa wana madorari ya kutosha! Znz ni kama mtoto mwenye Madevu lakini bado ana kaa kwa Baba na mama ake! Ata akioa kila kitu anachoambiwa na mkewe utamsikia Mwambie Maa
 
Nchi ya Qatar imenivutia sana kwa kuwa na msimamo mzuri dhidi ya uozo wa kimagharibi wa pombe, ngono, ushoga etc

Zanzibar ni nchi nzuri ya kistaarabu sana lakini naona kuna uozo unaongezeka kwa kasi kubwa.

Nyimbo na video za uchi, unywaji pombe, kuvaa vivazi vya nusu uchi hadharani n.k.

Ni muda sasa wa Zanzibar kuweka heshima ya ustaarabu wetu tupige marufuku bar zote na TV zinazopiga nyimbo za nusu uchi.
Kwani Qatar pombe marufuku?
 
Mtu anatukana, anaiba, anasema uongo, ana michepuko, amezaa na mke wa mtu, anaenda kwa waganga, ni mchawi, anasengenya n.k
Dhambi atakuambia ni kitimoto ila hivyo vyote kwake siyo dhambi.
kweli sio sawa kudai kitimoto ni dhambi pekee yake na hizo nyngine sio dhambi ila haibadilishi ukweli kuwa Defao ni haramu na dhambi, na tunapaswa kuacha kula hiyo defao na hzo dhambi nyingne pia tuache kuzifanya.
 
Zanzibar is a Christian country kama ulikuwa haujui ingawaje >98% ya wakazi wake ni Waislamu lkn mfumo mzima wa Zanzibar ni Christian, hivyo usifananishe na Katar ambayo ni Islamic country, …
prove Znz is Christian country.
 
Mchele mtatoa wapi na viazi vya chips alafu nimesahau na umeme.
bado na lengine bajeti ya serikali inayotoka bara pamoja na waajiliwa znz kuja bara.
Nahisi hata kiti cha kimataifa Tanganyika na wao watapata wapi
 
Back
Top Bottom