Zanzibar turudishe heshima yetu, tuige mfano mzuri wa Qatar, pombe ipigwe marufuku kabisa

Muondoe na utalii kabisa!, leo dubai wameondoa kodi ya 30% kwenye vilevi kukuza utalii.
 
Nchi ya Qatar imenivutia sana kwa kuwa na msimamo mzuri dhidi ya uozo wa kimagharibi wa pombe, ngono, ushoga etc

Zanzibar ni nchi nzuri ya kistaarabu sana lakini naona kuna uozo unaongezeka kwa kasi kubwa.

Nyimbo na video za uchi, unywaji pombe, kuvaa vivazi vya nusu uchi hadharani n.k.

Ni muda sasa wa Zanzibar kuweka heshima ya ustaarabu wetu tupige marufuku bar zote na TV zinazopiga nyimbo za nusu uchi.
Nadhani hapa unapambana urudishe heshima ya Mwarabu na sio heshima ya Mzanzibar.
 
Kama vile Marekani ya Kaskazini USA na Canada pia nchi za magharibi, latin Amerika Brazil ufukwe wa Copa Cabana n.k pombe hainywewi hadharani, katika Park za umma na Beach. Pombe hunywewa ndani katika maeneo yaliyoruhusiwa na leseni husika au majumbani .

Bata la copa si la kitoto aise

Ova
 
kweli sio sawa kudai kitimoto ni dhambi pekee yake na hizo nyngine sio dhambi ila haibadilishi ukweli kuwa Defao ni haramu na dhambi, na tunapaswa kuacha kula hiyo defao na hzo dhambi nyingne pia tuache kuzifanya.
defao ndiyo nini?
 
Wote tutadhibiti
Magereza unguja hapo tungi tunapiga,police mesi tungi lipo,ccm kwa raju tungi lipo,
Nyuki kwa mchina tungi lipo na tunapiga
Transit airport kwa mremi tungi lipo
Na tunapiga sana tuuuu
Nyama choma mbweni tungi lipo na tunapigaaa sana tu
Kwa mama frank hapo njia kama unaenda kwa mwanakerekwe tungi
Lipoooo.....
Na bado nna sehemu buku kdg naweza kutajia we mbugila

Unataka sasa nkutajie vijiwe wanapouza mdudu,nkitaka kula mdudu huko naenda kwa bi Janet
Hapo mbweni,mdudu analika balaaa

Haya tukija kwenye umly wanaojiuza
Bwawani tu hapo madem kibao,
Ukienda nungwi madem kibao unajichaguliaaa tu unaenda kujipigia

Ova
 
wa hovyo ni nyinyi munaopenda kutawala watu wasiotaka kutawaliwa

Wewe ndio hupendi kutawaliwa mwaarabu koko

Wenzako wanajazana tanganyika kupewa vyeo na mihela huku wakilamba asali ya tanganyika

Siku moja uje dodoma uwaone walivyojazana kwenye bunge wakati bajeti yote 99% niya tanganyika wanacho changia hakieleweki
 
walioshindwa ni wenyewe wenye nchi lakini hakuna mwananchi aliyeshindwa kulipa umeme.

Kuna nchi bila wananchi nchi itaishi vipi bila kodi za wananchi ukiona hata deni dogo la umeme serikali imeshindwa kulipa jua ni serikali ya hovyo masikini na tegemezi
 
Zanzibar haiwezi kukwepa ulevi na uasherati kwasababu inategemea hotels na watalii ambao wengi ni walevi na waasherati.

Soma chini kutoka bbc.co.uk kuhusu Dubai imeondoa kodi kubwa iliyoweka kwenye vilevi ili kutwngeneza mazingira rafiki kwaajili ya utalii.

Dubai wao wamefuta kabisa kodi kwa vilevi vyote vinavyoingia nchini kwao, wewe unaleta usanii hapa, utasubiri sana.
Na suala la Qatar ndugu yetu hapa umetudanganya, mimi nimepita juzi tu nimenunua VAT 69 kwa USD 25, leo unasema Qatar hawana pombe, sio kweli
 
Nchi ya Qatar imenivutia sana kwa kuwa na msimamo mzuri dhidi ya uozo wa kimagharibi wa pombe, ngono, ushoga etc

Zanzibar ni nchi nzuri ya kistaarabu sana lakini naona kuna uozo unaongezeka kwa kasi kubwa.

Nyimbo na video za uchi, unywaji pombe, kuvaa vivazi vya nusu uchi hadharani n.k.

Ni muda sasa wa Zanzibar kuweka heshima ya ustaarabu wetu tupige marufuku bar zote na TV zinazopiga nyimbo za nusu uchi.
Hivi wa zenji mnajikutaga waarabu au?
 
Dubai wao wamefuta kabisa kodi kwa vilevi vyote vinavyoingia nchini kwao, wewe unaleta usanii hapa, utasubiri sana.
Na suala la Qatar ndugu yetu hapa umetudanganya, mimi nimepita juzi tu nimenunua VAT 69 kwa USD 25, leo unasema Qatar hawana pombe, sio kweli
Kwani Dubai ndio role model wa kila mtu? Unywaji holela lazima udhibitiwe
 
Zanzibar haiwezi kukwepa ulevi na uasherati kwasababu inategemea hotels na watalii ambao wengi ni walevi na waasherati.

Soma chini kutoka bbc.co.uk kuhusu Dubai imeondoa kodi kubwa iliyoweka kwenye vilevi ili kutwngeneza mazingira rafiki kwaajili ya utalii.

Sasa Dubai akiruhusu kwani yeye ndio nani? Ndio role model wa maadili duniani,?
 
Kuna nchi bila wananchi nchi itaishi vipi bila kodi za wananchi ukiona hata deni dogo la umeme serikali imeshindwa kulipa jua ni serikali ya hovyo masikini na tegemezi
Tanganyika ndio ambayo haiwezi kuishi bila Zanzibar, Zanzibar tupo tayari kuvunja muungano muda wowote
 
Magereza unguja hapo tungi tunapiga,police mesi tungi lipo,ccm kwa raju tungi lipo,
Nyuki kwa mchina tungi lipo na tunapiga
Transit airport kwa mremi tungi lipo
Na tunapiga sana tuuuu
Nyama choma mbweni tungi lipo na tunapigaaa sana tu
Kwa mama frank hapo njia kama unaenda kwa mwanakerekwe tungi
Lipoooo.....
Na bado nna sehemu buku kdg naweza kutajia we mbugila

Unataka sasa nkutajie vijiwe wanapouza mdudu,nkitaka kula mdudu huko naenda kwa bi Janet
Hapo mbweni,mdudu analika balaaa

Haya tukija kwenye umly wanaojiuza
Bwawani tu hapo madem kibao,
Ukienda nungwi madem kibao unajichaguliaaa tu unaenda kujipigia

Ova
Sasa unachosema ni kweli, Zanzibar imeoza, lazima turudi kwenye maadili, hili linawezekana
 
Back
Top Bottom