muhweza
JF-Expert Member
- Feb 22, 2022
- 986
- 1,394
Hupendi kutawaliwa wakati unatawaliwa si mvunje si mna mpini mnalalamika niniwa hovyo ni nyinyi munaopenda kutawala watu wasiotaka kutawaliwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hupendi kutawaliwa wakati unatawaliwa si mvunje si mna mpini mnalalamika niniwa hovyo ni nyinyi munaopenda kutawala watu wasiotaka kutawaliwa
Halafu wabantu pure weusi hamna hata mademu wazuriHivi wa zenji mnajikutaga waarabu au?
Dah inafikirisha sanaKuna kitu huwa kinashangaza kwa Waislamu kukomalia pombe kuwa dhambi hapa duniani wakati kwenye pepo yao Kuna mito ya pombe yenye radha safi kwa wanywao kwa mujibu wa Quran 85:17 [emoji2][emoji2][emoji2]
Soma Quran 47:15 inasema peponi Kuna mito ya ulevi kwa wanywao. Sasa pepo yao Kuna mito ya pombe, halafu duniani wanasema pombe Maarufu ni dhambi! Huu unafiki mtupu.Hivi ni kweli kaka haya unayosema??
Hakuna mtu wa dini atusaidie hapa kaka mimi siamini am serious naona kama umetunga kakaSoma Quran 47:15 inasema peponi Kuna mito ya ulevi kwa wanywao. Sasa pepo yao Kuna mito ya pombe, halafu duniani wanasema pombe Maarufu ni dhambi! Huu unafiki mtupu.
Kama Tanzania haina dini zanzibar inakuaje christian country?
Kodi zitokanazo na pombe inayonywewa Bara haitavuka maji?Hivyo vinahusiana vipi na marufuku ya pombe na kuvaa uchi?
Hivi mtu mwingine akila itakuzuia wewe kuiona Pepo? Hv kweli kitimoto tena usioila ni dhambi kubwa kuliko hizo zingine.Mimi naona tungeanza na huyu mbuzi wa Vatikani.🐷
Mademu wa kibantu wana jotojoto yaani ni watamu balaa, halafu ni watundu. Wazanzibari hata sio watundu, hawana joto kama lile la kibantu.Halafu wabantu pure weusi hamna hata mademu wazuri