Utingo
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 10,266
- 8,085
bahati mbaya kwako ni kuwa wanaotakiwa kupiga marufuku ndiyo walevi waliokubuhu zanzibar. wanajificha kw kuvaa kanzu, baraghashia, hijabu na baibuiNchi ya Qatar imenivutia sana kwa kuwa na msimamo mzuri dhidi ya uozo wa kimagharibi wa pombe, ngono, ushoga etc
Zanzibar ni nchi nzuri ya kistaarabu sana lakini naona kuna uozo unaongezeka kwa kasi kubwa.
Nyimbo na video za uchi, unywaji pombe, kuvaa vivazi vya nusu uchi hadharani n.k.
Ni muda sasa wa Zanzibar kuweka heshima ya ustaarabu wetu tupige marufuku bar zote na TV zinazopiga nyimbo za nusu uchi.