Zanzibar turudishe heshima yetu, tuige mfano mzuri wa Qatar, pombe ipigwe marufuku kabisa

Nadhani UBARADHULI na kulawiti watoto wadogo ni janga kubwa sana kuliko ulevi

WaZabzibar inabidi mkomae mapema vinginevyo jamii ya WAVULANA watabadilika kuwa wasichana.

Tanzania bara hakuna wanaume wa kutosha na wanaume wa Oman kwa ubaguzi wao hawatawaowa Wazanzibari

Get your priority right
Yote hayo chanzo chake ni ulevi, ulevi ni chanzo cha maovu yote duniani
 
Hilo neno tu, maneno mengi ya Kiswahili yana asili ya kiatabu, ama tuachane na Kiswahili pia sababu kina Urabu ndani yake?
Mdogo wangu huo USTA-arabu unausema Zanzibar ulikuwepo uliletwa na waarabu na waajemi na washirazi wakati wanaeneza imani yao ya kiislamu kwa wabantu waliowakuta pale visiwani!!!Ebu nieleze utamaduni wa wabantu kabla hawajaja wageni wa bara arabu na kuviita hivyo visiwa Zenji-bar????Au historia wewe unaijua kwa kuanzia walipokuja hapo visiwani WARAABU?????
 
Hilo neno tu, maneno mengi ya Kiswahili yana asili ya kiatabu, ama tuachane na Kiswahili pia sababu kina Urabu ndani yake?
Hayo unayoita maadili ya dini yaliletwa na waarabu!!!Je unajua maadili ya wabantu kabla wageni (Waarabu,Wahinndi,Wareno,WaajemiWajerumani,Waingereza)hawajaja visiwani hapo?????
 
Nchi ya Qatar imenivutia sana kwa kuwa na msimamo mzuri dhidi ya uozo wa kimagharibi wa pombe, ngono, ushoga etc

Zanzibar ni nchi nzuri ya kistaarabu sana lakini naona kuna uozo unaongezeka kwa kasi kubwa.

Nyimbo na video za uchi, unywaji pombe, kuvaa vivazi vya nusu uchi hadharani n.k.

Ni muda sasa wa Zanzibar kuweka heshima ya ustaarabu wetu tupige marufuku bar zote na TV zinazopiga nyimbo za nusu uchi.
Qatar wana utajiri mkubwa wa mafuta kwa hiyo wana jeuri ya kuringa na kukataa biashara zinazoingiza hela nyingi kama pombe.

Zanzibar jeuri hiyo haina. Mnategemea utalii. Sasa watalii wanakuja kula bata Zanzibar unataka muwapangie kuwa wasinuewe pombe wakati pombe ndo starehe yao na nyie mnazitaka hela zao?

Halafu vijana wa Qatar uliona walivyokuwa wamedatishwa na Miss Croatia anayevaa nusu uchi? Wakapiga naye selfie kibao wakati wanawake wao na dada zao wanawakata kuvaa nusu uchi.

Ila kwenye ushoga nakuunga mkono. Ushoga haufai.

N
 
Nchi ya Qatar imenivutia sana kwa kuwa na msimamo mzuri dhidi ya uozo wa kimagharibi wa pombe, ngono, ushoga etc

Zanzibar ni nchi nzuri ya kistaarabu sana lakini naona kuna uozo unaongezeka kwa kasi kubwa.

Nyimbo na video za uchi, unywaji pombe, kuvaa vivazi vya nusu uchi hadharani n.k.

Ni muda sasa wa Zanzibar kuweka heshima ya ustaarabu wetu tupige marufuku bar zote na TV zinazopiga nyimbo za nusu uchi.
Wewe umeona "pombe" tu ndiyo dhambi?
Wanafiki wakubwa, anzeni kwanza kuipiga vita ZINAA iliyojaa ndani ya miili yenu.

