Zanzibar turudishe heshima yetu, tuige mfano mzuri wa Qatar, pombe ipigwe marufuku kabisa

Zanzibar turudishe heshima yetu, tuige mfano mzuri wa Qatar, pombe ipigwe marufuku kabisa

Ma
Nchi ya Qatar imenivutia sana kwa kuwa na msimamo mzuri dhidi ya uozo wa kimagharibi wa pombe, ngono, ushoga etc

Zanzibar ni nchi nzuri ya kistaarabu sana lakini naona kuna uozo unaongezeka kwa kasi kubwa.

Nyimbo na video za uchi, unywaji pombe, kuvaa vivazi vya nusu uchi hadharani n.k.

Ni muda sasa wa Zanzibar kuweka heshima ya ustaarabu wetu tupige marufuku bar zote na TV zinazopiga nyimbo za nusu uchi.
Wanywe nani ukipiga marufuku??
 
Sina hamu na nyie. Nilifikia Golden Tulip ile mpya kule airport na kumbe walikua hawauzi pombe nikasema basi ngoja nikatafute wine nijipigie zangu huku nawatch world cup. E bwana nilizunguka hadi kizunguzungu, supermarket kama nne hivi hamna wine. Nikabahatika kwenye supermarket moja hivi ya mchaga nikasema hapa nachukua kila kitu staki ujinga. Uzuri rough rider nilitoka nazo bongo kama akiba japo nilirudi nazo kutokana na ubize,ila naskia hizo ndo hamna kabisa. Mnateleza tu wazanzibari
 
Mnataka uaaa utalii kwenu ehhh

Ova
 
Sina hamu na nyie. Nilifikia Golden Tulip ile mpya kule airport na kumbe walikua hawauzi pombe nikasema basi ngoja nikatafute wine nijipigie zangu huku nawatch world cup. E bwana nilizunguka hadi kizunguzungu, supermarket kama nne hivi hamna wine. Nikabahatika kwenye supermarket moja hivi ya mchaga nikasema hapa nachukua kila kitu staki ujinga
Hao wachaga tutawatimua warudi bara ndio wanachangia kuharibu utamaduni wetu
 
Hamna jeuri ya kuwatimua. Wangekua machinga sawa,sasa uingie supermarket kwa mtu ummind kisa anauza wine si ndo uchizi huo. Hata Qatar hamna huo ujinga
Wao wenyewe hku bara wamewekeza
Tunawaangalia tu na hatuna noma nao

Ova
 
Nchi ya Qatar imenivutia sana kwa kuwa na msimamo mzuri dhidi ya uozo wa kimagharibi wa pombe, ngono, ushoga etc

Zanzibar ni nchi nzuri ya kistaarabu sana lakini naona kuna uozo unaongezeka kwa kasi kubwa.

Nyimbo na video za uchi, unywaji pombe, kuvaa vivazi vya nusu uchi hadharani n.k.

Ni muda sasa wa Zanzibar kuweka heshima ya ustaarabu wetu tupige marufuku bar zote na TV zinazopiga nyimbo za nusu uchi.
Kwanini msiige dubai kuna nguruwe, beer za kumwaga wageni, uchumi unapaa kwa kasi? 🤣 🤣
 
Wewe kama hunywi pombe au huli mbususu acha wengine wazichakate,usilazimishe tabia zenu za stone age kwa watu wastaarabu, au sepa kaishi na wenzako wa Talebans mkatane mikono vizuri
Kutembea uchi na kuzini hovyo ndio tabia za stone age, mwanadamu alipostaarabika ndio akaanza kuvaa kwa stara na kufunga ndoa
 
Hamna jeuri ya kuwatimua. Wangekua machinga sawa,sasa uingie supermarket kwa mtu ummind kisa anauza wine si ndo uchizi huo. Hata Qatar hamna huo ujinga
Sheria zipo, kuuza kilevi ni lazima uwe na kibali maalum, kama unavunja sheria usichukuliwe hatua?
 
Zanzibar is a Christian country kama ulikuwa haujui ingawaje >98% ya wakazi wake ni Waislamu lkn mfumo mzima wa Zanzibar ni Christian, hivyo usifananishe na Katar ambayo ni Islamic country, …
Kwani kudhibiti uozo wa kimaadili kunahitaji uwe islamic country?
 
Kutembea uchi na kuzini hovyo ndio tabia za stone age, mwanadamu alipostaarabika ndio akaanza kuvaa kwa stara na kufunga ndoa
Wewe kama unapenda kuvaa kama ninja hujakatazwa, vaa na mkeo, acheni tabia ya kulazimisha mambo yenu kwa wengine, na kuchakata au ndoa ni swala binafsi acheni ujinga kuingilia faragha za watu
 
Back
Top Bottom