Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
- Thread starter
- #141
Nashangaa sana watu mnavyolifanya kama hili suala ni la Kiislamu sijui ni kutokujua au ni makusudi ili kuleta mfarakanishoKwa sasa wazanzibar wengi vijana wanapenda Pombe, Madawa ya kulevya, Disco, malaya, ushoga. Pia Zanzibar ni eneo la utalii, na watalii wanakuja kufanya starehe zao na kumwaga madola ya kutosha. Hivyo kimtindo wazanzibar wameshaanza kuuchoka utamaduni wa sheria za kiislamu.
Sio rahisi hilo unalosema mleta mada kuweza kutekelezwa Zanzibar wakati Zanzibar ni sehemu ya jamhuri ya muungano wa Tanzania, ambapo serikali haina dini.
Kukataa ulevi, uasherati, madawa ya kulevya, kunahitaji mpaka uwe muislamu? Mbona hata Wakristo hawapendi hayo mambo?
Kama hujui kajaribu kusoma kuwa Marekani ambayo ni Wakristo miaka ya 1920s ilikuwa ni marufuku kuuza pombe, ilikuwa ni maramufu kuvaa nguo fupi juu ya goti.