Wazanzibari ni wanafiki sana. Kwa nje utawaona wamevaa mavazi ya "kujisitiri", wanaume kanzu ndefu na barakashia, wanawake, baibui mpaka kichwani, lakini mioyo yao imejaa ZINAA na UASHERATI! Matendo wanayofanya "gizani" yanatia kinyaa. Ni kawaida sana kumkuta binti wa Kizanzibari akiwa "bikra" lakini, kinyume na maumbile alishatobolewa siku nyingi.
 
Kwa sasa wazanzibar wengi vijana wanapenda Pombe, Madawa ya kulevya, Disco, malaya, ushoga. Pia Zanzibar ni eneo la utalii, na watalii wanakuja kufanya starehe zao na kumwaga madola ya kutosha. Hivyo kimtindo wazanzibar wameshaanza kuuchoka utamaduni wa sheria za kiislamu.

Sio rahisi hilo unalosema mleta mada kuweza kutekelezwa Zanzibar wakati Zanzibar ni sehemu ya jamhuri ya muungano wa Tanzania, ambapo serikali haina dini.
 
Nchi ya Qatar imenivutia sana kwa kuwa na msimamo mzuri dhidi ya uozo wa kimagharibi wa pombe, ngono, ushoga etc

Zanzibar ni nchi nzuri ya kistaarabu sana lakini naona kuna uozo unaongezeka kwa kasi kubwa.

Nyimbo na video za uchi, unywaji pombe, kuvaa vivazi vya nusu uchi hadharani n.k.

Ni muda sasa wa Zanzibar kuweka heshima ya ustaarabu wetu tupige marufuku bar zote na TV zinazopiga nyimbo za nusu uchi.
Huu ndio unafiki wenyewe wa wazanzibari. Kukataa pombe wakati usiku mnafanya dhambi mbaya na chafu kuliko ya ulevi.
 
Hamna cha ustaarabu, dini wala nini
Hao wazanzibari wanataka kupiga marufuku pombe kwa ajili ya show-off tu, kitu ambacho ni useless kabisa
Hawa ndugu zetu wana uwezo mdogo sana wa kufikiri[emoji38][emoji38]
 
Hamna cha ustaarabu, dini wala nini
Hao wazanzibari wanataka kupiga marufuku pombe kwa ajili ya show-off tu, kitu ambacho ni useless kabisa
Hawa ndugu zetu wana uwezo mdogo sana wa kufikiri[emoji38][emoji38]
 
Hayo unayoita maadili ya dini yaliletwa na waarabu!!!Je unajua maadili ya wabantu kabla wageni (Waarabu,Wahinndi,Wareno,WaajemiWajerumani,Waingereza)hawajaja visiwani hapo?????
Niambie maadili yao
Kwa taarifa yako tu, miaka ya 1920 Marekani ambalo ni taifa la Wakristo wengi ilikuwa kuvaa nguo isiyovuka goti unakamatwa. Ilikuwa ni marufuku kuuza pombe
Sasa na wao ni Waarabu?
 
Nchi ya Qatar imenivutia sana kwa kuwa na msimamo mzuri dhidi ya uozo wa kimagharibi wa pombe, ngono, ushoga etc

Zanzibar ni nchi nzuri ya kistaarabu sana lakini naona kuna uozo unaongezeka kwa kasi kubwa.

Nyimbo na video za uchi, unywaji pombe, kuvaa vivazi vya nusu uchi hadharani n.k.

Ni muda sasa wa Zanzibar kuweka heshima ya ustaarabu wetu tupige marufuku bar zote na TV zinazopiga nyimbo za nusu uchi.
Huna akili kwani mwinyi na samia wanatoka wapi?
 
Niambie maadili yao
Kwa taarifa yako tu, miaka ya 1920 Marekani ambalo ni taifa la Wakristo wengi ilikuwa kuvaa nguo isiyovuka goti unakamatwa. Ilikuwa ni marufuku kuuza pombe
Sasa na wao ni Waarabu?
Mbona unajichanganya mdogo wangu au hukunielewa nilichokuuliza!!!!Ebu soma tena
 
Back
Top Bottom