Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Nchi ya Qatar imenivutia sana kwa kuwa na msimamo mzuri dhidi ya uozo wa kimagharibi wa pombe, ngono, ushoga etc
Zanzibar ni nchi nzuri ya kistaarabu sana lakini naona kuna uozo unaongezeka kwa kasi kubwa.
Nyimbo na video za uchi, unywaji pombe, kuvaa vivazi vya nusu uchi hadharani n.k.
Ni muda sasa wa Zanzibar kuweka heshima ya ustaarabu wetu tupige marufuku bar zote na TV zinazopiga nyimbo za nusu uchi.
Hivyo vinahusiana vipi na marufuku ya pombe na kuvaa uchi?Mchele mtatoa wapi na viazi vya chips alafu nimesahau na umeme.
bado na lengine bajeti ya serikali inayotoka bara pamoja na waajiliwa znz kuja bara.
Hivyo vinahusiana vipi na marufuku ya pombe na kuvaa uchi?
Mtu anatukana, anaiba, anasema uongo, ana michepuko, amezaa na mke wa mtu, anaenda kwa waganga, ni mchawi, anasengenya n.kMimi naona tungeanza na huyu mbuzi wa Vatikani.🐷
Hii ngumu sana kws sababu zifuatazoNchi ya Qatar imenivutia sana kwa kuwa na msimamo mzuri dhidi ya uozo wa kimagharibi wa pombe, ngono, ushoga etc
Zanzibar ni nchi nzuri ya kistaarabu sana lakini naona kuna uozo unaongezeka kwa kasi kubwa.
Nyimbo na video za uchi, unywaji pombe, kuvaa vivazi vya nusu uchi hadharani n.k.
Ni muda sasa wa Zanzibar kuweka heshima ya ustaarabu wetu tupige marufuku bar zote na TV zinazopiga nyimbo za nusu uchi.
Ile Pombe inayoitwa Maziko saa nane- asili yake ni wapi??Watalii ambao ndo chanzo cha Mapato yenu yanaletwa na Wazungu wanaovaa Bikini na Sio Madera.Qartar wana Gesi na Mafuta: wanaweza kujipangia watakalo kwa kuwa wana madorari ya kutosha! Znz ni kama mtoto mwenye Madevu lakini bado ana kaa kwa Baba na mama ake! Ata akioa kila kitu anachoambiwa na mkewe utamsikia Mwambie MaaNchi ya Qatar imenivutia sana kwa kuwa na msimamo mzuri dhidi ya uozo wa kimagharibi wa pombe, ngono, ushoga etc
Zanzibar ni nchi nzuri ya kistaarabu sana lakini naona kuna uozo unaongezeka kwa kasi kubwa.
Nyimbo na video za uchi, unywaji pombe, kuvaa vivazi vya nusu uchi hadharani n.k.
Ni muda sasa wa Zanzibar kuweka heshima ya ustaarabu wetu tupige marufuku bar zote na TV zinazopiga nyimbo za nusu uchi.
Kwani Qatar pombe marufuku?Nchi ya Qatar imenivutia sana kwa kuwa na msimamo mzuri dhidi ya uozo wa kimagharibi wa pombe, ngono, ushoga etc
Zanzibar ni nchi nzuri ya kistaarabu sana lakini naona kuna uozo unaongezeka kwa kasi kubwa.
Nyimbo na video za uchi, unywaji pombe, kuvaa vivazi vya nusu uchi hadharani n.k.
Ni muda sasa wa Zanzibar kuweka heshima ya ustaarabu wetu tupige marufuku bar zote na TV zinazopiga nyimbo za nusu uchi.
kweli sio sawa kudai kitimoto ni dhambi pekee yake na hizo nyngine sio dhambi ila haibadilishi ukweli kuwa Defao ni haramu na dhambi, na tunapaswa kuacha kula hiyo defao na hzo dhambi nyingne pia tuache kuzifanya.Mtu anatukana, anaiba, anasema uongo, ana michepuko, amezaa na mke wa mtu, anaenda kwa waganga, ni mchawi, anasengenya n.k
Dhambi atakuambia ni kitimoto ila hivyo vyote kwake siyo dhambi.
prove Znz is Christian country.Zanzibar is a Christian country kama ulikuwa haujui ingawaje >98% ya wakazi wake ni Waislamu lkn mfumo mzima wa Zanzibar ni Christian, hivyo usifananishe na Katar ambayo ni Islamic country, …
Nahisi hata kiti cha kimataifa Tanganyika na wao watapata wapiMchele mtatoa wapi na viazi vya chips alafu nimesahau na umeme.
bado na lengine bajeti ya serikali inayotoka bara pamoja na waajiliwa znz kuja bara.